Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Haya ndio ya makundi ya watu wa JF na tabia zao

Mimi sikutegemea nimeshangaa na kustaajabu mnoo mnoo[emoji134][emoji134]

Shughuli wanafanya saa ngapi?

Mi mambo ya humu sikumbuki hata, nikichomoka labda nirudi tena

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Mimi mpaka majina ya members yananipa Tabu

Naweza nikatamani kutag nikafikiria wee mwisho nikaacha

Sasa huyu mpaka michango ya members anaikumbuka!

Atumie talanta yake vyema itamfikisha mbali
 
Asante sana chairperson

Mkuu ningeshangaa kama list yako angekosekana ndugu yangu Extrovert ....Huyu jamaa umemuweka kundi lenyewe kabisaaa...Halafu sasa, akicomment basi ni masihara 99%..ila asipocomment atalike...na huwa ananishangaza sana maana hata likes zake nyingi ni za kucheka tu hata kwenye vitu visivyochekesha....
Ukiona kwenye post yako wamelike wadau hata mia na kicheko kimoja...usipate tabu kujua huyo mmoja aliyecheka kati ya hao 100 ni Extrovert..Sijui ana bandama kubwa!!!

Additional point
Inaonekana mtoa mada una mzimia sana/ unamchukia sana Wangari Maathai ....moja kati ya hayo ni majibu.
 
Mi nahisi madini Geita, huoni hiyo sentensi imerudiwa rudiwa[emoji848][emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Basi natoka geita narudi moro tuteseke wote...!😀😀! Hv ww wity kama nakuona una mishe kidg ina unafuu why nisikuombe unipe abc😀😀! Mm humu nacheka sana .hee ww ndo umeniambia kumbe ni geita migidini?? Saitakuwaje! Bas waambie naondoka mwaya🥰
 
Basi natoka geita narudi moro tuteseke wote...![emoji3][emoji3]! Hv ww wity kama nakuona una mishe kidg ina unafuu why nisikuombe unipe abc[emoji3][emoji3]! Mm humu nacheka sana .hee ww ndo umeniambia kumbe ni geita migidini?? Saitakuwaje! Bas waambie naondoka mwaya[emoji3059]

JF [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] !
 
Asante sana chairperson

Mkuu ningeshangaa kama list yako angekosekana ndugu yangu Extrovert ....Huyu jamaa umemuweka kundi lenyewe kabisaaa...Halafu sasa, akicomment basi ni masihara 99%..ila asipocomment atalike...na huwa ananishangaza sana maana hata likes zake nyingi ni za kucheka tu hata kwenye vitu visivyochekesha....
Ukiona kwenye post yako wamelike wadau hata mia na kicheko kimoja...usipate tabu kujua huyo mmoja aliyecheka kati ya hao 100 ni Extrovert..Sijui ana bandama kubwa!!!

Additional point
Inaonekana mtoa mada una mzimia sana/ unamchukia sana Wangari Maathai ....moja kati ya hayo ni majibu.
Wewe unatamani uprndwr na kila mtu? Mm mtu akinichukia binafsi inanipa wahka wa kuzichanga zaidi ..maana akikupenda sana sana atakuchota tu
 
Basi natoka geita narudi moro tuteseke wote...![emoji3][emoji3]! Hv ww wity kama nakuona una mishe kidg ina unafuu why nisikuombe unipe abc[emoji3][emoji3]! Mm humu nacheka sana .hee ww ndo umeniambia kumbe ni geita migidini?? Saitakuwaje! Bas waambie naondoka mwaya[emoji3059]
Kwenye huo uzi ndo kasema sijui madini....

Anyway mi mpaka sasa hivi bado nastaajabu, kwanini mtu akupangie cha kukomenti?

Hata kama ni kujishaua si wewe, inahuu[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Unaona mpaka anasahau siku.

Me katika vitu ambavyo sitakaa nipate joto la makalio, ni kuwawazia member wa humu.
Haya, katutaja...kapata faida gani?
Akwendree zake huko na usponyo wake.

Tena leo nina mood nzuri ndo mana sitaki kumchamba sana huyo.
Labda baadae nikipata stimu...
 
Back
Top Bottom