Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We MzeeAkibainika ni kweli afungwe maisha
USSR
Akifungiwa hata siku moja tu nitahamasisha Gen-Z wafanye mambo yao kama wenzao wa Kenya walivyofanya.AFUNGIWE MIAKA 60 tuone atamtega nani
Sasa nimepata uhakika hiyo ID yako ulikosea spelling hapo mwisho ilibidi ikae "a".ney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Mpumbavu ni wewe ambaye unaona hali mbaya ambako wanaotegemewa kutulinda (polisi) wanatajwa na wahanga kama Sativa wanawataja akina Mafwele lakini wanaowataja wanafunguliwa mashtaka kama Boni Yai.ney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Kuhakikishiwa kula kwenye nafasi nyeti pale hazina kiasi cha kuwa na hela ya kununua timu ya mpiraKwani yule aliedai kwamba "Tuhamie Burundi" kisa wananchi kukataa matozo yao yasiyo na kichwa wala miguu, yeye alifunguliwa KESI ya aina gani?
Hivi wewe ni jinsia gani unayemuonea wivu mwenzioKatika watu hawajui kuimba ni huyo Ney wa mitego alikosea kila kitu kwanzia kuchagua jina lake la sanaa mwanaume unajiitaje Ney alaf wa mitego!
Aachwe asifungiwe
Aiwezekan nyimbo zote ziwe za kusifu tu ! Kusema ukweli ahaa.!Akibainika ni kweli afungwe maisha
USSR
ney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Itakusaidia nini akifungwa?Akibainika ni kweli afungwe maisha
USSR
ney ni mpumbavu wenzie wanatafuta hela yeye anaangaika uhanaharakati uchwara, kaingia kwenye kumi na nane za maria sarungi yule mwanamke ni nyoka
Ndiyo kazi zake hizoDiamond naye ameitwa ajieleze alifata nini kwa Pdidy 🐼
Wakuu,
Ndio walikuwa wanajitapa na uhuru wa kutoa maoni kuongezeka. Kauli za kichochezi inatakiwa kutolewa maana. Huku ni kutufanya mabubu wazi wazi.
======
HATI YA MAKOSA
KOSA LA KWANZA
Kutoa wimbo kwa walaji bila kibali, kinyume na Kanuni ya 25(1) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni, ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA kwa walaji kabla ya kupewa kibali cha kuthibitisha kuwa maudhui yake yamezingatia maadili.
KOSA LA PILI
Kutoa wimbo ambao maudhui yake yanahamasisha uchochezi kinyume na Kanuni 25(6)(d) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni, ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanahamasisha vitendo vya uchochezi dhidi ya Serikali kwa madai kwamba Serikali inahusika katika kufanya vitendo vya utekaji na mauaji ya watu.
KOSA LA TATU
Kutoa wimbo ambao maudhui yake yanapotosha jamii, kinyume na Kanuni 25(6)(b) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni ya 25(6)(b), ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanapotosha jamii kwa kuiaminisha kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ameshindwa kutekeleza majukumu yake hivyo nchi inazama, na kwamba miradi ya maendeleo ilioachwa na mtangulizi wake imetelekezwa.
KOSA LA NNE
Kutoa wimbo ambao maudhui yake ni kukashifu mataifa mengine kinyume na Kanuni 25(6)(h) ya Kanuni za Baraza la Sanaa la Taifa, 2018.
MAELEZO YA KOSA
Msanii Emmanuel Elibariki Nay wa Mitego mnamo tarehe 24/09/2024, huku ukijua kwamba ni kinyume na Kanuni ya 25(6)(h), ulitoa wimbo unaoitwa NITASEMA ambao baadhi ya mashairi yake yanakashifu nchi ya Rwanda na nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kudai kwamba nchi hizo hazina usalama, jambo ambalo linaweza kusababisha nchi ya Tanzania kuingia kwenye mgogoro wa kidiplomasia na nchi hizo.
E.E. Buganga
Kny: KATIBU MTENDAJI
27/09/2024
Nakala: Katibu Mtendaji aione kwenye Jalada
Soma Pia: Ney wa Mitego aitwa BASATA kujadili wimbo wake wa ‘Nitasema’
View attachment 3108238View attachment 3108237
Hakika kuna mambo mwingine huaga hawana kazi za kufanya...
Tunaposema Mwafrika ni mtu lakini si binadamu tunaomba muelewe.
Kwahiyo TAASISI zote za umma ikiwemo BASATA ziko kwaajili ya kulinda kiti cha Rais?