Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Mimi huwa nashangaa kwanini kila Diamond anapotaka kufanya hii festival yake lazima amualike Kiba tena kwenye vyombo vya habari. Kwani hawa wasanii wengine huwa anawapataje na kwa Kiba kwanini asipitie njia hiyo hiyo. Kama huu sio unafiki ni nini? Au ndio hawezi kuishi bila kiki!!!
 
Kuna mda inabidi mtu aaache unafiki tu.Mondi huwa akiwa kwenye press huwa anajuwa kucheza na akili za watu kwa kujifanya innocent na asiyekuwa na tatizo na wenziwe.Ila yaliyoko moyoni kwake na kamati yake ya ufundi wanayoyafanya ni Ushetani tu.Ila wote ni wasanii wetu tuwasapoti tu.
sielewi ni ushetani upi unaouzungumzia wakati muziki ni ushetani tosha
 
Mpaka Kiba amesimama tena kwenye muziki alihangaika sana nisikiavyo hasa visomo vya Mombasa kwa Joho vimemsaidia sana. Diamond na mama yake walishaizika nyota yake. Kiba hana hamu kabisa.

Diamond hawezi kumchezea Hamo, Chitoholi si mchezo. Aliweza kuwazima walee wa mwanzo sasa atulie.
haya mawazo ya kuzikana nyota ni mawazo ya kipuuzi sana, dah we jamaa wa wapi? nyie ndio walewale wachawi
 
Mimi huwa nashangaa kwanini kila Diamond anapotaka kufanya hii festival yake lazima amualike Kiba tena kwenye vyombo vya habari. Kwani hawa wasanii wengine huwa anawapataje na kwa Kiba kwanini asipitie njia hiyo hiyo. Kama huu sio unafiki ni nini? Au ndio hawezi kuishi bila kiki!!!
Mbona amwaliki OMMY DIMPOZI???
 
Mi nakuambia hakuna chochote kibaya ila unganisha dot tokea apewe mkono na Chibu akageuza kuona anaibiwa nyota, Huyu Kiba hana tofauti na Q-Chila, kipindi fulani Chila aliliaga kuwa Mondi kamuibia nyota yake, hayo ndo wanadanganywa na waganga wao....
ukweli ni kwambaukiona mtu analalamika kua kaibiwa nyota ujue ni mshirikina mzoefu na anashindaga kwa waganga, sio uislamu au ukristo unaokubali shirki
 
Sawa mke wa kiba maana umeongea kama ulikuepo kwenye visomo na kama uliwai kufika kwa mganga wa chitoholi
Ushabiki sio mzuri kabisa kwa kitu usicho kijua

Asee JF imeingiliwa na vijitoto vya 2000 inaanza poteza mvuto izi habari za mipasho na chai huku tulikua hatuna kabisa

By the way mimi sio team kiba wala team mondi mimi team mziki mzuri
umenena bro [emoji16]
 
1572462930064.jpeg
 
Mimi huwa nashangaa kwanini kila Diamond anapotaka kufanya hii festival yake lazima amualike Kiba tena kwenye vyombo vya habari. Kwani hawa wasanii wengine huwa anawapataje na kwa Kiba kwanini asipitie njia hiyo hiyo. Kama huu sio unafiki ni nini? Au ndio hawezi kuishi bila kiki!!!
Deep thinking
 
Kuna mda inabidi mtu aaache unafiki tu.Mondi huwa akiwa kwenye press huwa anajuwa kucheza na akili za watu kwa kujifanya innocent na asiyekuwa na tatizo na wenziwe.Ila yaliyoko moyoni kwake na kamati yake ya ufundi wanayoyafanya ni Ushetani tu.Ila wote ni wasanii wetu tuwasapoti tu.
Unakili sana
 
Back
Top Bottom