Haya ndio makadirio ya gharama (ukitumia rate za kiserikali) kusafirisha wasanii 40 Korea

Hizi ni zile zimekatwa kutoka kwenye ile 1000 ya kila kilo 1 ya Sukari. All in all haya mambo hayataisha bila action
 
Ujinga huu ndiyo alioufanya Rais William Ruto kwa kutumia pesa za Kenya zaidi ya milioni 200 kwenda USA na badae anaandaa finance bill insyotoza Kodi kwenye kila kitu mpaka pedi za kike, mikate nk

Wakenya wamekataa ujinga huo na Sasa wanaiadabisha na kuiwajibisha serikali ya Ruto

Mpaka Sasa hawana hamu. Nchi imeharibika kwa maamuzi madogo sana lakini ya kijinga!
 
Jamani na sisi tunaodaiwa na bodi ya mikopo si watusamehe tu. Kama pesa ya kuwasafirisha wasanii, kuwalipa wenza wa viongozi zipo kwanini za kutusamehe pesa ya loan board lishindkane kama hata wao walisomeshwa bure.
 
Tumetumia fedha zote hizo.

Na bado tukawahonga bahari hao wakorea.

Na wamekuja kufuata na madini.

Ila SISI wanatuambia eti tulipe KODI.
 
 
Walupiga kampeni hao na wananenepeshwa wapate nguvu ya kupiga kampeni tena...
 
Mbona kidogo sana hizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…