Haya ndiyo aliyoyasema Lissu kuhusu “flyover” za Dar es Salaam

Unatakiwa kuacha uwongo alichokisema nikuhusu chato uwanja wandege na kununua mandege sijawahi kumsikia lisu akiuliza nani anatembea barabarani ila nimemsikia akihoji kuwa mlalahoi gani anapanda ndege acha kumlisha maneno
 
Nikwambie kitu mkuu ile Ubungo interchange sijui whatever the f**ck it is haijatatua tatizo bali imehamisha tatizo, kwa sisi tunaopita pale kila Leo sijaona kilichobadilika (hasa muda nliokuwa nafika nyumbani b4 that shit na sasa). Tuwe wakweli walikurupuka, kweli daraja linaanzia ubungo mpaka riverside then itegemee foleni iishe?? Ni umanina was sgr..! ccm mmechoka kwa kweli inabidi kuwapumzisha damu mpya nguvu mpya akili mpya iingie labda tutaanza kufikiri na kwenda mbele ila nyie almost 60 years m'meshindwa hata kuwafikia wakenya achana na wanigeria..!!
 
HABARI
,Ndugu mada umeielewa lakini naona unataka kuipindisha na mada nyingine.
Nadhani ujumbe umekupata vema.
LUMUMBA
 

..kuna theories nyingi sana za wataalamu wa usafiri wa mijini kuhusu namna ya kupunguza msongamano wa abiria.

..mimi nilivyomsikiliza TL, na nilivyowasikiliza Cdm, ni kwamba wanaamini hiki kinachofanyika hakitoshi kutatua tatizo la msongamano wa Dsm.

..sasa ndio hapo wanapendekeza kuanzishwa kwa usafiri wa treni za mijini, usafiri wa pantoni toka maeneo mengine zaidi ya kivukoni, etc.

..mwisho, ambacho amekuwa akikisema TL mara kwa mara ni kusahauliwa kwa barabara muhimu za mikoani na mawilayani. wakati huohuo ujenzi wa miundombinu ya Dsm umepamba moto kwelikweli.

..Barabara za Dsm ni muhimu, lakini tusiwasahau kuboresha na za vijijini. Barabara za vijijini zinachochea uzalishaji, biashara, na uwekezaji, ktk maeneo hayo. Hiyo nayo ni mbinu mojawapo ya kupunguza msongamano Dsm, kwani wananchi hawatalazimika kuhamia mjini kupata nafuu ya maisha.
 

lisu yuko sahihi
 

Usiwe na wasiwasi. Anaweza kushinda Kura nyingi za Urais, lakini hatoshinda nafasi ya Urais, Never to happen on Earth.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…