Haya ndiyo matokeo ya kupeleka wahuni bungeni. Wanajiona wana mamlaka kwenye kila jambo.

Hivi unajua kisheria huyo afisa anaweza kufungwa hadi miaka 20 kwa kutoa hizo details mnazozitaka mkiwa sio wahusika. Tuwe tunasoma sheria mbalimbali zinazoongoza utumishi wa umma.
Mwenye kosa tu ndo anapaswa kuambiwa sababu au ampe mtu power of attorney ndo anaeza kupewa hayo maelezo.
Acheni kufanya kila kitu ni siasa. Kama mbunge anataka taarifa rasmi amuandikir Kamishna Generali na kamishna atamjibu kisheria.
 
Braza maisha yanaenda kwa taratibu. Serikali haifanyi kazi kwa mihemuko. Unataka taarifa ambazo sio zako unapewa kwa sheria gani? Leo tuende nida tuwaambie tuambieni Juan Manuel ni nani tu na wao watoe halafu kesho uuawe familia yako itaona sawa?
Kisheria mfanyakazi ana viapo anavifanyia kazi. Mojawapo ni kutunza siri sa mteja. Hapa hatunzi tu kama private ambapo adhabu ni kufukuzwa, hapa anatunza adhabu ikiwa ni kifungo jela. Acheni kulazimisha vitu visivyokuwepo.
Clearance ya mbunge inamruhusu kumhoji waziri bungeni, kuandika kwa waziri wa fedha ili apewe majibu ya swali lake. Msemaji wa taasisi yupo na huuo ndo anaweza kjibu hilo swali japo na yeye hawezi toa siri za mteja bila explicity ruhusa ta mteja.
 
Ofisa wa TRA yupo sawa kabisa. Then yeye ni mbunge akiwa jimboni kwake Au akiwa bungeni. Sasa unanileteaje ubunge wako kwenye kazi yangu Tena sio jimboni kwako.
Inakera sana.
Hata ingekua Ujiji au Bungeni bado hana clearance ya kuziona hizo taarifa. Labda angekua Waziri wa Fedha au Katibu mkuu Fedha ambao ndo wizara mama ya hiyo taasisi.
 
Mtu anawezaje kuitwa baba level na bado akawa na akili? hayo yote mashoga yanateteana
 
Kwa heche hivi vifungu sikuviona, ila afisa mwenzenu mnajitahd kuleta vifungu ?haya yangu macho
Umeambiwa TRA itatoa taarifa kwa vyombo chunguzi kama Polisi na TAKUKURU Mbunge hajatajwa kwenye sheria kama mtu ambaye anatakiwa kupata taarifa za Kikodi
 
Kifupi huyu mbunge ni mshenzi, kuwa mbunge hakumfanyi aingilie kazi za watu, hapo sio bungeni, mwenye gari ndie anatakiwa akamlalamikie mbunge wake akiona ameonewa, afisa wa TRA hawajibiki kwa mbunge yeye anatekeleza wajibu wake, hizi comedy za huyu mbunge kihiyo zinafedhehesha bunge, kwa nini asimuulize mwenye gari?anatumia ubunge wake kumtetea rafiki yake hii si sawa, haya ndio mambo ya ''wewe unanijua mimi ni nani'' hapa ndipo tulipofikia.
 
Baba levo amefanya vibaya wao ndio wanahamasisha wafanyakazi wa umma kutunza taarifa za wateja wakija mtandaoni wanataka mtu aseme details haipo sawa.Na anaongea nae kwa ukali kumcover rafiki yake
 
kati ya chuo, mzazi na mwanafunzi ni watu gani wanamahusiano ya kikazi?
 
kuna shida kubwa sana, wabunge na madiwani kujihisi wao ni sehemu ya serikali.
hataile clip ya msukuma akibishana na muwekezaji mzawa, alikua anamwambia yule muwekezaji kwanini hamuheshimu yeye(serikali)
 
Hapo huyo Mbunge alidhani hiyo ishu ataweza kuchomoa, kumbe ishu nzito kidogo na Afisa naye ana composure...Mbunge ana inferiority complex. Nahisi Mbunge anapenda kujisifu na kuwaambia masela wake kuwa "wasiwe na wasiwasi wako na Mbunge" na Mbunge ana bahati Sana kuna vichwa vibovu hajakutana navyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…