Haya ndiyo yanayoikuta Israel kuelekea kushindwa vita na Hamas

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,509
Reaction score
16,734
Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli.

Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita.

Katika wiki hii peke yake jeshi la Israel limepoteza askari 8 ndani ya Gaza kutokana na kushambuliwa kwa namna mbali mbali kulikokuwa hakukutegemewa kutoka kwa wapiganaji wa Hamas

Jeshi la Israel limekiri kuwapa silaha makundi ya kikabila ili yapambane na Hamas.Kwa uamuzi huu wapinzani ndani ya Israel wamesema ni wazimu wa hali ya juu na kushindwa vita,

Harakati za kuipinga Israel na kuitaka isitishe vita haraka huko Gaza zinazidi kushika kasi kote duniani.Tayari kuna misafara ya amani barani na baharini yakijaribu kuvunja mzingiro wa jeshi la Israel kwa Gaza.

Wanaharakati hao hawajali Israel inapigana na nani ndani ya Gaza bali wameongozwa zaidi na hali ya kutumika chakula kama mtego na silaha ya kivita,Na wamekasirishwa na kuuliwa kwa watu wasio na hatia.
 
Kobazi mnajua kujiliwaza huku mnalia watu wa Gaza wanauawa halaiki upande mwingine mnatangaza Hamas washindi Sasa Dunia inawaoneaje huruma wapalestine huku Hamas wanaelekea kushinda vita ndio nimeamini kwanini Netanyahuu hataki vita viishe kwa sababu nyie kobazi ni wabishi mno
 
Waache "washindi" waendelee kupokea kipigo hadi waseme aidha wamechoka au wamekoma.
 
VITA vinamipaka yake ndio mana kuna Sheria za kimataifa Vita piganeni lkn msikiuke miongozo ya Kisheria mfano wake kuuwa ovyo raia kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita !!!
kinyume kabisa na Sheria za kimataifa !!!

inaonesha kwanamna gani Israel imeshindwa Vita ndiomana inavunja Sheria zote za kimataifa ktk Vita vyake pale Gaza !!!

Zamani tuliambiwa kuna Makomandoo Hatari wa Israel au wa MAREKANI watu wanajiuliza wapo wapi ao Makomandoo waende kuokoa mateka wa Israel kamji kadogo tu !!!

leo Israel imetega mtego kinyume cha Sheria wa Chakula aibu aibu aibu kesho Watacheza Movie jinsi walivo waokoa Meteka wao Je wataonesha Ukweli kuwa wametumia Chakula kuzuiya ili kupata watu wao !!!

au Watawadanganya watu kwakujikweza Kikomandooo aibu tena kwasasa ata picha za Kikomandooo azina soko tena Marekani na Israel imefanya mambo yawe magumu !!!!

Kisheria unaweza m'bano adui yako asipate Silaha lkn sio kuwanyima Chakula watu 2milion matibabu nyumba za Ibada sio kweli kwa Sheria za UN !!!

WAZUNGU wamevuliwa nguo mchana kweupe mana niwao ndio wameisapoti Israel Sasa Israel baada mbinu zote kushindwa sasa wanatumia mbinu kinyume na Sheria walizozipigia upatu wao Wenyewe !!!!

ndiomana Chuki juu ya Israel inadhidi kwa WAZUNGU wa Ulaya mana wanaona wanadhalilishwa Kimataifa !!!

kwajinsi ISRAEL inafanya GAZA ndani ya week hiii Wamekufa kindezi Makomando wao wengi ila wao wanadai 8 tu !!!

kufa ni seem ya Vita Bado IDF wanadeni la kuwaonyesha Ulimwengu kuwa wao ni zaid Serikali ya Israel iwache kutumia Chakula Vita ipiganwe tutapata mshindi wa Haki !!!

ata Ulingoni kuna Sheria utakiwi kupiga kisogoni utakiwi kupiga korodani za mwenzio !!!!

na kwenye Vita pia zipo Sheria tena za Kimataifa za UN moja wapo ni iyo marufuku kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita. Pigana kiume mtoto wa kiume !!!

unapiga nyumba za Ibada hospital yote kinyume na Sheria za kimataifa ukodai kuna adui yako peleka Makomando wakawakamate umo umo !!!

Unavunja Hospital zote za raia wanaopata majeruhi watatibiwa wapi naww Umeifunga Gaza yate.. !!!

mfano pale Marekani kuwe na Magaid 6 wamevamia Jengo wakiwa na Silaha za Moto Je Jesh litalipua jengo zima au litapeleka Makomandoo kukomboa Jengo lao

Ndiomana tunaambiwa mateka wengi wameuwawa na Jeshi lao la Israel kwa kulipua Majengo ovyo ovyo !!!

Kesho na keshokutwa bado kupitia Media Israel na Marekani wataendelea kujisifia kuusu uwezo wa Makomandoo wao!!

upumbavu mtupu Asa kwa Ndugu wa meteka waliouwawa apo Gaza!!!!

Sheria zipo wazi Ukweli taifa teule limekwama kwa hoja sio mahaba!!

Nawatakia Sikukuu njema yenye Baraka Waislam wote na Watanzania wote kwa ujumla,,
 
Kobazi mnajua kujiliwaza huku mnalia watu wa Gaza wanauawa halaiki upande mwingine mnatangaza Hamas washindi Sasa Dunia inawaoneaje huruma wapalestine huku Hamas wanaelekea kushinda vita ndio nimeamini kwanini Netanyahuu hataki vita viishe kwa sababu nyie kobazi ni wabishi mno
Kobazi ni janga la dunia
 
K
Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli.

Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita.

Katika wiki hii peke yake jeshi la Israel limepoteza askari 8 ndani ya Gaza kutokana na kushambuliwa kwa namna mbali mbali kulikokuwa hakukutegemewa kutoka kwa wapiganaji wa Hamas

Jeshi la Israel limekiri kuwapa silaha makundi ya kikabila ili yapambane na Hamas.Kwa uamuzi huu wapinzani ndani ya Israel wamesema ni wazimu wa hali ya juu na kushindwa vita,

Harakati za kuipinga Israel na kuitaka isitishe vita haraka huko Gaza zinazidi kushika kasi kote duniani.Tayari kuna misafara ya amani barani na baharini yakijaribu kuvunja mzingiro wa jeshi la Israel kwa Gaza.

Wanaharakati hao hawajali Israel inapigana na nani ndani ya Gaza bali wameongozwa zaidi na hali ya kutumika chakula kama mtego na silaha ya kivita,Na wamekasirishwa na kuuliwa kwa watu wasio na hatia.
Kichwa Cha habari na maelezo ni vitu viwili tofauti kabisa!! Mtu mzima na akili yako bado unafikiria Israel kushindwa vita na magaidi wa Hamas yawezekana kabisa wewe utakuwa umekula Maharage ya Jana!!!
Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita.
Kama ni kweli huyo kahojiwa na BBC hebu tuwekee hiyo link na wengine tuione maana kwa uongo dhidi ya Israel mnamzidi hata shetani.

Baada ya Operation Gideon Chariots kuanza ilibidi waongeza askari wengine(manpower) kulingana na upana wa Operation inayofanyika kwa wajinga mnaita hiyo ni kushindwa vita mtasubiri sana sana tu!!
Katika wiki hii peke yake jeshi la Israel limepoteza askari 8 ndani ya Gaza kutokana na kushambuliwa kwa namna mbali mbali kulikokuwa hakukutegemewa kutoka kwa wapiganaji wa Hamas
Inaonekana wewe hata hujui maana ya vita kwa mwezi mzima kupoteza askari 8 ni jambo la kawaida vitani hebu niambie magaidi wangapi wameangamizwa huko Gaza? Nakushangaa kushobokea askari 8 wa Israel na kuwaona takataka magaidi wa kipalestina waliouwawa huko.
Jeshi la Israel limekiri kuwapa silaha makundi ya kikabila ili yapambane na Hamas.Kwa uamuzi huu wapinzani ndani ya Israel wamesema ni wazimu wa hali ya juu na kushindwa vita,
Ni jambo jema sana Israel kumkaanga samaki kwa mafuta yake yeye mwenyewe. Wewe unaumia nini wakati waarabu wakiuana wao kwa wao? Wewe adui yako akipigwa na mtu mwingine kuna shida gani? Israel imefanya vizuri kuwapa silaha wauane wao kwa wao kitu Kinachotakiwa ni malengo ya vita yatimie tu,
Harakati za kuipinga Israel na kuitaka isitishe vita haraka huko Gaza zinazidi kushika kasi kote duniani.Tayari kuna misafara ya amani barani na baharini yakijaribu kuvunja mzingiro wa jeshi la Israel kwa Gaza.
Kwa akili ya kawaida kama Israel inaelekea kushindwa vita kwa nini mnaitaka Israel isitishe vita? Kipigo kinawapa kiwewe tu ndiyo maana mnalialia ovyoovyo tu.

Hakuna cha misafara ya Amani itaruhusiwa kuingia Gaza!!!! Hao ni wasaka tonge na wasaka sifa tu. Njama zao ovu hazitawasaidia lolote!!!
Wanaharakati hao hawajali Israel inapigana na nani ndani ya Gaza bali wameongozwa zaidi na hali ya kutumika chakula kama mtego na silaha ya kivita,Na wamekasirishwa na kuuliwa kwa watu wasio na hatia.
Wanaharakati hao wanatumika vibaya na Magaidi wala hawajui kwa nini Israel iko vitani wala hawajui kuwa kuna mateka wanateswa na magaidi hao huko Gaza hivyo Israel Ina wajibu wa kuwakomboa kwa njia yoyote ile inayowezekana bila kujali ujinga na upumbavu wa wanaharakati hao wanaotaka kusifiwa na magaidi wauaji.
 
VITA vinamipaka yake ndio mana kuna Sheria za kimataifa Vita piganeni lkn msikiuke miongozo ya Kisheria mfano wake kuuwa ovyo raia kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita !!!
kinyume kabisa na Sheria za kimataifa !!!

inaonesha kwanamna gani Israel imeshindwa Vita ndiomana inavunja Sheria zote za kimataifa ktk Vita vyake pale Gaza !!!

Zamani tuliambiwa kuna Makomandoo Hatari wa Israel au wa MAREKANI watu wanajiuliza wapo wapi ao Makomandoo waende kuokoa mateka wa Israel kamji kadogo tu !!!

leo Israel imetega mtego kinyume cha Sheria wa Chakula aibu aibu aibu kesho Watacheza Movie jinsi walivo waokoa Meteka wao Je wataonesha Ukweli kuwa wametumia Chakula kuzuiya ili kupata watu wao !!!

au Watawadanganya watu kwakujikweza Kikomandooo aibu tena kwasasa ata picha za Kikomandooo azina soko tena Marekani na Israel imefanya mambo yawe magumu !!!!

Kisheria unaweza m'bano adui yako asipate Silaha lkn sio kuwanyima Chakula watu 2milion matibabu nyumba za Ibada sio kweli kwa Sheria za UN !!!

WAZUNGU wamevuliwa nguo mchana kweupe mana niwao ndio wameisapoti Israel Sasa Israel baada mbinu zote kushindwa sasa wanatumia mbinu kinyume na Sheria walizozipigia upatu wao Wenyewe !!!!

ndiomana Chuki juu ya Israel inadhidi kwa WAZUNGU wa Ulaya mana wanaona wanadhalilishwa Kimataifa !!!

kwajinsi ISRAEL inafanya GAZA ndani ya week hiii Wamekufa kindezi Makomando wao wengi ila wao wanadai 8 tu !!!

kufa ni seem ya Vita Bado IDF wanadeni la kuwaonyesha Ulimwengu kuwa wao ni zaid Serikali ya Israel iwache kutumia Chakula Vita ipiganwe tutapata mshindi wa Haki !!!

ata Ulingoni kuna Sheria utakiwi kupiga kisogoni utakiwi kupiga korodani za mwenzio !!!!

na kwenye Vita pia zipo Sheria tena za Kimataifa za UN moja wapo ni iyo marufuku kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita. Pigana kiume mtoto wa kiume !!!

unapiga nyumba za Ibada hospital yote kinyume na Sheria za kimataifa ukodai kuna adui yako peleka Makomando wakawakamate umo umo !!!

Unavunja Hospital zote za raia wanaopata majeruhi watatibiwa wapi naww Umeifunga Gaza yate.. !!!

mfano pale Marekani kuwe na Magaid 6 wamevamia Jengo wakiwa na Silaha za Moto Je Jesh litalipua jengo zima au litapeleka Makomandoo kukomboa Jengo lao

Ndiomana tunaambiwa mateka wengi wameuwawa na Jeshi lao la Israel kwa kulipua Majengo ovyo ovyo !!!

Kesho na keshokutwa bado kupitia Media Israel na Marekani wataendelea kujisifia kuusu uwezo wa Makomandoo wao!!

upumbavu mtupu Asa kwa Ndugu wa meteka waliouwawa apo Gaza!!!!

Sheria zipo wazi Ukweli taifa teule limekwama kwa hoja sio mahaba!!

Nawatakia Sikukuu njema yenye Baraka Waislam wote na Watanzania wote kwa ujumla,,
Umejibu kwa ufupi na kwa ufasaha juu ya maana ya ushindi wa Hamas dhidi ya Israel
Maprofesa wa mipasho wa humu ndani ambao wako upande wa Israel inashangaza wameshindwa kung'amua ushindi huu wa kimiujiza.
 
Wanaharakati hao wanatumika vibaya na Magaidi wala hawajui kwa nini Israel iko vitani wala hawajui kuwa kuna mateka wanateswa na magaidi hao huko Gaza hivyo Israel Ina wajibu wa kuwakomboa kwa njia yoyote ile inayowezekana bila kujali ujinga na upumbavu wa wanaharakati hao wanaotaka kusifiwa na magaidi wauaji.
Akili yako ni ndogo sana ndio maana huwezi kulinganisha na kujua ni nani wanaoteswa kati ya wapalestina na mayahudi.
Inaonekana wewe hata hujui maana ya vita kwa mwezi mzima kupoteza askari 8 ni jambo la kawaida vitani hebu niambie magaidi wangapi wameangamizwa huko Gaza? Nakushangaa kushobokea askari 8 wa Israel na kuwaona takataka magaidi wa kipalestina waliouwawa huko.
Wakiuliwa askari nane ambao ni makomandoo kwa maana kama wana kinga ya kutouliwa ni ushindi mkubwa.Tena walaiofanikiwa kuwaua wamevaa kobazi na wana njaa kali wakitumia bunduki za kuunga unga.
 
Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli.

Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita.

Katika wiki hii peke yake jeshi la Israel limepoteza askari 8 ndani ya Gaza kutokana na kushambuliwa kwa namna mbali mbali kulikokuwa hakukutegemewa kutoka kwa wapiganaji wa Hamas

Jeshi la Israel limekiri kuwapa silaha makundi ya kikabila ili yapambane na Hamas.Kwa uamuzi huu wapinzani ndani ya Israel wamesema ni wazimu wa hali ya juu na kushindwa vita,

Harakati za kuipinga Israel na kuitaka isitishe vita haraka huko Gaza zinazidi kushika kasi kote duniani.Tayari kuna misafara ya amani barani na baharini yakijaribu kuvunja mzingiro wa jeshi la Israel kwa Gaza.

Wanaharakati hao hawajali Israel inapigana na nani ndani ya Gaza bali wameongozwa zaidi na hali ya kutumika chakula kama mtego na silaha ya kivita,Na wamekasirishwa na kuuliwa kwa watu wasio na hatia.
Waislamu kweli ni janga la dunia. Haya ona hapa Mohammed Sinwar na command yake walijenga Ngome ya kijeshi kwenye handaki lililochimbwa chini ya hospital. Halafu kwa kulialia kuwa wanaonewa

View: https://x.com/VividProwess/status/1931999458277068952
 
VITA
VITA vinamipaka yake ndio mana kuna Sheria za kimataifa Vita piganeni lkn msikiuke miongozo ya Kisheria mfano wake kuuwa ovyo raia kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita !!!
kinyume kabisa na Sheria za kimataifa !!!

inaonesha kwanamna gani Israel imeshindwa Vita ndiomana inavunja Sheria zote za kimataifa ktk Vita vyake pale Gaza !!!

vinamipaka yake ndio mana kuna Sheria za kimataifa Vita piganeni lkn msikiuke miongozo ya Kisheria mfano wake kuuwa ovyo raia kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita !!!
kinyume kabisa na Sheria za kimataifa !!!

inaonesha kwanamna gani Israel imeshindwa Vita ndiomana inavunja Sheria zote za kimataifa ktk Vita vyake pale Gaza !!!

Zamani tuliambiwa kuna Makomandoo Hatari wa Israel au wa MAREKANI watu wanajiuliza wapo wapi ao Makomandoo waende kuokoa mateka wa Israel kamji kadogo tu !!!

leo Israel imetega mtego kinyume cha Sheria wa Chakula aibu aibu aibu kesho Watacheza Movie jinsi walivo waokoa Meteka wao Je wataonesha Ukweli kuwa wametumia Chakula kuzuiya ili kupata watu wao !!!

au Watawadanganya watu kwakujikweza Kikomandooo aibu tena kwasasa ata picha za Kikomandooo azina soko tena Marekani na Israel imefanya mambo yawe magumu !!!!

Kisheria unaweza m'bano adui yako asipate Silaha lkn sio kuwanyima Chakula watu 2milion matibabu nyumba za Ibada sio kweli kwa Sheria za UN !!!

WAZUNGU wamevuliwa nguo mchana kweupe mana niwao ndio wameisapoti Israel Sasa Israel baada mbinu zote kushindwa sasa wanatumia mbinu kinyume na Sheria walizozipigia upatu wao Wenyewe !!!!

ndiomana Chuki juu ya Israel inadhidi kwa WAZUNGU wa Ulaya mana wanaona wanadhalilishwa Kimataifa !!!

kwajinsi ISRAEL inafanya GAZA ndani ya week hiii Wamekufa kindezi Makomando wao wengi ila wao wanadai 8 tu !!!

kufa ni seem ya Vita Bado IDF wanadeni la kuwaonyesha Ulimwengu kuwa wao ni zaid Serikali ya Israel iwache kutumia Chakula Vita ipiganwe tutapata mshindi wa Haki !!!

ata Ulingoni kuna Sheria utakiwi kupiga kisogoni utakiwi kupiga korodani za mwenzio !!!!

na kwenye Vita pia zipo Sheria tena za Kimataifa za UN moja wapo ni iyo marufuku kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita. Pigana kiume mtoto wa kiume !!!

unapiga nyumba za Ibada hospital yote kinyume na Sheria za kimataifa ukodai kuna adui yako peleka Makomando wakawakamate umo umo !!!

Unavunja Hospital zote za raia wanaopata majeruhi watatibiwa wapi naww Umeifunga Gaza yate.. !!!

mfano pale Marekani kuwe na Magaid 6 wamevamia Jengo wakiwa na Silaha za Moto Je Jesh litalipua jengo zima au litapeleka Makomandoo kukomboa Jengo lao

Ndiomana tunaambiwa mateka wengi wameuwawa na Jeshi lao la Israel kwa kulipua Majengo ovyo ovyo !!!

Kesho na keshokutwa bado kupitia Media Israel na Marekani wataendelea kujisifia kuusu uwezo wa Makomandoo wao!!

upumbavu mtupu Asa kwa Ndugu wa meteka waliouwawa apo Gaza!!!!

Sheria zipo wazi Ukweli taifa teule limekwama kwa hoja sio mahaba!!

Nawatakia Sikukuu njema yenye Baraka Waislam wote na Watanzania wote kwa ujumla,,
Nimesikia Taarabu iliyokuwa unaiimba ingawaje ni niefunkcjonalne sana lakini nimeona nikujibu kama ifuatavyo:
You IDF ndiyo maana inaitwa “THE MOST MORAL ARMY IN THIS PLANET” nakushangaa kuwa hata hujui kuwa kuna “GAZA HUMANTARIAN FOUNDATION”(GHF) watu wanagawiwa chakula hilo wewe mwarabu-koko wa Buza umebaki kuimba taarabu za kusema Israel inatumia chakula kama silaha!!!

IDF inaitwa “THE MOST MORAL ARMY IN THIS PLANET” kwa sababu inapigana na adui huku wanampa chakula ale ili apigane nao vizuri kitu ambacho katika majeshi yote duniani huwezi kuona Jeshi adirifu kama IDF na kama ulishaona Jeshi linapigana na adui yake kisha linampa chakula nitajie!!

IDF linaitwa THE MOST MORAL ARMY IN THIS PLANET kwa sababu hakuna Jeshi duniani linaweza kumkamata mtu ambaye amevunja sheria za nchi kama alivyofanya Greta Thunberg na genge la watalii wenzake harafu wakapewa maji ya chupa na mikate iliyojaa nyama. Kwa Majeshi mengine mtu akifanya hivyo anaweza kupakwa mafuta kwanza harafu mkong’onto unafuatia baadaye!!

IDF linaitwa “THE MOST MORAL ARMY IN THIS PLANET” kwa sababu lilikuwa linawaambia Jumuia za kimataifa kuwa Hamas wanatumia Nyumba za Ibada,Shule na Hospitali huko Gaza kama Kinga na wamejenga miundombinu ya kigaidi chini yake na walikuwa wanakataa na kuwapendelea Magaidi hao. Cha ajabu sasa hivi wamepelekwa huko na aibu wameipata wenyewe kwa sababu Hospitali au shule ikitumika kigaidi na kuwa na miundombinu ya kigaidi Basi inakosa hadhi ya kuitwa shule au Hospital hivyo ni halali kuvunjwa kama ilivyokuwa Europian Hospital huko Gaza.

Nakushangaa sana unapozungumzia sheria za vita wakati hujatuambi Oct 07,2023 wakati Magaidi walipovamia na kubaka watu, kuua watu 1,200 na Kuteka watu 251 wao walifuata sheria gani za kimataifa?? Acha ujinga!!!!
 
Akili yako ni ndogo sana ndio maana huwezi kulinganisha na kujua ni nani wanaoteswa kati ya wapalestina na mayahudi.

Wakiuliwa askari nane ambao ni makomandoo kwa maana kama wana kinga ya kutouliwa ni ushindi mkubwa.Tena walaiofanikiwa kuwaua wamevaa kobazi na wana njaa kali wakitumia bunduki za kuunga unga.
Magaidi wa Hamas hawawezi kukwepa lawama za wapalestina kuteswa baada ya wao kufanya ujinga na Upumbavu hapo Oct 07,2023 huwezi kuvamia watu harafu walianza kukushughulikia unasema unateswa!!!!!!

Kama ulikuwa hujui askari hao 8 walikufa kwa kuangukiwa na majengo mawili tofauti yaliyokuwa yametegwa na vilipuzi( Booby-Traps) ambapo sasa hivi imeamliwa na Mkuu wa majeshi ya Israel kuwa kama askari watagundua/kutilia shaka jengo lolote ni kulibomoa tu maana hakuna namna nyingine.

Kingine ni kuwahamisha tu kuwa vita si lelemama hakuna mwenye Kinga ya kufa ndiyo maana hata wale wanawake na watoto wanatumia kama Kinga (Human-Shield) nao wanakufa tu.
 
Magaidi wa Hamas hawawezi kukwepa lawama za wapalestina kuteswa baada ya wao kufanya ujinga na Upumbavu hapo Oct 07,2023 huwezi kuvamia watu harafu walianza kukushughulikia unasema unateswa!!!!!!
Kilichowapata mayahudi oktoba 7 ni kidogo sana kuliko madhara ambayo wamewasababishia wapalestina kwa kipindi cha karibu karne moja.Kuuliwa watu zaidi ya elfu moja hakulingani na maelfu kadhaa ya wapalestina waliouliwa na na kutiwa vilema vya kudumu pamoja na malaki waliofukuzwa kwenye ardhi zao.
Nahisi Hamas kwa hasira walizokuwa nazo kama si unyonge wao wa kutokuwa na silaha na vifaa basi walipenda wawateke mayahudi hata 10000.
 
Hamas walikaa kikao gani cha kuelewana na Israel ili kuwajulisha kuwa wameua watu 1,200 hivyo na wao wasiweze kuzidisha idadi ya walijua? Hivi Mkuu Ukiona wapi kwenye ugomvi wowote mchokozi akikupiga kofi basi na wewe umpige kofi kumpiga ngumu inakuwa kosa?

Nijuavyo Mimi vita si lelemama ukinichokoza mimi kwa kunipiga panga usije shangaa mimi nikupiga risasi kwenye vita hakuna kulinganisha. Kuwa makini!!!
 
Back
Top Bottom