Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Wakati mwingine unaweza kuwa unamtafuta mchawi wakati mchawi ni wewe mwenyewe, Ukawa na hisia ya kulogwa wakati hakuna anayekuloga.
 
Kajamaa ka tandale kanafiki sana
 
Kwakweli watu wengi sana hawajaelewa hili suala. Lipo hivi , Hamornez amejiondoa WCB na kuondoka kwake hakuna ishara yakuwa ameondoka vizuri yani niwazi kuwa hakukuwa na maelewano mazuri na WcB. Sasa huyohuyo konde boy leo amekuwa na maelewano mazuri na Clouds mpaka kufanya mahojiano nao. Clouds ni team Kiba. Na nina amini yakuwa Konde na Kiba ni marafiki kwa sasa, kwahiyo hata kama Ali alikuwa anahujumiwa kwa njia ya uchawi na WCB basi siri zote atakuwa anazo kwa sasa. Ila mimi binafsi siamini haya mambo. Kwamana riziki yako kama ipo ipo tu.
 
Naye akaroge kama ni kweli
 
Dah jamaa hawezi kusimama bila uchokozi na msanii au media yaan bila kuwa na upinzani mhuni hawezi but sio mbaya ndio tonge lake lilipo πŸ˜‚

ILA MWAMBA ANA PLAN ZA KI KOKO KINOMA πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dah jamaa hawezi kusimama bila uchokozi na msanii au media yaan bila kuwa na upinzani mhuni hawezi but sio mbaya ndio tonge lake lilipo πŸ˜‚

ILA MWAMBA ANA PLAN ZA KI KOKO KINOMA πŸ˜‚πŸ˜‚
Ameulizwa swali kuhusu Kibakuli amejibu , hivyo waandishi ndio wajifunze kuuliza swali bila kumtaja Kiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…