Haya mnaoilaumu TANESCO mmejibiwa na rais Samia

Haya mnaoilaumu TANESCO mmejibiwa na rais Samia

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
IMG-20231216-WA0000.jpg


Lakini pamoja na majibu haya, Biteko atoke.
Biteko hafai.
Biteko ni tatizo.

===
FACTS: Rais Samia amezungumza suala la kuwa ukilaumiwa jua unafanya vizuri Desemba 16, 2023, hata hivyo kauli hiyo ilitolewa kuhusu elimu na sio taasisi nyingine za serikali. Alichosema Rais ni
"Sio kwenye mitihani tu kwenye maeneo yote lawama zipo tu na ukiona unalaumiwa unafanya vizuri, usipo fanya vizuri watu wanasema chini chini hufanyi vizuri kwahiyo ukiona watu wanasimama na kukulaumu ujue mambo yako supa endelea"

"Lakini hakikisheni majukumu yenu yanaendana na shabaha ya sera ya elimu kama nilivyosema uratibu hususani katika upimaji na umahiri, tungependa kuwa na sera zinazosomana na kukamilishana"
 
Msitegemee maendeleo chini ya CCM, Chadema , yani vyama vilivyozaliana kutoka CCM.
Vijana tuliozaliwa 1990s siku tukijitambua na kuanzisha vyama vya upinzani ivyo ndo vitaitoa CCM madarakani. Kataaa CCM, Chadema, AcT na vingine vyote
Huu mchakato uanze lini mana 2025 iko Palee ??...Mm ntakuwa Mwenyekiti
 
Nonesense! Una chuki binafsi na Biteko

Tumia akili yako vizuri.

Japo una point!
Biteko ni mtu mweupe sana kichwani. Mwalimu wa primary asiye na exposure yoyote.

Kama wewe ndiye Biteko jitambulishe nikupe za uso acha mbwembwe
 
Naona ule uzi mwingine ulioanzisha ndio chanzo cha hasira zako dhidi ya Biteko, sasa kwa jibu hilo la Samia umeshindwa kuficha hasira zako kwa Biteko ukaendelea kumlaumu badala ya kumlaumu yule aliyemuweka, huyo ndie chanzo cha tatizo sio Biteko.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Taifa lililoshindwa kila kitu.

Mama Samia amekuwa anaongea VIJEMBE badala ya kuchukua hatua kupitia malalamiko ya wananchi wake.

Wananchi nao badala tuchukue hatua kwa viongozi tuliowachagua, tumebakia TUNALALAMIKA kila siku, hadi watawala wanaona kulalamikiwa ni kusifiwa.

Nchi inaendeshwa KI-MIPASHO na U-CHAWA.
 
View attachment 2844149

Lakini pamoja na majibu haya, Biteko atoke.
Biteko hafai.
Biteko ni tatizo.
Simba baada ya kupata kocha mpya haimaanishi miujiza wa ushindi utaanza hapo hapo!
Kuna mambo mengi kufanikisha kupata ushindi ikiwepo kuwasoma wachezaji na kuona yupi anamfaa na yupi hamfai ikiwapo yeye kocha kupendekeza anahitaji mchezaji wa aina gani?
 
Back
Top Bottom