Haya mazungumzo ndio ya kumkamata Slaa?!! Mbowe kweli anapewa msaada na dola kubaki CHADEMA?!! Mbowe aaminiwe ama amegeuka kua dalali wa watawala?!

Ni kama utani ila ni hatari sana!!
 
😊😊😊 Sio rahisi mtu kupewa UBALOZI Ina maana chama Dola hakikuhusika...

Hayati baba wa taifa kambarage Nyerere alimkubali Sana padri slaaa na for years slaa amejipambanua Kama mpinga UOVU refer LIST OF SHAME..e.t.c

Hakuna mtu mwenye huruma/ uchungu na TANGANYIKA isipo kua sisi watanganyika wenyewe....Na siku zotee Dunia wapigania haki husongwa na mengi hata kuuwawa so hakuna kipya/jipya hapa ULIMWENGUNI.

Ni RIDE OR DIE 🎲
 
DMC,RMC,AMC,KMC- is it a coincidence IDs zote hizo zinafanana mawazo na jambo la kutetea?!! Ama ni kile kitengo cha online Lumumba?!!

Ni muhimu kujua kama unawasiliana na watu automated on duty ama personal thinker!!
 


Umeelewa andiko Zima lakini?!! Na checking fact zake je?!!
 
Kwenye mariadhiano ya Samiah na Mbowe,Mbowe aliahidi kushirikiana na serikali kwa namna yoyote ile,ndiyo maana Lucas Mwashambwa,Tlahtlah na Choicevariable wako upande wa Mbowe 100%
 
Ila angekua amesifia watawala angeonekana shujaa?!!
Kosa hilo ndio la kumnyima dhamana?!!

Hoja ya Slaa umesema muongo,je nyinge 4?!!
Mimi naijua hiyo ya uongo.
 
Kwenye mariadhiano ya Samiah na Mbowe,Mbowe aliahidi kushirikiana na serikali kwa namna yoyote ile,ndiyo maana Lucas Mwashambwa,Tlahtlah na Choicevariable wako upande wa Mbowe 100%
Vipi wewe hutaki?
 
Ulivopangilia nkajua ni "Advocate Pascal Mayalla ".
Au wewe ni mwanafunzi wake!!
 
Umeona eh.
 
Hili jambo linasikitisha sana.
 
Mbowe aahidi,"Kufanya siasa za kistaarabu na za Kiungwana na kuwa yuko tayari kushirikiana na Serikali.........." Hapo Mbowe aliridhia siasa za kusifu na kuabudu ambazo zimetamalaki kila kona ya nchi.Kwenye vitenge,kofia,viatambaa,ma t-shirt,mambango mijini ya kusifu na kushukuru juhudui za mheshimiwa Rais kila mtaa.Na hata mtu akipata mimba na kujifungua salama anasifu na kuabudu juhudi za Rais kwa kuwa amejifungua salama.
 
FACT.
 
Kwenye mariadhiano ya Samiah na Mbowe,Mbowe aliahidi kushirikiana na serikali kwa namna yoyote ile,ndiyo maana Lucas Mwashambwa,Tlahtlah na Choicevariable wako upande wa Mbowe 100%
Hao uliowataja wanafanya hivyo ili Mbowe aonekane ni kibaraka wa CCM na hivyo watu waone kuwa Lissu ni chaguo sahihi. Hivi unaamini kabisa kuna mpiga kura wa Chadema atampigia kura mtu kwa sababu tu anapigiwa debe na hao uliowataja.

Mimi najiuliza, hivi ingekuwaje kama Mbowe angekuwa anapigiwa debe na watu kama Msigwa na Slaa! Mngemchanachana vipande. Lakini kwa sababu mmeingia katika cult ya Lissu mnafungia macho ukweli kuwa Slaa alishiriki vizuri na kwa uwazi katika juhudi za kuibomoa CDM. Na hata Mbowe alipokuwa na kesi hakutaka watu wamtetee. Rafiki Mkuu wa Lissu, Peter Msigwa sasa hivi ni kada mzuri wa CCM ambae sio tu anaimba mapambio ya kusifia CCM bali anafanya kila jitihada kuibomoa CDM. Mnataka kutuaminisha kuwa ataacha juhudi hizo Lissu akiwa Mwenyekiti.?

Amandla...
 
Muache akatoe ushahidi wa aliyoyaongea,amesha muhusisha Rais wa nchi
Unadhani Rais ni Mbowe mnaemtukana ovyo,acha akanyee debe,alijisahau sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…