Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,590
- 3,632
Ni mshahara wa wiki kwa mchezaji kinda EPL (Nimejaribu kuwaza tu)Nimeamua kuwaza in term of DOLLAR.
100M Tsh ni sawa na dola kama 40,000.
SIna maana ya kumpinga mtoa mada,nampongeza kwa pesa hizo kwani wengi hawajapata.
Big up sana mtoa mada