Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Vijana pesa zipo aisee ila hizo pesa ili uzipate unatakiwa kufanya kazi ila kama ukiwa mchele mchele na mpenda starehe utashikishwa ukuta kwa uvivu wakuu ila ukifanya kazi kwa bidii pesa utazipata wakuu.
Firiki mimi kwa sasa nina miaka 27 tu ila kwenye akauti nina zaidi ya milioni 100 wewe mwenzangu kijana utashindwaje? As long as tokeni hapo masikani mkapige kazi hata za kutoa visiki kwwnye shamba langu nawakaribisha.
Sasa ubaya nyie vijana mnaongoza kwa unafiki,majungu,chuki na uzandiki usio na maana ila mkiachana hivyo tu mtatoboa vijana mnashinda.kutwa kijiweni kuwaongelea watu na kuwapiga majungu tu huo.ni ujinga na upuuzi mtupu aisee.
Yaani chuki, majungu na uzandiki.haikufanyi wewe pesa zangu zije kwako! Mtakalia majungu hao hao mje mfe masikini aisee! Poleni kwa umasikini na ufukara vijana wenzangu.
Nakaribisha makasiriko, majungu, chuki, uzandiki na maumivu, karibuni.