Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

R.i.p complex na vivi

Ova
 
B LOVE M (Banana Zorro na Masiga) - Hawa nadhani walikuwa miongoni ma makundi (duo) machache ya RnB. Lingine la RnB nalokumbuka na Unique Sisters.
 
Complex alikuwa balaa... Yule jamaa angekuwepo till today, muziki wake ungekuwa mbali sana.... Collaboration zake na AY ilikuwa fire...
 
Complex alikuwa balaa... Yule jamaa angekuwepo till today, muziki wake ungekuwa mbali sana.... Collaboration zake na AY ilikuwa fire...
Kabisa mkuu. Kuna wimbo wa Profesa Jay alimshirikisha AY- humo AY aliimba 'AY na Jay ni kama Snoop Dogg na Dr. Dre'. Snoop na Dre nao hawakuwa kundi ila walipiga collabo kali. Binafsi nilimpinga AY hapa. Kwangu AY na COMPLEX ndio walikuwa kama Snoop na Dre.
 
Kuna hili kundi lilikuwa linaitwa MAMBO POA jamaa walikuwa watatu John mjema, Spider na marehemu Steve 2K.

Enjoy nyimbo yao ya kasuku hapo chini
Your browser is not able to play this audio.
 
Alikuwa mwana mmoja very cool
Alikuwa aegies rec

Ova
 
Kuna wa zamani zaidi ya hayo makundi, wanaitwa WEUSI WAGUMU ASILIA (WWA)
 
Wale mabaga na ule ulemavu wao lakini walikuwa wakikutana na demu. Lazima huyo demu anye au afe nusu maana vile viuno vyao ni zaidi ya machine
Aisee [emoji848][emoji848][emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Enzi hizo ni "2 Proud" aka Mr II aka Sugu ndiye alikuwa mbishi hakutaka kujiunga na makundi
 
Usinione mimi mwembamba ukadhani mi mgonjwa...nilikuwa bwanyenye..

Huyo alikuwa kundi gani kipindi ile...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…