Pre GE2025 Haya Maridhiano yanamjenga Rais Samia au yanambomoa kuelekea 2025?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

The Supreme Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2017
Posts
458
Reaction score
1,280
Wanajukwaa kumekua na Siasa mpya ndani ya Nchi yetu iliyopewa jina "Maridhiano" umekua ngumu kutofautisha vyama vya upinzani na chama tawala kwasababu ya Viongozi wao kuwa machawa wa Rais nazungumza hili kwa uhalisia uliopo sasa. Lakini nina mashaka ndani ya hii Siasa mapya inayoitwa Maridhiano. Je, inamjenga Rais au inabomoa Taasisi ya Urais na Rais mwenyewe Kisiasa kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2025?

Hoja zangu ni hizi:

1. Rais amesahau kujishughulisha na hali ngumu ya Maisha kwa Wananchi na kupanda kwa gharama za maisha kwa ujumla.

2. Wale wapinzani wanaomsifia leo ndiyo hao kesho watasimama jukwaani na kupigia kelele hali ya Maisha yalivyo sasa.

3. Kuwakumbatia wapinzani ni sawa na kumkumbatia nyuki kwa maono ya kupata asali kiganjani.

Mimi nahisi Kama CCM wametafuta namna ya kumtoa Samia katika Siasa za ushindani ili iwe rahisi kwao kumuwekea kauzibe ugombea 2025.Mama Sasa anasifiwa anaupiga mwingi lakini wengi wanaomsifia ni Viongozi wa vyama vya Upinzani ambao kiidadi hawafiki hata 10 lakini rest ya Watanzania wenye sifa ya kupiga kura takribani M15-20wanalia na hali ngumu ya Maisha na upandaji wa Bei ya vitu kila uchwao na vilio kwasasa vimeongezeka zaidi na kuvuka mipaka.

Soma, Pia: Ujio wa Rais Samia Suluhu Hassan: Hadi sasa sijaona dalili yoyote ya utashi wa kuwepo kwa maridhiano ya kisiasa nchini

Hadi uko ndani ya chama tawala hali siyo shwari.Wengi wanatamka hadharani hawamuelewi hata kidogo Bora hata JPM kila kitu ndani ya Nchi akishkiki Bei za vyakula,mzunguko wa biashara TRA wamekua kero na Watu wengi kwasasa wanafunga biashara kutokana na mlolongo wa Kodi zisizo na kichwa Wala miguu,kwa kifupi gharama za Maisha hazikamatiki Nchi inaendelea kukopa kwa kasi ya ajabu, umeme umekua kero Kubwa.

RASILIMALI za Nchi zinaliwa na kundi dogo la watu ndani ya Nchi Mama hata ajali yeye Yuko bize na Wapinzani na Sasa hili limekwenda mbali zaidi mbele za kamera za waandishi wanaomsifia Ila nyuma ya kamera wanatoa Siri na udhaifu mkubwa kuwahi kutokea wa serikali yetu tangu Uhuru katika awamu hii.

Ni Nani atanusuru huu mkatiko? Au Mama ameamua liwalo na liwe yeye 2025 hana haja Tena ya kugombea? Ukitizama kwa makini Mama maejichimbia kaburi lake mwenyewe Kisiasa kwani hao wanaomzunguka ndani ya chama ndiyo wanaofanikisha mipango yote ya kuhakikisha kwamba 2025 hagombei tena.

Mama anamalizwa kijasusi na hii slogan ya Maridhiano Bora angebaki njia kuu a deal na mfumuko wa Bei unaoendela Nchini biashara nyingi zinafungwa hali Ni tete Sana. Mwisho namuombea kwa Mwenyezi Mungu amuepushie hiki kikombe, Mungu Ibariki Tanzania.
 
Mama anabomolewa. Usimwamini mchaga hata chembe. Wanafiki sana. Waliwahi kuomba uhuru wa mkoa wao tu waache mikoa mingine.

Mama ameingia king watamla muda si mrefu. Wasaliti hao.

Mama anaharibia wana CCM wenzake akidhani CDM itamsaidia.

Dobo hilo!!!!
 
Pakiwa na level ground ya kucheza siasa, ccm wanaondolewa mara moja, hongera sana Mbowe na CDM kwa maarifa yenu. Mmeliletea taifa nuru tena!
 
Yamemjengea heshima kubwa!
Inawezekana; lakini 2025 akifikisha kura halali 35% amshukuru sana Mungu.

Opposition wana uhakika wa kura za wanachama wao, ccm kuna wanachama wengi wasiofurahishwa na yanayoendelea. Waite wahafidhina au jina lolote, sioni kama wanaweza kumpigia kura.
 

Dharau zenu ndo hufanya CCM iendelee kutawala daima. So wewe huoni kabisa kuwa njia ya Mama sasa ni nyeupe?
 
Ok. I pity you!
 
Mama anatishika na uhodari wa kuzungusha mdomo wa mbowe. Mbowe ni mwepesi tu. Yeye anatetea maslahi ya mabwanyenye wanyonyaji kama yeye. Ndio maana haishi kujitolea mfano alivyoathirika na kibano cha jpm.
Mama akitoka kwenye msimamo wa ccm kulinda maslahi ya umma na wanyonge ajue ccm itapingwa kama enzi za jk.
 
Sukuma gang mtavaa gagulo kichwani safari hii. Kwa katiba hii rais anaamua chochote na hakuna kitu mtafanya. Kipindi dhalimu akipanda kiburi cha madaraka mlikuwa mnaona sawa, sasa huyo mama naye anafanya atakalo, hivyo mkae kwa kutulia.
 
Sukuma gang mtavaa gagulo kichwani safari hii. Kwa katiba hii rais anaamua chochote na hakuna kitu mtafanya. Kipindi dhalimu akipanda kiburi cha madaraka mlikuwa mnaona sawa, sasa huyo mama naye anafanya atakalo, hivyo mkae kwa kutulia.
Usiwakosee wasukuma nao ni Watanzania ingekua Katiba inazuia kifo Marais watatu tungekua nao Hadi leo tuwe na hoja za kujenga siyo kubomoa elewa mada ukabila na ukanda hauwezi kujenga Taifa Bali umoja na mshikamano tusiwe Kama Simba na Yanga hata Azam na Singida pia wanastahili heshima shekhee wangu😁 tunampenda Amiri Jeshi zaidi yako ila hoja ujibiwa kwa hoja siuo kashfa na kujimwambafai Kama Bwana Yulee😀😀😀
 
CCCM Kwa hila, cjui wanapanga nn juu ya haya maridhiano.
 
Mha
MHafidhina
 
Mtu mwenye akili timamu ilitakiwa amshukuru Mungu kwa kumpa kiongozi wetu wazo la Maridhiano lililopelea leo tunaonga lugha moja watanzania wote na siasa zinafanyika za kistaarabu pia hakuna tena watu wasiojulikana kwahiyo maridhiano yamemjenga sana na yamempa wapiga kura wengi zaidi kwaiyo Tanzania ni salama na Samia tuko na Mama hadi 2030
 
Hahaha, ndio hivyo tena, jitu lenu la Chato tumeshazika, hamieni Burundi nyie wahutu
 
Samia hahitaji kura zenu nyie wapumbavu...nyie si ndio mnasema demokrasia inadumaza maendeleo? Mbona kama mnaitaka demokrasia tena?
 
Mpumbavu mamako aliyelala na vichaa ukazaliwa taahira.
Mpumbavu tema povu hadi upasuke, kenge wewe, huwezi kubadili chochote katika Tanzania hii ambacho Samia atakitaka, kajinyonge ukakutane na lile shetani motoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…