Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Kwenye huo uzi ndo kasema sijui madini....

Anyway mi mpaka sasa hivi bado nastaajabu, kwanini mtu akupangie cha kukomenti?

Hata kama ni kujishaua si wewe, inahuu[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Mbona sijawah kujishaua jamani😀😀! Anywys...sasa n wale wanaondika nna miliona 100 nifanye biashara gan tuwaweke wapi?🤣
 
Hahaha bora mkuu we umeligundua hiloo[emoji16]

Kuna watu hadi wanaiota JF na hizi hizi ID fekerooo

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Hahah...yup

Kama kwenye ule uzi sijui ulicomment nini kile then wakaanza kukuandama na hiyo sent from my 'TECNO KA7'...

Some folks are so last year kinda...wao wanaona black and white tu
 
Mnanimaindi sio?😅😅😅 mie kufurahi ndio jadi yangu
 
Hahah...yup

Kama kwenye ule uzi sijui ulicomment nini kile then wakaanza kukuandama na hiyo sent from my 'TECNO KA7'...

Some folks are so last year kinda...wao wanaona black and white tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787]
Hao wote ni shughuliless...humu ndo pa kupumulia[emoji16]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Mbona kazi sana, kwamba kuna wale wanaopenda kuelezea issues zao na maisha yao kwa ujumla. Waacheni jamani wengine tunajifunza kitu, sio kila mtu anaweza kuandika mambo yake, matamanio yake, michongo yake.

Sasa wale wanaoweza kujiachia na kazi/michongo yao tuwaache, hawajishaui hata..wanatoa experience zao, na sisi tunapata madini. Japo kila kitu kwa kiasi bwana...dah!
 
Asilimia kubwa ya uliowataja ndio wanaoifanya JF iwe JF, otherwise JF isingekuwa JF
Ni kama wale mashabiki wanao ingia bure Purposedly kwenye vibanda vya mipira ili kuhamasisha wengine wawepo ? Kutokana na Styles zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…