kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #41
Hatari sana tuiombee nchi yetu, tuombee vizazi vyetuπππ mambo mengi
Hapana sijawahi maana hakai huu mtaa na hata hivyo mimi sishindi homeUliwahi kumchana
Tunaviombea π’Hatari sana tuiombee nchi yetu, tuombee vizazi vyetu
Wanaanzaje kwa mfanoKuna baadhi yao wao ndiyo wanawashawishi wanaume wenzao wawafanyie hivyo
Haujui kuwa kuna baadhi ya watoto wa kiume wanazaliwa na homoni za kike, hivyo akibalehe anaanza kuvutiwa na wavulana wenzie. Vilevile hata kwenye malezi unakuta mtoto wa kiume anakaa muda mwingi na mama na dada akienda shule ana marafiki wa kike, anaanza kutamani wanavyofanya na kufanyiwa wanawake mwisho wa siku anataka na kuanza kujiweka kikike kike na yeye anatafuta bwana ndiyo hapo michezo inapoanzaWanaanzaje kwa mfano
Mungu saidia nchi yetu, saidia vizazi vyetuAiseeπ
πππ₯Haujui kuwa kuna baadhi ya watoto wa kiume wanazaliwa na homoni za kike, hivyo akibalehe anaanza kuvutiwa na wavulana wenzie. Vilevile hata kwenye malezi unakuta mtoto wa kiume anakaa muda mwingi na mama na dada akienda shule ana marafiki wa kike, anaanza kutamani wanavyofanya na kufanyiwa wanawake mwisho wa siku anataka na kuanza kujiweka kikike kike na yeye anatafuta bwana ndiyo hapo michezo inapoanza
Hakika maana tulipofikia kwa akili za kibinadamu hatuwezi kabisaTunaviombea π’
Huwa inaumiza sana mkuu haya mambo yasikie tu na kuona kwa watu wazazi wenye watoto ambao wanajulikana kuwa na hizi mienendo wanaumia mno cha kufanya hawana na watoto ndiyo washaharibika.πππ₯
Maybekwamba kashazoea kuacha ni ngumuπ’π
Mungu asimamie vizazi vyetuMaybe
InshallahMungu asimamie vizazi vyetu
ππππ"Wivu Ni Kidonda Umeshiriki Ugua Pole"
ππππKw hiyo broo unateseka
Watu wamevurugwaππππππ
Em fafanua kwani, kivipi yaani?Hao wanaokubali kufanyiwa ndiyo wanasababisha tabia iwe endelevu
Hatari tupu.Watu wamevurugwaππ
Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuhraha ya shoga, ujimudu, uwe na kitu cha ziada kinakubeba, mbona hadi straight watakufata.