Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

Agizo la asipewe dhamana ni la kutopka kwa Hangaya mwenyewe...

Nchi inaongozwa na dikteta wa kike
Huenda wanataka kumtweza na kumsulubu kwa sharti kua aseme ni wakina nani hao walimpa taarifa hizo!!
 
Huenda wanataka kumtweza na kumsulubu kwa sharti kua aseme ni wakina nani hao walimpa taarifa hizo!!
Wala sishangai. Kama alitoa amri Mzee Kibao afyekwe. Sidhani kama Mzee Slaa ana thamani mbele yao..

Na wanaotekeleza huo ujinga ni vitoto level ya wajukuu zake.

Maendeleo ya nchi hii ni kusimika mabango ya kumsifia mama kila kona.
Usalama wa nchi yetu ni kutomkosoa rais anapofanya mambo ya hovyo

Tunaishi na walaanifu
 
Kipumbwi mkubwa wee!
 
akifa ataenda navyo??? Na mi nataka kununua ndege ili niende nayo mbingun nikapigie misele
 
Mwambie akathibitishe hayo mahakamani aache kulialia. Mzee wa miaka 76 bado anakuwa muongo tena Balozi mstaafu!!
 
Dokta ni mwanachama wa cdm au alirudisha kadi mkuu?
 

hakutoka jela kwa kupewa deal na Mama Abdul?!
USHAHIDI?
 
Gentleman,

Hizi saga zinanifanya nikumbuke kitabu Cha...

BETRAYAL IN THE CITY by fransis Imbuga..

There is one complicated question at the heart of the play.
What chance do the citizens of a country have if the most powerful people in government are monsters??

Kuna huyu wakuitwa mosese akiwa jelaaaa askari tells Mosese in the jail ‘’It doesn’t pay to have a hot mouth’’

Pia docta slaa anaweza kua ni mzalendo wa kweli mwenye uchungu na hii nchi nipende kunukuu huu usemi wa kizungu ‘’silence is the best ship home’’ meaning silence is the best way of evaluating or leaving the problem.

Ngoja tuendelee kusubiri Nini kitajiri kwa Docta slaa Ila hii saga imenikumbusha play ya BETRAYAL IN THE CITY Cha fransis Imbuga.
 
DPP na serikali ni vitu tofauti? Wakati Lissu anaongea na Rais Belgium mbona alimwomba Rais kesi zake zifutwe kwani Rais ni DPP? DPP akachukua hatua za kufuta kesi kwa maelekezo ya serikali hapo unasemaje? Au kwa Lissu ni sawa ila kwa Mbowe si sawa. DPP ni moja ya organs za serikali na mkuu wa serikali ni rais. Dunia nzima serikali ina discretion ya kufuta kesi, chukulia mfano kesi za Trump DOJ mbona imeamua kuzifuta baada ya Trump kushinda.

Viongozi wa dini ni watu wanaoaminiwa na jamii kuwa ni watu wa haki na wanayafznya mapenzi ya Mungu ambapo jukumu mojawapo ni upatanishi, labda kama huna dini huwezi kuelewa. Wao kwenda gereza I ilikuwa ni sawa na key issue ni kuwa walikuwa wanamuomba Mbowe akubsli kuonana na Rais na hilo sio kosa wala udhaifu ,, mambo ya kisiasa huwa yanaishia mezani kwa watu kuzungumza, kama. Nynyi sera yenu hamtaki mazungumzo anzisheni chama chenu mtekeleze hiyo sera tuone kama mtaachieve lolote.
 
Anzisha chama chako ukijenge kiyafanye hayo unayotaka. Mbona Zitto alipofukuzwa alianzisha chama chake na kina mtandao nchi nzima?

Kwa nini unalazimisha Mbowe akuachie. chama.
 
nimependa sana hiyo title ya hiyo kitabu ya huyo muungwana wa “second generation” of East African writers,

lakini nimevutiwa zaidi na sehemu ya maudhui, kwa namna uliyoyaeleza kwa kifupi, ni dhahiri kwamba kitabu ni kizuri.

hata hivyo,
mzee slaa ni bingwa wa usaliti, tamaa na ubinafsi Tanzania,
anajifanya mwanaharakati buti ukweli ni kwamba anapambwa na sura ya kutoa aminika wala kukubalika na jamii hususani jamii ya chadema.

gentleman,
hivi huyo mzee slaa ni mwana chama wa chama gani hasa maana niliskia akifafanua katiba ya chadema kabala ya kutiwa nguvuni kwa uchochezi
 
Kuna uposhaji mwengine umeweka mama samia na mbowe awajakutana sasa upotoshaji mwengine huuu iyo barua ni ya kitambo sana sasa kuweka ile clip ya DK Slaa kisha chini kuweka iyo Barua ambayo aiyonyeshi walikutano lini mbowe na mama Samia unapotosha watu. Iyo barua ni ya kitambo sana ndipo walionana sio sasa. Mbowe na mama Samia.
 
Barua ya 22 Mach 2022 sasa kuiyambatanisha sasa na clip huu upotoahaji kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…