Haya ndiyo mambo ya ajabu niliyowahi kuona na kushuhudia kwa macho yangu, sitoyasahau katika maisha yangu

Tajiri anadai nyoka wake [emoji28][emoji28][emoji28]
Huwa naifikiria mpaka Sasa nakuona hii dunia Ina Mambo mengi sana Tena hawa wakubwa wenye vyeo maofisini Wana Siri nzito kabisa.
 
Sister yangu alishawahi kutana na hili tatizo (anaona vitu ambavyo havipo)

Mnaweza mkawa naye pamoja afu ghafla akaanza kupiga kelele kuwa "niache, niache" huku akijificha kama ishara ya mtu anayetaka kumchukua bila ridhaa yake.

Anakuwa serious analia na kulia na sometimes katika purukushani unakuta mpaka anaji jeruhi, anasema watu anaowaona wanatisha wana meno marefu na nywele nyingi wanamuambia twende nyumbani

Mara adai kutokewa na watu waliokufa wakisema "twende ambapo tupo sisi"

Makuzi yetu ya kiafrika na uduni wa elimu ulifanya watu wakubali majibu yasio sahihi kuwa ni ushirikina kwa kuyaamini macho na ubongo wetu.

Lakini tulipoenda kwa Doctor ambaye ni mbobezi kwenye maswala ya mental health alitusaidia na sasa hilo tatizo halipo tena

Sayansi inasema muda wote haupaswi kuyaamini macho, masikio na ubongo wako

They can play fool sometimes
Tusipoiamini milango yetu ya fahamu tuamini nini?
 
Ngoja nitakuletea na shuhuda yangu tulipompeleka brother kwa madaktari bingwa wakamfanyia vipimo nakusema hakuna anacho umwa.

Lakini yeye kila inapofika usiku kucha analia vibaya mno nakudai kuwa anachomwa chomwa sindano analia vibaya mno hakuna anayelala.

Tukampeleka hospital akalazwa hali ilikua ni ile ile, mwanzo walizani ni mgonjwa wa akili mchana hakuwa na shida ila ilipofika usiku alianza kulia sana huku akijikunja kunja nakudai kuwa anachomwa sindano zinazompa maumivu makali.

Alikuja dokta mmoja pale alimtazama sana nakusema jamani vipimo vyetu havioni ugonjwa wa namna yoyote jaribuni njia mbadala labda inaweza kutatua tatizo.

Kesho yake asubuhi wazeee walimpeleka wanapopajua wao alikaa kwa muda wa siku tano na walitoa majibu yakua kaacha kulia na kuchomwa chomwa hakuna hasikii Tena kiufupi Hilo tatizo lilikwisha na broo alirudi katika famililia yake nakuendelea na harakati zake.

Hiyo nilishuhudia kwa macho yangu pasipo kusimuliwa na mtu yoyote kuwa madaktari walishindwa kung'amua tatizo na wakatoa ushauri kuwa apelekwe katika tiba mbadala.
Hakuna sehemu katika masimulizi yako inaonyesha kuwa unatatizo la akili. So, achana nao wanaotaka utoke kwenye relief ya stori zako.
 
Ujuzi kama huu tunaupiga vita kwa kusema ni uchawi ila kumbe ukute ni nguvu chanya ambazo tungezikubali na kuziboresha zingeweza kutatua changamoto zetu za kila siku.

Hizi dini zimetudumaza akili hadi tumeacha mambo yetu mazuri kwa kuyakashfu. Kama hizi nguvu tukizikubali, tukaziendeleza na kuzienzi tutakuwa sehemu salama kuliko hizi dini zinazokubali za mashoga.
Huo unaouwita ujuzi mara nyingi unatumika vibaya ndio maana watu wanaupiga vita.
 
Sister yangu alishawahi kutana na hili tatizo (anaona vitu ambavyo havipo)

Mnaweza mkawa naye pamoja afu ghafla akaanza kupiga kelele kuwa "niache, niache" huku akijificha kama ishara ya mtu anayetaka kumchukua bila ridhaa yake.

Anakuwa serious analia na kulia na sometimes katika purukushani unakuta mpaka anaji jeruhi, anasema watu anaowaona wanatisha wana meno marefu na nywele nyingi wanamuambia twende nyumbani

Mara adai kutokewa na watu waliokufa wakisema "twende ambapo tupo sisi"

Makuzi yetu ya kiafrika na uduni wa elimu ulifanya watu wakubali majibu yasio sahihi kuwa ni ushirikina kwa kuyaamini macho na ubongo wetu.

Lakini tulipoenda kwa Doctor ambaye ni mbobezi kwenye maswala ya mental health alitusaidia na sasa hilo tatizo halipo tena

Sayansi inasema muda wote haupaswi kuyaamini macho, masikio na ubongo wako

They can play fool sometimes
Sure [emoji106]
 
Umenikumbusha kambarage Kuna mama anauzaga supu amazing I hapo,shy ukitembea usiku hivyo vitu ni vya kawaida kama ungesimamisha piki piki ndio ungekufa
Bila Shaka itakua ni kwa devota dada wakisabato
 
Tatizo lililomuanza miaka 15 iliyopita alipona completely

2018 aliugua Malaria ambayo ilipanda kichwani na kumfanya awe kama chizi.

Maana hadi wodi za machizi amekaa

Alipotibiwa alipewa na dawa ambazo alikuwa anameza vidonge 20 kwa siku

Na sharti alilopewa ni kuwa asi-skip dose hata siku moja kwani kufanya hivyo kunaweza sababisha ugonjwa umrudie tena.

At that time alikuwa anakunywa dawa ila yupo vizuri kila kitu kipo katika utimamu wake, hicho ndio kilichomfanya aanze kuona uvivu kunywa dawa.

Kwa hiyo baada ya ku skip dose ni kweli ugonjwa ulimrudia tena, na ndio hapo akaanza upya na saizi kaanza kupunguziwa idadi ya vidonge naskia anameza vitatu kwa siku badala ya 20 kama ilivyokuwa zamani.
Wewe ni MCHAWI unataka ku manipulate fikra za watu.

Tulia mambo yenu yaanikwe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yes, hiyo ilikuwa ni miaka 15 iliyopita na mwaka 2018 alipata tatizo lingine linalofanana kama hilo

Hilo tatizo lilikuwa kama ni ukichaa, watu wakasema amelogwa, mume wake ikabidi ampeleke kwa kanisani aombewe.

Baadaye zikarudi taarifa mchungaji kapigwa na kiti cha plastic halafu kuna uharibifu aliufanya. Ikabidi uongozi wa kanisa umfunge kwenye chumba ambacho yuko pele yake.

Halafu mikono wakaifunga kwenye bomba la chuma, sisi tunaenda kumuona tunakuta ile kamba imemchuna mikono mpaka damu kwasababu alikuwa anahangaika kujitoa kwenye ile kamba.

Niliingiwa na hasira kwa jinsi nilivyomuona Sister ila nilijizuia ikabidi niombe kumchukua Sister kumpeleka hospitali.

Huko alikutwa na Malaria ya kichwa akapewa dripu za kutosha akaandikiwa na dawa

Ambapo mpaka saizi bado yupo kwenye dose ya hizo dawa
[emoji31][emoji31][emoji31] doze ya 5 years looooh
 
Endelea kuamini wenge hivyo ni vitu ambavyo Mimi huwa vinanifikirisha mpaka Sasa
Utaona ni uongo kwa sababu hayajakutokea na hujashuhudia ila Kama umeshuhudia hutokuja na hizo ngonjera sijui hospital sijui malaria.
Hao ndo wachawi wenyewe wanajaribu kupindisha habari. [emoji837]
 
Yes, hiyo ilikuwa ni miaka 15 iliyopita na mwaka 2018 alipata tatizo lingine linalofanana kama hilo

Hilo tatizo lilikuwa kama ni ukichaa, watu wakasema amelogwa, mume wake ikabidi ampeleke kwa kanisani aombewe.

Baadaye zikarudi taarifa mchungaji kapigwa na kiti cha plastic halafu kuna uharibifu aliufanya. Ikabidi uongozi wa kanisa umfunge kwenye chumba ambacho yuko pele yake.

Halafu mikono wakaifunga kwenye bomba la chuma, sisi tunaenda kumuona tunakuta ile kamba imemchuna mikono mpaka damu kwasababu alikuwa anahangaika kujitoa kwenye ile kamba.

Niliingiwa na hasira kwa jinsi nilivyomuona Sister ila nilijizuia ikabidi niombe kumchukua Sister kumpeleka hospitali.

Huko alikutwa na Malaria ya kichwa akapewa dripu za kutosha akaandikiwa na dawa

Ambapo mpaka saizi bado yupo kwenye dose ya hizo dawa
Tangu mwaka 2018 hadi leo hii yupo kwenye dose ya Malaria??? 🤔🤔

Tangu mwaka 2018 hadi leo hii yupo kwenye dose ya Malaria?? 🤔🤔
 
Tatizo lililomuanza miaka 15 iliyopita alipona completely

2018 aliugua Malaria ambayo ilipanda kichwani na kumfanya awe kama chizi.

Maana hadi wodi za machizi amekaa

Alipotibiwa alipewa na dawa ambazo alikuwa anameza vidonge 20 kwa siku

Na sharti alilopewa ni kuwa asi-skip dose hata siku moja kwani kufanya hivyo kunaweza sababisha ugonjwa umrudie tena.

At that time alikuwa anakunywa dawa ila yupo vizuri kila kitu kipo katika utimamu wake, hicho ndio kilichomfanya aanze kuona uvivu kunywa dawa.

Kwa hiyo baada ya ku skip dose ni kweli ugonjwa ulimrudia tena, na ndio hapo akaanza upya na saizi kaanza kupunguziwa idadi ya vidonge naskia anameza vitatu kwa siku badala ya 20 kama ilivyokuwa zamani.
Aisee, kweli amepitia changamoto, Mwenyezi Mungu amkumbuke Inshallah.
 
Nilishuhudia (tambiko) kafara ya chatu mkorofi,
pwani kwa mganga wa mr(borntown)
 
Back
Top Bottom