Haya ndo majibu ya Alikiba na Harmonize kwa Diamond Platinumz baada ya kupata mwaliko wake...

Hapa unataka kusemaje ?
 
Hapo ndio tunajua tofauti ya mtu anayeamini Misingi ya Hard work (Platinumz) na yule anayesubiri miujiza(Miracle) kukua kimziki zaidi.., Hapo Lazima Uamini "UCHAWI" (Kurogwa)-Kiba

Ila sikutegemea kama KIBA ataweza kutumia neno hili "UNIKOME" naona tunazidi Punguza idadi ya wanaume Tanzania.
 
Angalau we nimekuelewa kk
 
sawa tanasha
 

Siku inakuja ambayo sallam, tale, diamond na mama yake watalia na kusaga meno..save my post
 
kwa nn watu mnaamini kuwa kiba anarogwa na mond.....mnatumia kigezo gani kutuaminisha swala ilo?
 
kwa hiyo viewz zikiganda mtuhumiwa ni mond et?
 
Alikibakuli uliibiwa penseli na mond kwani mlisoma shule moja??kwanza we kiba ndio ulikuwa kwenye game kitambo tangu enzi za kina ndio mzee.Sasa kwanini mond anakuacha mbali hivo?yaani kiba we hunaga nyimbo nzuri kabisa sio mashairi wala video sanasana unabebwa na clouds ndio maana unafanyaga interview vipindi vyote vya clouds fm kwa sik moja kuanzia PB, LEO TENA, mpaka XXL, mi sijawahi on a ubebwaji huo?lakini still bado tu humfikii mond.Tuyaache hayo Mond kaamua kupuuzia bifu kakuita ukajiunge nae angalia ulicho jibu, we jamaa una upeo mdogo sana kacheze mpira tu.
 
Si ndio hapo mkuu, Eti mtu yupo kwenye game toka sijui 2005 kazubaaga tu,leo anaanza kulilia anahujumiwa, Hivi kila siku unahujumiwa wewe tu, sasa si uhujumu na wewe ufanikiwe.[emoji3][emoji3][emoji3]
 
You know nothing bro hujui kinachoendelea kati ya hao wawili so bro kwa kimya tu na ukiwa msanii usijenge urafiki na mond don't try that it'll cost you big time.
Harmonize,Lavalava,Mbosso na Rayvanny ni wakulima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…