Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

Kama Tundu Lissu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka.

Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke Ubungo ndio lango kuu la kuingia na kutoka Dar.

Hivi kweli akili yake kabisa inauongoza ulimi wake kusema kama angekuwa yeye asingejenga zile flyover za Ubungo kwa hiyo akiingia madarakani hata hizo Magufuli alizoahidi nyingine kuzijenga awamu ijayo hatajenga.

NITAWASHANGAA SANA WANA DAR ES SALAAM MKIMPA KURA TUNDU LISSU, MMMEKWISHA HAFAI.

LABDA AFUTE KAULI YAKE NA KUOMBA MSAMAHA WATU WA DAR.

Unatakiwa kuacha uwongo alichokisema nikuhusu chato uwanja wandege na kununua mandege sijawahi kumsikia lisu akiuliza nani anatembea barabarani ila nimemsikia akihoji kuwa mlalahoi gani anapanda ndege acha kumlisha maneno
 
HABARI,

JokaKuu

Nashukuru sana Joka kuu nimekuelewa ni kweli barabara nyingi za vijijini ni mbovu na ndiko vyakula na vinapotoka mimi nadhani Lissu angesema ataweka mkazo kwenye barabara za vijijini Lakini sio kusema zile barabara za juu ubungo asingejenga kwanza pale amejiharibia kwa wapigakura wa dar.
Lakini hata mwendo kasi kama kapanda pia akienda na hiyo dhana yake inamaana hata huo mradi wa mwendo kasi alio panda haukuwa na umuhimu kwa dar maana miradi yote hiyo ni kupunguza msongamano wa Dar.Ambako ndiko ukusanyaji mapato ya nchi makubwa yanatoka huo.
Uwezi kulikwepa jambo la kupunguza msongamano dar hata kidogo kwani hata hizo pesa za kujenga barabara za huko vijijini zitatoka kwa kiasi kikubwa na mapato ya Dar.

LUMUMBA
Nikwambie kitu mkuu ile Ubungo interchange sijui whatever the f**ck it is haijatatua tatizo bali imehamisha tatizo, kwa sisi tunaopita pale kila Leo sijaona kilichobadilika (hasa muda nliokuwa nafika nyumbani b4 that shit na sasa). Tuwe wakweli walikurupuka, kweli daraja linaanzia ubungo mpaka riverside then itegemee foleni iishe?? Ni umanina was sgr..! ccm mmechoka kwa kweli inabidi kuwapumzisha damu mpya nguvu mpya akili mpya iingie labda tutaanza kufikiri na kwenda mbele ila nyie almost 60 years m'meshindwa hata kuwafikia wakenya achana na wanigeria..!!
 
Tatizo natumia simu ndogo
But maelezo yako yenyewe tu yanakubali kuwa flyover is road that passes above (along) anather road ila hii ya kwetu ni road across anather road just above it.

Hata jina la mkataba si linaonyesha name of project ni "ubungo exchange"
HABARI
,Ndugu mada umeielewa lakini naona unataka kuipindisha na mada nyingine.
Nadhani ujumbe umekupata vema.
LUMUMBA
 
HABARI,

JokaKuu

Nashukuru sana Joka kuu nimekuelewa ni kweli barabara nyingi za vijijini ni mbovu na ndiko vyakula na vinapotoka mimi nadhani Lissu angesema ataweka mkazo kwenye barabara za vijijini Lakini sio kusema zile barabara za juu ubungo asingejenga kwanza pale amejiharibia kwa wapigakura wa dar.
Lakini hata mwendo kasi kama kapanda pia akienda na hiyo dhana yake inamaana hata huo mradi wa mwendo kasi alio panda haukuwa na umuhimu kwa dar maana miradi yote hiyo ni kupunguza msongamano wa Dar.Ambako ndiko ukusanyaji mapato ya nchi makubwa yanatoka huo.
Uwezi kulikwepa jambo la kupunguza msongamano dar hata kidogo kwani hata hizo pesa za kujenga barabara za huko vijijini zitatoka kwa kiasi kikubwa na mapato ya Dar.

LUMUMBA

..kuna theories nyingi sana za wataalamu wa usafiri wa mijini kuhusu namna ya kupunguza msongamano wa abiria.

..mimi nilivyomsikiliza TL, na nilivyowasikiliza Cdm, ni kwamba wanaamini hiki kinachofanyika hakitoshi kutatua tatizo la msongamano wa Dsm.

..sasa ndio hapo wanapendekeza kuanzishwa kwa usafiri wa treni za mijini, usafiri wa pantoni toka maeneo mengine zaidi ya kivukoni, etc.

..mwisho, ambacho amekuwa akikisema TL mara kwa mara ni kusahauliwa kwa barabara muhimu za mikoani na mawilayani. wakati huohuo ujenzi wa miundombinu ya Dsm umepamba moto kwelikweli.

..Barabara za Dsm ni muhimu, lakini tusiwasahau kuboresha na za vijijini. Barabara za vijijini zinachochea uzalishaji, biashara, na uwekezaji, ktk maeneo hayo. Hiyo nayo ni mbinu mojawapo ya kupunguza msongamano Dsm, kwani wananchi hawatalazimika kuhamia mjini kupata nafuu ya maisha.
 
Kama Tundu Lissu kathubutu kusema flyover za Dar asingejenga, angejenga barabara za vijjini Singida kweli amechemka.

Dar ni mkoa unaochangia mapato ya serikali kwa zaidi ya asilimia 50. Flyover zile zimechangia kwa kiasi kikubwa kupunguza kama si kuondoa kabisa foleni pale Ubungo na ukumbuke Ubungo ndio lango kuu la kuingia na kutoka Dar.

Hivi kweli akili yake kabisa inauongoza ulimi wake kusema kama angekuwa yeye asingejenga zile flyover za Ubungo kwa hiyo akiingia madarakani hata hizo Magufuli alizoahidi nyingine kuzijenga awamu ijayo hatajenga.

NITAWASHANGAA SANA WANA DAR ES SALAAM MKIMPA KURA TUNDU LISSU, MMMEKWISHA HAFAI.

LABDA AFUTE KAULI YAKE NA KUOMBA MSAMAHA WATU WA

lisu yuko sahihi
 
Usiwe na wasiwasi. Anaweza kushinda Kura nyingi za Urais, lakini hatoshinda nafasi ya Urais, Never to happen on Earth.
 
Back
Top Bottom