mimiks
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 1,416
- 2,794
Mimi huwa nashangaa kwanini kila Diamond anapotaka kufanya hii festival yake lazima amualike Kiba tena kwenye vyombo vya habari. Kwani hawa wasanii wengine huwa anawapataje na kwa Kiba kwanini asipitie njia hiyo hiyo. Kama huu sio unafiki ni nini? Au ndio hawezi kuishi bila kiki!!!