Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Mimi huwa nashangaa kwanini kila Diamond anapotaka kufanya hii festival yake lazima amualike Kiba tena kwenye vyombo vya habari. Kwani hawa wasanii wengine huwa anawapataje na kwa Kiba kwanini asipitie njia hiyo hiyo. Kama huu sio unafiki ni nini? Au ndio hawezi kuishi bila kiki!!!
 
sielewi ni ushetani upi unaouzungumzia wakati muziki ni ushetani tosha
 
haya mawazo ya kuzikana nyota ni mawazo ya kipuuzi sana, dah we jamaa wa wapi? nyie ndio walewale wachawi
 
Mbona amwaliki OMMY DIMPOZI???
 
Mi nakuambia hakuna chochote kibaya ila unganisha dot tokea apewe mkono na Chibu akageuza kuona anaibiwa nyota, Huyu Kiba hana tofauti na Q-Chila, kipindi fulani Chila aliliaga kuwa Mondi kamuibia nyota yake, hayo ndo wanadanganywa na waganga wao....
ukweli ni kwambaukiona mtu analalamika kua kaibiwa nyota ujue ni mshirikina mzoefu na anashindaga kwa waganga, sio uislamu au ukristo unaokubali shirki
 
umenena bro [emoji16]
 
Deep thinking
 
Unakili sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…