Ona nyinyi Waislamu mlivyokuwa wachokozi. Misikiti ipo, sasa kinachowafanya msalie mbele ya kanisa ni nini?Kilichowapata mayahudi oktoba 7 ni kidogo sana kuliko madhara ambayo wamewasababishia wapalestina kwa kipindi cha karibu karne moja.Kuuliwa watu zaidi ya elfu moja hakulingani na maelfu kadhaa ya wapalestina waliouliwa na na kutiwa vilema vya kudumu pamoja na malaki waliofukuzwa kwenye ardhi zao.
Nahisi Hamas kwa hasira walizokuwa nazo kama si unyonge wao wa kutokuwa na silaha na vifaa basi walipenda wawateke mayahudi hata 10000.
View: https://x.com/realMaalouf/status/1932453119792685440