Haya mambo yanawezekana, kama mimi nina zaidi ya 100 milioni kwenye akauti wewe unashindwa nini? Tena nina miaka 27

Kama hukupata fursa ya kuuliza maswali ukiwa darasani jutahidi urudi shule ukaelimishwe, usitupotezee mda.

Kumbe na wewe kichwa maji tu husomi kwa kuelewa kama unawashiwa moto stupidy kabisa
 
Kumbe na wewe kichwa maji tu husomi kwa kuelewa kama unawashiwa moto stupidy kabisa

Sawa, asante, nawashiwa moto na ni stupidy, na wewe ni tajiri. Nenda kasimamie miradi tajiri yetu.
 
Huu ni mwandiko wa @chiefgodlove kabisaa!

Mimi mtazamaji tu!
 
Hiyo hela haijafika hata $40,000.

Mwaka 2012 nilikuja likizo ya wiki tatu Tanzania, peke yangu, nikatumia $20,000. Na hapo ni kwa sababu sikupata muda wa kuzunguka kwenye mbuga na vivutio vya watalii, nilikuwa nimebanwa na shughuli za familia.

Hiyo hela inaweza kuonekana hela kubwa kama unatoka kwenye umasikini tu.

Halafu point yako ya ku invest na kuzungusha hela ni muhimu sana. Unavyoweza kuizungusha na kuiongeza hela ni muhimu kuliko wingi wa hiyo hela.
 
Hela nzuri hapo haipo, isipokuwa kuna mtaji mzuri
 
Unateseka bado wenzio izo pesa tunaingiza per week
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…