Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

Unavyowaona hapa JF bavicha wakitukana ndivyo mgombea wao jinsi alivyo, yupo hivyo hivyo mkuu hakuna tofauti.
 
..unachokosea ni kwamba ndege zinaendeshwa kwa HASARA.

..tumenunua kwa fedha taslimu, na bado shirika linatumia RUZUKU toka serikalini.
 
Kwani nchi hii kuna flyover?
Msituchanganye wananchi hayo ni mavivuko tuu yanaitwa interchange
Ndugu iwavyo vyote ila wengine faida twaiona mchana kweupe. Daladala yetu imekuwa ikienda ruti kama ni nyingi hazikuzidi nane yaani nne kwenda poster na nne kurudi gongolamboto leo ni zaidi ya ruti 16.
 
Mbona watetezi wa ccm mmepwaya sana mwaka huu wamewatoa wapi mje muokoe jahazi
 
Ndugu iwavyo vyote ila wengine faida twaiona mchana kweupe. Daladala yetu imekuwa ikienda ruti kama ni nyingi hazikuzidi nane yaani nne kwenda poster na nne kurudi gongolamboto leo ni zaidi ya ruti 16.
Ila kuna watoto wa darasa la tano njombe mvua ikinyesha wiki mzima hawaendi shule kwasababu mto unaotenganisha vitongoji imejaa maji
 
Lissu ananadi Sera ambazo hata mwenye chama Mbowe hana.. Chama magumashi hiki hatari kabisa. Malizia kampeni zako urudi kwenu Ubelgiji kwa bwana zako waliokutuma.
 
Kama kweli hujammezesha maneno basi kakosea ila sijasikia popote akisema ivyo.

Pili, izo sio flyover ni interchange. Ungekuwa na exposure ungeweza tambua flyover ni nini!
Kasema Mimi nimemsikia ila Chadema hawawezi kukubali kwamba kachemka.
 
Sasa ni mwendo wa kutafuta kura, ikiwezekana hata fitina tutatumia tu. Kwani unaposema kitambulisho chaweza kutumika kukopa benki unaielewaje hiyo, ina uhalisia wowote? Kitambulisho hakina jina, picha, anwan wala sahihi ni benki gani hakukubali kitambulisho hicho! Anza na hilo kabla ya kwenda kwenye flyover!
 
..unachokosea ni kwamba ndege zinaendeshwa kwa HASARA.

..tumenunua kwa fedha taslimu, na bado shirika linatumia RUZUKU toka serikalini.
Aliyekwambia kuna hasara ni nani?
Acheni ulongo wenu. Tatizo.mnafata habali kutoka kwa viongozi weu ambao ni waongo, mara magufuli kakutana na wakurugenzi , mara kampuni ya ku print karatasi ni ya kada wa CCM, sasa hao ndo muna waamini?
Kuhusu kuleta watalii kumbuka kabla ya corona ndege yetu ilikuwa imejaa kutoa watalii china.
Na walikuwa wanashughulikia kibali cha kwenda nchi za ulaya. Na corona ilivyoingia kila kitu kikasimama,
Leo anakuja Tundu lisu anakuwa ndo mtoa habali wenu wakati hata hakuwa hapa nchini na mna muamini.
Tumieni.akiri zenu wenyewe.
 
Kama kweli hujammezesha maneno basi kakosea ila sijasikia popote akisema ivyo.

Pili, izo sio flyover ni interchange. Ungekuwa na exposure ungeweza tambua flyover ni nini!
Inaonyesha exposure yako ni kubwa sana keep it Up, with an explanation ya ubungo kuwa sio "flyover" maana ukitoka Mjini Kwenda Kimara utakuwa una :interchange" toka Mjini kuingia kijijini?? Na vivyo hivyo ukitoka buguruni kwenda Mwenge utakuwa una "interchange" toka buguruni kuchange to Mwenge hongera sana.
 
Ndo hayo Lissu anasema yasingekuwepo hayana faida kwa wananchi wa kijijini kwao.
Kijijini kwao wanazalisha nini kwa uvhumi wa nchi?
Yeye si anataka serikari za majimbo?
Akwambie kwa kipindi.alikiwa mwakilishi hapo ikungi alwaletea nini kutoka serikarini kama msemaji wao?
Ataje hata kimoja tofauti na huduma za lazima ambazo serikari lazima ipeleke kisha uje tuchangie?
 
Huu uwakala wa kuingia chumba cha kupigia kura halafu ukatoka mikono mitupu kama ilivyoingia ni uwakala wa karne gani huo! Mbona viongozi mnatuona watanzania malofa saaana. Au toka marehemu mzee Mkapa atuite malofa bado tunaendelea na ulofa uleule? Hamjui kuwa sikuizi elimu ni bure kila mtu nimuelewa? Fujo ya nini? Yaani mnataka kusema Tanzania bila CCM haiwezekani?
 
Japokuwa vijijini mtandao wa barabara za lami haujasambaa sana, hata kama hiyo interchange isingejengwa, bado matatizo yasingemalizwa na pesa iliyotumika Ubungo.

Ile interchange ya Ubungo ina faida nyingi kuliko hasara na ujenzi wake haupaswi kubezwa na wala hatuwezi kucompare na airport ya Chato
 
Ni jambo la muhimu na zuri sana kwa Watanzania kujitambua kuwa tunao maadui wa ndani na nje waTaifa hili, mkazo ulikuwa kwa wale wa nje zaidi. Pia ni muhimu sasa kutambua kuwa maadui hawa wanashirikiana kwa vile maslahi yao ni mamoja na ni ya kiuchumi na kutawala.

Ukijaribu kuangalia wengi wao moja ya silaha katika kampeni hizi ni proppganda za kutaka kuonesha kuwa Lissu anawafuasi wengi, wakati sio kweli.

CCM umati wa JPM, Mama Samia na Majaliwa, hapo hujazungumzia wabunge na madiwani nchi nzima. Upinzani au cdm hawana chao , huu bdio ukweli.

Wakati umefika midamu tumetambua hili, basi mikakati iwepo jinsi ya kupambana na maadui wa ndani pia,kwani wanazidi kuwa tishio kwa uhuru na maslahi ya wengi wa Watanzania hasa wa hali za chini za maisha kila iitwayo leo.
 
Hebu lete Auditing statement yao tuone
acheni huu ujinga wa Mbuni...ikiwa mashirika makubwa yenye uzoefu wakufanya hiyo biashara ya ndege wanalia hasara kila mwaka nyie mlioanA juzi anaongea ujinga sijui kwa kumfurahisha nani
 
Tatizo hana wapambe wa uchumi,wala washauri wa biashara. Hata pale anapokuwa na jambo jema hatokei msemaji wa chama kulieleza kwa ufasaha.
 
Hebu lete Auditing statement yao tuone
acheni huu ujinga wa Mbuni...ikiwa mashirika makubwa yenye uzoefu wakufanya hiyo biashara ya ndege wanalia hasara kila mwaka nyie mlioanA juzi anaongea ujinga sijui kwa kumfurahisha nani
Kwa hiyo mimi ndo nikupe wakati wewe mdo umesema wanapata hasara?
Kwa nini nyie msitoe kama mnao?
Huo ni ujinga ambao mlimsema Lowasa atangulie mahakamai mna ushahidi, badae alipojiunga nanyi mkaanza kusema wanaosema Lowasa ni mwizi walete ushahidi.
Sasa ule mliokuwa nao mwanzo mlitupa wapi?
Acheni ujinga wenu.
 

Kwa miaka yote ya uhuru

Tanzania nikuna flyover au interchange?
 
Kwani dar watu wote wanapita ubungo au tazara?

Nenda mbagala kutoka posta uone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…