Kobazi mnajua kujiliwaza huku mnalia watu wa Gaza wanauawa halaiki upande mwingine mnatangaza Hamas washindi Sasa Dunia inawaoneaje huruma wapalestine huku Hamas wanaelekea kushinda vita ndio nimeamini kwanini Netanyahuu hataki vita viishe kwa sababu nyie kobazi ni wabishi mnoYale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli.
Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita.
Katika wiki hii peke yake jeshi la Israel limepoteza askari 8 ndani ya Gaza kutokana na kushambuliwa kwa namna mbali mbali kulikokuwa hakukutegemewa kutoka kwa wapiganaji wa Hamas
Jeshi la Israel limekiri kuwapa silaha makundi ya kikabila ili yapambane na Hamas.Kwa uamuzi huu wapinzani ndani ya Israel wamesema ni wazimu wa hali ya juu na kushindwa vita,
Harakati za kuipinga Israel na kuitaka isitishe vita haraka huko Gaza zinazidi kushika kasi kote duniani.Tayari kuna misafara ya amani barani na baharini yakijaribu kuvunja mzingiro wa jeshi la Israel kwa Gaza.
Wanaharakati hao hawajali Israel inapigana na nani ndani ya Gaza bali wameongozwa zaidi na hali ya kutumika chakula kama mtego na silaha ya kivita,Na wamekasirishwa na kuuliwa kwa watu wasio na hatia.
Waache "washindi" waendelee kupokea kipigo hadi waseme aidha wamechoka au wamekoma.Kobazi mnajua kujiliwaza huku mnalia watu wa Gaza wanauawa halaiki upande mwingine mnatangaza Hamas washindi Sasa Dunia inawaoneaje huruma wapalestine huku Hamas wanaelekea kushinda vita ndio nimeamini kwanini Netanyahuu hataki vita viishe kwa sababu nyie kobazi ni wabishi mno
Kapata nyama ya mnyama wa miguu minne,usisahau hilo!Naona umekula maharage mabovu wewe
Kobazi ni janga la duniaKobazi mnajua kujiliwaza huku mnalia watu wa Gaza wanauawa halaiki upande mwingine mnatangaza Hamas washindi Sasa Dunia inawaoneaje huruma wapalestine huku Hamas wanaelekea kushinda vita ndio nimeamini kwanini Netanyahuu hataki vita viishe kwa sababu nyie kobazi ni wabishi mno
Kichwa Cha habari na maelezo ni vitu viwili tofauti kabisa!! Mtu mzima na akili yako bado unafikiria Israel kushindwa vita na magaidi wa Hamas yawezekana kabisa wewe utakuwa umekula Maharage ya Jana!!!Yale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli.
Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita.
Katika wiki hii peke yake jeshi la Israel limepoteza askari 8 ndani ya Gaza kutokana na kushambuliwa kwa namna mbali mbali kulikokuwa hakukutegemewa kutoka kwa wapiganaji wa Hamas
Jeshi la Israel limekiri kuwapa silaha makundi ya kikabila ili yapambane na Hamas.Kwa uamuzi huu wapinzani ndani ya Israel wamesema ni wazimu wa hali ya juu na kushindwa vita,
Harakati za kuipinga Israel na kuitaka isitishe vita haraka huko Gaza zinazidi kushika kasi kote duniani.Tayari kuna misafara ya amani barani na baharini yakijaribu kuvunja mzingiro wa jeshi la Israel kwa Gaza.
Wanaharakati hao hawajali Israel inapigana na nani ndani ya Gaza bali wameongozwa zaidi na hali ya kutumika chakula kama mtego na silaha ya kivita,Na wamekasirishwa na kuuliwa kwa watu wasio na hatia.
Kama ni kweli huyo kahojiwa na BBC hebu tuwekee hiyo link na wengine tuione maana kwa uongo dhidi ya Israel mnamzidi hata shetani.Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita.
Inaonekana wewe hata hujui maana ya vita kwa mwezi mzima kupoteza askari 8 ni jambo la kawaida vitani hebu niambie magaidi wangapi wameangamizwa huko Gaza? Nakushangaa kushobokea askari 8 wa Israel na kuwaona takataka magaidi wa kipalestina waliouwawa huko.Katika wiki hii peke yake jeshi la Israel limepoteza askari 8 ndani ya Gaza kutokana na kushambuliwa kwa namna mbali mbali kulikokuwa hakukutegemewa kutoka kwa wapiganaji wa Hamas
Ni jambo jema sana Israel kumkaanga samaki kwa mafuta yake yeye mwenyewe. Wewe unaumia nini wakati waarabu wakiuana wao kwa wao? Wewe adui yako akipigwa na mtu mwingine kuna shida gani? Israel imefanya vizuri kuwapa silaha wauane wao kwa wao kitu Kinachotakiwa ni malengo ya vita yatimie tu,Jeshi la Israel limekiri kuwapa silaha makundi ya kikabila ili yapambane na Hamas.Kwa uamuzi huu wapinzani ndani ya Israel wamesema ni wazimu wa hali ya juu na kushindwa vita,
Kwa akili ya kawaida kama Israel inaelekea kushindwa vita kwa nini mnaitaka Israel isitishe vita? Kipigo kinawapa kiwewe tu ndiyo maana mnalialia ovyoovyo tu.Harakati za kuipinga Israel na kuitaka isitishe vita haraka huko Gaza zinazidi kushika kasi kote duniani.Tayari kuna misafara ya amani barani na baharini yakijaribu kuvunja mzingiro wa jeshi la Israel kwa Gaza.
Wanaharakati hao wanatumika vibaya na Magaidi wala hawajui kwa nini Israel iko vitani wala hawajui kuwa kuna mateka wanateswa na magaidi hao huko Gaza hivyo Israel Ina wajibu wa kuwakomboa kwa njia yoyote ile inayowezekana bila kujali ujinga na upumbavu wa wanaharakati hao wanaotaka kusifiwa na magaidi wauaji.Wanaharakati hao hawajali Israel inapigana na nani ndani ya Gaza bali wameongozwa zaidi na hali ya kutumika chakula kama mtego na silaha ya kivita,Na wamekasirishwa na kuuliwa kwa watu wasio na hatia.
Umejibu kwa ufupi na kwa ufasaha juu ya maana ya ushindi wa Hamas dhidi ya IsraelVITA vinamipaka yake ndio mana kuna Sheria za kimataifa Vita piganeni lkn msikiuke miongozo ya Kisheria mfano wake kuuwa ovyo raia kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita !!!
kinyume kabisa na Sheria za kimataifa !!!
inaonesha kwanamna gani Israel imeshindwa Vita ndiomana inavunja Sheria zote za kimataifa ktk Vita vyake pale Gaza !!!
Zamani tuliambiwa kuna Makomandoo Hatari wa Israel au wa MAREKANI watu wanajiuliza wapo wapi ao Makomandoo waende kuokoa mateka wa Israel kamji kadogo tu !!!
leo Israel imetega mtego kinyume cha Sheria wa Chakula aibu aibu aibu kesho Watacheza Movie jinsi walivo waokoa Meteka wao Je wataonesha Ukweli kuwa wametumia Chakula kuzuiya ili kupata watu wao !!!
au Watawadanganya watu kwakujikweza Kikomandooo aibu tena kwasasa ata picha za Kikomandooo azina soko tena Marekani na Israel imefanya mambo yawe magumu !!!!
Kisheria unaweza m'bano adui yako asipate Silaha lkn sio kuwanyima Chakula watu 2milion matibabu nyumba za Ibada sio kweli kwa Sheria za UN !!!
WAZUNGU wamevuliwa nguo mchana kweupe mana niwao ndio wameisapoti Israel Sasa Israel baada mbinu zote kushindwa sasa wanatumia mbinu kinyume na Sheria walizozipigia upatu wao Wenyewe !!!!
ndiomana Chuki juu ya Israel inadhidi kwa WAZUNGU wa Ulaya mana wanaona wanadhalilishwa Kimataifa !!!
kwajinsi ISRAEL inafanya GAZA ndani ya week hiii Wamekufa kindezi Makomando wao wengi ila wao wanadai 8 tu !!!
kufa ni seem ya Vita Bado IDF wanadeni la kuwaonyesha Ulimwengu kuwa wao ni zaid Serikali ya Israel iwache kutumia Chakula Vita ipiganwe tutapata mshindi wa Haki !!!
ata Ulingoni kuna Sheria utakiwi kupiga kisogoni utakiwi kupiga korodani za mwenzio !!!!
na kwenye Vita pia zipo Sheria tena za Kimataifa za UN moja wapo ni iyo marufuku kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita. Pigana kiume mtoto wa kiume !!!
unapiga nyumba za Ibada hospital yote kinyume na Sheria za kimataifa ukodai kuna adui yako peleka Makomando wakawakamate umo umo !!!
Unavunja Hospital zote za raia wanaopata majeruhi watatibiwa wapi naww Umeifunga Gaza yate.. !!!
mfano pale Marekani kuwe na Magaid 6 wamevamia Jengo wakiwa na Silaha za Moto Je Jesh litalipua jengo zima au litapeleka Makomandoo kukomboa Jengo lao
Ndiomana tunaambiwa mateka wengi wameuwawa na Jeshi lao la Israel kwa kulipua Majengo ovyo ovyo !!!
Kesho na keshokutwa bado kupitia Media Israel na Marekani wataendelea kujisifia kuusu uwezo wa Makomandoo wao!!
upumbavu mtupu Asa kwa Ndugu wa meteka waliouwawa apo Gaza!!!!
Sheria zipo wazi Ukweli taifa teule limekwama kwa hoja sio mahaba!!
Nawatakia Sikukuu njema yenye Baraka Waislam wote na Watanzania wote kwa ujumla,,
Akili yako ni ndogo sana ndio maana huwezi kulinganisha na kujua ni nani wanaoteswa kati ya wapalestina na mayahudi.Wanaharakati hao wanatumika vibaya na Magaidi wala hawajui kwa nini Israel iko vitani wala hawajui kuwa kuna mateka wanateswa na magaidi hao huko Gaza hivyo Israel Ina wajibu wa kuwakomboa kwa njia yoyote ile inayowezekana bila kujali ujinga na upumbavu wa wanaharakati hao wanaotaka kusifiwa na magaidi wauaji.
Wakiuliwa askari nane ambao ni makomandoo kwa maana kama wana kinga ya kutouliwa ni ushindi mkubwa.Tena walaiofanikiwa kuwaua wamevaa kobazi na wana njaa kali wakitumia bunduki za kuunga unga.Inaonekana wewe hata hujui maana ya vita kwa mwezi mzima kupoteza askari 8 ni jambo la kawaida vitani hebu niambie magaidi wangapi wameangamizwa huko Gaza? Nakushangaa kushobokea askari 8 wa Israel na kuwaona takataka magaidi wa kipalestina waliouwawa huko.
Waislamu kweli ni janga la dunia. Haya ona hapa Mohammed Sinwar na command yake walijenga Ngome ya kijeshi kwenye handaki lililochimbwa chini ya hospital. Halafu kwa kulialia kuwa wanaonewaYale yaliyotabiriwa awali na wachambuzi mahiri wa vita kati ya Hamas na jeshi la Isael sasa ndio yanakaribia kuwa kweli.
Msemaji wa jeshi lsrael kwa mdomo wake wakati wa mahojiano na kipindi cha televishei ya BBC amesema kwa sasa jeshi lake lina upungufu wa askari 10,000 ili kuendelea na vita.
Katika wiki hii peke yake jeshi la Israel limepoteza askari 8 ndani ya Gaza kutokana na kushambuliwa kwa namna mbali mbali kulikokuwa hakukutegemewa kutoka kwa wapiganaji wa Hamas
Jeshi la Israel limekiri kuwapa silaha makundi ya kikabila ili yapambane na Hamas.Kwa uamuzi huu wapinzani ndani ya Israel wamesema ni wazimu wa hali ya juu na kushindwa vita,
Harakati za kuipinga Israel na kuitaka isitishe vita haraka huko Gaza zinazidi kushika kasi kote duniani.Tayari kuna misafara ya amani barani na baharini yakijaribu kuvunja mzingiro wa jeshi la Israel kwa Gaza.
Wanaharakati hao hawajali Israel inapigana na nani ndani ya Gaza bali wameongozwa zaidi na hali ya kutumika chakula kama mtego na silaha ya kivita,Na wamekasirishwa na kuuliwa kwa watu wasio na hatia.
Kobaz changamoto,kobaz amsha amsha! Wakitaka lao lazima liwe.kazi kwenu mliohadaika na maisha ya dunia.Kobazi ni janga la dunia
Nimesikia Taarabu iliyokuwa unaiimba ingawaje ni niefunkcjonalne sana lakini nimeona nikujibu kama ifuatavyo:VITA
VITA vinamipaka yake ndio mana kuna Sheria za kimataifa Vita piganeni lkn msikiuke miongozo ya Kisheria mfano wake kuuwa ovyo raia kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita !!!
kinyume kabisa na Sheria za kimataifa !!!
inaonesha kwanamna gani Israel imeshindwa Vita ndiomana inavunja Sheria zote za kimataifa ktk Vita vyake pale Gaza !!!
vinamipaka yake ndio mana kuna Sheria za kimataifa Vita piganeni lkn msikiuke miongozo ya Kisheria mfano wake kuuwa ovyo raia kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita !!!
kinyume kabisa na Sheria za kimataifa !!!
inaonesha kwanamna gani Israel imeshindwa Vita ndiomana inavunja Sheria zote za kimataifa ktk Vita vyake pale Gaza !!!
Zamani tuliambiwa kuna Makomandoo Hatari wa Israel au wa MAREKANI watu wanajiuliza wapo wapi ao Makomandoo waende kuokoa mateka wa Israel kamji kadogo tu !!!
leo Israel imetega mtego kinyume cha Sheria wa Chakula aibu aibu aibu kesho Watacheza Movie jinsi walivo waokoa Meteka wao Je wataonesha Ukweli kuwa wametumia Chakula kuzuiya ili kupata watu wao !!!
au Watawadanganya watu kwakujikweza Kikomandooo aibu tena kwasasa ata picha za Kikomandooo azina soko tena Marekani na Israel imefanya mambo yawe magumu !!!!
Kisheria unaweza m'bano adui yako asipate Silaha lkn sio kuwanyima Chakula watu 2milion matibabu nyumba za Ibada sio kweli kwa Sheria za UN !!!
WAZUNGU wamevuliwa nguo mchana kweupe mana niwao ndio wameisapoti Israel Sasa Israel baada mbinu zote kushindwa sasa wanatumia mbinu kinyume na Sheria walizozipigia upatu wao Wenyewe !!!!
ndiomana Chuki juu ya Israel inadhidi kwa WAZUNGU wa Ulaya mana wanaona wanadhalilishwa Kimataifa !!!
kwajinsi ISRAEL inafanya GAZA ndani ya week hiii Wamekufa kindezi Makomando wao wengi ila wao wanadai 8 tu !!!
kufa ni seem ya Vita Bado IDF wanadeni la kuwaonyesha Ulimwengu kuwa wao ni zaid Serikali ya Israel iwache kutumia Chakula Vita ipiganwe tutapata mshindi wa Haki !!!
ata Ulingoni kuna Sheria utakiwi kupiga kisogoni utakiwi kupiga korodani za mwenzio !!!!
na kwenye Vita pia zipo Sheria tena za Kimataifa za UN moja wapo ni iyo marufuku kutumia Chakula kama nyenzo ya Vita. Pigana kiume mtoto wa kiume !!!
unapiga nyumba za Ibada hospital yote kinyume na Sheria za kimataifa ukodai kuna adui yako peleka Makomando wakawakamate umo umo !!!
Unavunja Hospital zote za raia wanaopata majeruhi watatibiwa wapi naww Umeifunga Gaza yate.. !!!
mfano pale Marekani kuwe na Magaid 6 wamevamia Jengo wakiwa na Silaha za Moto Je Jesh litalipua jengo zima au litapeleka Makomandoo kukomboa Jengo lao
Ndiomana tunaambiwa mateka wengi wameuwawa na Jeshi lao la Israel kwa kulipua Majengo ovyo ovyo !!!
Kesho na keshokutwa bado kupitia Media Israel na Marekani wataendelea kujisifia kuusu uwezo wa Makomandoo wao!!
upumbavu mtupu Asa kwa Ndugu wa meteka waliouwawa apo Gaza!!!!
Sheria zipo wazi Ukweli taifa teule limekwama kwa hoja sio mahaba!!
Nawatakia Sikukuu njema yenye Baraka Waislam wote na Watanzania wote kwa ujumla,,
Magaidi wa Hamas hawawezi kukwepa lawama za wapalestina kuteswa baada ya wao kufanya ujinga na Upumbavu hapo Oct 07,2023 huwezi kuvamia watu harafu walianza kukushughulikia unasema unateswa!!!!!!Akili yako ni ndogo sana ndio maana huwezi kulinganisha na kujua ni nani wanaoteswa kati ya wapalestina na mayahudi.
Wakiuliwa askari nane ambao ni makomandoo kwa maana kama wana kinga ya kutouliwa ni ushindi mkubwa.Tena walaiofanikiwa kuwaua wamevaa kobazi na wana njaa kali wakitumia bunduki za kuunga unga.
Kilichowapata mayahudi oktoba 7 ni kidogo sana kuliko madhara ambayo wamewasababishia wapalestina kwa kipindi cha karibu karne moja.Kuuliwa watu zaidi ya elfu moja hakulingani na maelfu kadhaa ya wapalestina waliouliwa na na kutiwa vilema vya kudumu pamoja na malaki waliofukuzwa kwenye ardhi zao.Magaidi wa Hamas hawawezi kukwepa lawama za wapalestina kuteswa baada ya wao kufanya ujinga na Upumbavu hapo Oct 07,2023 huwezi kuvamia watu harafu walianza kukushughulikia unasema unateswa!!!!!!
Hamas walikaa kikao gani cha kuelewana na Israel ili kuwajulisha kuwa wameua watu 1,200 hivyo na wao wasiweze kuzidisha idadi ya walijua? Hivi Mkuu Ukiona wapi kwenye ugomvi wowote mchokozi akikupiga kofi basi na wewe umpige kofi kumpiga ngumu inakuwa kosa?Kilichowapata mayahudi oktoba 7 ni kidogo sana kuliko madhara ambayo wamewasababishia wapalestina kwa kipindi cha karibu karne moja.Kuuliwa watu zaidi ya elfu moja hakulingani na maelfu kadhaa ya wapalestina waliouliwa na na kutiwa vilema vya kudumu pamoja na malaki waliofukuzwa kwenye ardhi zao.
Nahisi Hamas kwa hasira walizokuwa nazo kama si unyonge wao wa kutokuwa na silaha na vifaa basi walipenda wawateke mayahudi hata 10000.