Lakini pamoja na majibu haya, Biteko atoke.
Biteko hafai.
Biteko ni tatizo.
===
FACTS: Rais Samia amezungumza suala la kuwa ukilaumiwa jua unafanya vizuri Desemba 16, 2023, hata hivyo kauli hiyo ilitolewa kuhusu elimu na sio taasisi nyingine za serikali. Alichosema Rais ni
"Sio kwenye mitihani tu kwenye maeneo yote lawama zipo tu na ukiona unalaumiwa unafanya vizuri, usipo fanya vizuri watu wanasema chini chini hufanyi vizuri kwahiyo ukiona watu wanasimama na kukulaumu ujue mambo yako supa endelea"
"Lakini hakikisheni majukumu yenu yanaendana na shabaha ya sera ya elimu kama nilivyosema uratibu hususani katika upimaji na umahiri, tungependa kuwa na sera zinazosomana na kukamilishana"