Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume

Amaru

Member
Joined
May 6, 2011
Posts
87
Reaction score
38
Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume:

1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom.

2. Mwanaume aliye simama Kimaisha.

3. Mwanaume mwenye Fedha.

4. Mwanaume anayeweza kumlinda kihisia, mwanaume aliye kamili kihisia.

5. Mwanaume anayeleta Usalama, Utulivu ndani ya nyumba.

NB: Homeboy kama huna sifa hizi acha kusumbua single mothers, tafuta mwanamke wa namna nyingine.
 
1: Single mama anatafuta mwanaume atakaye kuwa teyari kulea mtoto asiye wake kwa moyo wake wote na kumpa kipaumbele kuliko mtoto wake halali atakaye mzalia , pia kutimiza maslai na ndoto za mtoto wake aliye zaa huko nje.

2: single mother anatafuta mwanaume atakaye kuwa teyari kumruhusu kwenda kuonana na mzazi mwezake muda na wakati wowote bila vikwazo na pia akubaliane na lolote litakalo tokea huko ikiwemo kuchapiwa pamoja na kulala nje huko .

3: single mother anatafuta yule mwanaume atakaye kua teyari kushare penzi na baba mtoto wake bila kulalamika hata akigundua anashare na siyo vinginevyo

SINGLE MOTHER WANASEMAGA SIWEZI MNYIMA MTOTO HAKI YA BABA YAKE , SASA SHAURI YENU HAPO KWENYE HAKI PIGIENI MSTARI.

nb. Epuka single mother , epuka kufa mapema
 
Vijana epukeni mahusiano na wanawake waliokwisha kutangulia kufunga goal,hii ni kwa usalama wenu wote kihisia wewe kuja kuumia ukijua anaendelea kugongwa na aliyemzalisha na yeye kuumia akihisi humpendi mwanae.

Kama unamuhurumia sana ule muda wa kumtongoza muite mpe ushauri kwamba arudiane na aliyemzalisha hivi utakuwa umejiokoa na umemwokoa na yeye pia
 
Screenshot_20230521-152959_Quora.jpg
 
1: Single mama anatafuta mwanaume atakaye kuwa teyari kulea mtoto asiye wake kwa moyo wake wote na kumpa kipaumbele kuliko mtoto wake halali atakaye mzalia , pia kutimiza maslai na ndoto za mtoto wake aliye zaa huko nje...
Namba 2 na 3 ,ujasemaa uongo aiseé mkuu hyo mpk ss ipo live na maishà yangu ,nilizaa na Dem mmoja tukaachana nikabaki na mtoto yeye akaenda na maishà yake akapata mume akamuoa Hadi na harusi lkn uwez amin hata miez cta hawanaa Kwenye ndoa.

Dem Kila cku ananipigia cm oooh nimemic mtt nataka kuja kumwona namwambiaa ntamwagiza boda akuletee kazin umwone ushinde naye uko uko jion arudi.

Dem hataki ety anataka kuja nyumban Ili aje ashinde na mtt na amenimic mm pia na anataka tufanye mapenzi ..aiseee huwaga nabaki nashangaaa tu na kumkataaa lkn wap ,mwishowe nikaamua kupashaa kiporo na chaajabu anatka nimtie mimba ya mtt wa pilii ingali yupo Kwenye ndoaaa [emoji24][emoji24] wanawakee nyieee...

Tahadhari Kwa vijana wenzangu km unajitambua epukaa KUOA SINGLE MOTHER
 
Mbona mna penda kuwa hukumu na kuwa sema sana🤔.
👉Hakuna mwanaume aliye na mtoto, ila haja oa??
👉Vipi Kama ni uzembe na kushindwa kutimiziwa majukumu. Ulio fanywa na mwanaume🤔.
👉Hata wao ni watu na Wana stahili maisha Bora🙏.
👉Halafu mna tukana na kusema hivyo, Kama hamtakuja kuwa na mabinti🤔.
Cc father Ushimen waelimishe vijana wako🤒
 
Namba 2 na 3 ,ujasemaa uongo aiseé mkuu hyo mpk ss ipo live na maishà yangu ,nilizaa na Dem mmoja tukaachana nikabaki na mtt yy akaenda na maishà yake akapata...
Mkuu ipo wazi hiii... Tatizo vijana wanakaza mafuvu sana alafu wanaishia kuua .

Mwanamke udhaifu wake umefungwa kwenye upeo wake wakufikiria mbali .
 
Mbona mna penda kuwa hukumu na kuwa sema sana[emoji848].
[emoji117]Hakuna mwanaume aliye na mtoto, ila haja oa??
[emoji117]Vipi Kama ni uzembe na kushindwa kutimiziwa majukumu. Ulio fanywa na mwanaume[emoji848].
[emoji117]Hata wao ni watu na Wana stahili maisha Bora[emoji120].
[emoji117]Halafu mna tukana na kusema hivyo, Kama hamtakuja kuwa na mabinti[emoji848].
Cc father Ushimen waelimishe vijana wako[emoji855]
Kataa single mother kulinda uhai wako na afya yako ya akili.

Single mother ni kupiga na kusepa tuu.

Hakuna kuwatetea hata kidogo.
 
Mbona mna penda kuwa hukumu na kuwa sema sana[emoji848].
[emoji117]Hakuna mwanaume aliye na mtoto, ila haja oa??
[emoji117]Vipi Kama ni uzembe na kushindwa kutimiziwa majukumu. Ulio fanywa na mwanaume[emoji848].
[emoji117]Hata wao ni watu na Wana stahili maisha Bora[emoji120].
[emoji117]Halafu mna tukana na kusema hivyo, Kama hamtakuja kuwa na mabinti[emoji848].
Cc father Ushimen waelimishe vijana wako[emoji855]
Mkuu kwa mila zetu mwanamke ni bidhaa kama gari tu, ndio maana unamlipia mahali ili umuoe. Hii inafanya iwe vigumu mno mwanamke aliye na mtoto kabla ya kuolewa kuwa na mahusiano imara na kuthaminika.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
SINGLE MOTHER ANAHITAJI MWANAUME ZAIDI YA ALIYEMZALISHA, UKIWA BELOW LAZIMA UPIGE MAYOWE!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Nimeona Watu wengi hasa Vijana wakishutumu na kuwatupia maneno Makali Single mothers. Wengine Wakiwatukana, wakiwakejeli na kuwaita majina mabaya kadiri ya watakavyoona inafaa.

Kama Taikon Master, Mtibeli Halisi, nikasema Acha niingie chimbo kuliangalia hili jambo kinagaubaga. Kisha nije nitoe hesabu ambayo Kwa kiasi kikubwa itakuwa NI sahihi na itasaidia wale watakaohitaji msaada.

Elewa, unapomfuata single mother au Mwanamke yeyote ambaye aliwahi kuwa kwenye uhusiano, kisha akapenda Kwa Moyo wake wote. Elewa kuwa wewe ni second Option. Wewe ni chaguo la pili na kamwe mbili haijawahi na haitakuja iwe moja.
Ili uishinde moja itakupasa uwe zaidi ya Moja lakini kamwe haitamaanisha wewe ni Moja.

Single mothers wanapotaka ku-move on wanatafuta Mwanaume ambaye yupo zaidi ya mwanaume wa Kwanza ingawaje hatachukua nafasi hiyo Kamwe.
Wanahitaji furaha maradufu kuliko waliyokuwa wanaipata kwenye chaguo Lao la Kwanza.

Kosa kubwa utakalolifanya ni kufikiri unapomuoa Single mother basi umemstiri, umemsaidia, au umemuonea huruma, au umemkomboa. Hilo ni kosa ambalo wengi WA wanaume hulifanya.

Ukweli ni kuwa haukumuoa Kwa sababu ya kumhurumia, na hukuwa unamhudumia yeye na mtoto wake Kwa Sababu ya huruma Bali ni Kwa sababu anajua unampenda.

Elewa kuwa Mwanamke haonewi huruma, na huruma yoyote hata kama unayo ambayo utaionyesha Kwa Mwanamke ataitambua na kuitafsiri kama unampenda Sana.

Elewa kuwa, single mother wengi wanapata wanaume wa kuwaoa ambao ni Below ya mwanaume aliyemzalisha na ndipo hapo kisanga kinapoanzia. Wao ni kama wanakuonea wewe huruma,
Kwa sababu kama sio mipango yake kuenda mrama basi usingekuwa naye.

Elewa kuwa huwezi kumuumiza single mother zaidi ya alivyoumizwa na chaguo lake la Kwanza. Hiyo hata ungefanya nini hiyo haiwezekaniki.
Mwanamke anaumizwa mara moja tuu. Hasa na chaguo lake la Kwanza.

Kama Mwanamke hakujiua alipoachwa na Mwanaume wake wakwanza aliyempenda Sana. Basi hakuna mwanaume mwingine Duniani ambaye atamfanya Mwanamke huyo ajiue. Hiyo ni tofauti kabisa na Sisi wanaume.

Ukishakuwa hujafikia viwango au hadhi ya mwanaume aliyemzalisha kamwe usitarajie ati huyo single mother hatawasiliana na Mzazi mwenzake, hiyo haipo na haitakuja kutokea Dunia ingalipo.

Mwanamke ni Jeuri, Kiburi, mwenye dharau Kwa wanaume wanaofuata Baada ya chaguo la Kwanza, lakini kamwe Mwanamke hana huo ubavu wa kuleta Kiburi Kwa mwanaume aliyempenda Sana, chaguo la Kwanza.

Ukisikia popote pale kwenye mapenzi Mwanamke anamsumbua Baba au Mwanaume Fulani basi ni rahisi kujua kuwa huyo Mwanaume hakuwa chaguo la Kwanza Kwa huyo Mwanamke.
Hapa hatuzungumzii mambo ya kutoana Bikra nop, tunazungumzia Yule Mwanaume WA Kwanza kuingia katika moyo WA Mwanamke alafu bahati akamzalisha. Aiseeh! Hapo kazi kubwa Ipo.

Wanawake wanaweza wakakudanganya kuhusu hili, na dunia inaweza kukufariji katika hili lakini ukweli na uhalisia WA mambo NI kuwa.
Mwanamke hawezi kumuacha Mwanaume aliyempenda Sana(First Lover wake) tena aliyemzalisha yaani Mzazi Mwenzake. Dunia iende Dunia irudi.

Mwanamke ni rahisi kumsamehe mwanaume aliyempenda (chaguo lake la Kwanza) hata Kwa gharama za kuvunja ndoa yake ikiwa tuu ataahidiwa kumpata na kurudiana na Mwanaume huyo. Asije akakudanganya yeyote kuwa hilo haliwezekaniki. Kwa Mwanamke linapokuja suala la upendo wake Kwa mwanaume anayempenda au Kwa mtoto wake aliyemzaa yupo tayari kufanya lolote ikiwezekana hata kuua kama atapata hiyo nafasi.

Sasa Taikon unataka kusemaje? Hutaki tuoe Single mother? Au je hautaki single mother tuolewe?
Vipi Sisi ambao tayari tupo kwenye mahusiano na hao single mother?
Vizuri.
Taikon ni mtu wa utatuzi, fanya haya;

1. Usimzuie Mkeo aliye single mother kuzungumza na Mzazi Mwenzake.
Iwe kwaajili ya mtoto au kwaajili ya kutaka kwao kurudiana.
Kadiri unavyomzuia na kumdhibiti ndivyo anavyozidi kumuona huyo mzazi Mwenzake ni Bora juu yako.
Elewa kuwa Mzazi Mwenzake Wakati huo hatakuwa na time naye na mara nyingi atakuwa anamsisitiza alinde ndoa yenu Mpya.

Jaribu kumuachia Uhuru ili uweze kusoma Kwa usahihi hisia zake. Hii itakusaidia kujua nini chakufanya.

Sisi Watibeli tunajua kuwa, kitendo cha Mzazi Mwenzake kumkaushia kinazidi kumuharibu zaidi kisaikolojia huyo Mwanamke. Kwanza ataona yakuwa mzazi Mwenza Huko aliko anafuraha kuliko Wakati walivyokuwa pamoja, hiyo itamfanya achanganyikiwe. Wewe chakufanya ni kutimiza majukumu yako kama Mwanaume, lakini nawe usimfuatilie. Ni lazima hapo ajitulize tuu.

2. Single mother huwakumbuka Wazazi Wenza pindi wanapoona upo Chini ya kiwango.
Kitendo cha kumzuia asiwasiliane na aliyemzalisha kinaashiria na atakuona hujiamini, na hiyo itathibitisha Imani aliyonayo kuwa mwanaume aliyemzalisha ni Bora kuliko wewe.
Jiamini,
Mpe huduma za msingi anazostahili kupewa Mwanamke.
Usifanye Jambo Kwa kujitesa kwaajili yake, yaani kama Jambo huna uwezo nalo usilazimishe.
Usiwe mtu wa kutaka taka kila Siku Ngono. Hiyo pia inakuweka katika nafasi ya yeye kukuona kuwa hunapakumbilia zaidi yake.

Hakikisha unajua mzunguko wa nyege zake, elewa kuwa Wanawake wengi Wana siku 4 mpaka 7 ndani ya mwezi za miili Yao kusikia hamu ya kuingiliwa. Hizo siku akionyesha dalili piga. Siku zingine endelea na mambo mengine.

Haipendezi uishi na Mwanamke alafu asiwe na wasiwasi kuwa huyu mwanaume hana mchepuko. Sijasema uchepuke. Lakini najaribu kueleza kuwa hakikisha unaonekana kama Mwanaume mwenye uwezo wa kuwa na Wanawake wengine zaidi yake. Hiyo itamfanya azidi kukupenda na kujiona mwenye bahati.

3. Hakikisha anakufananisha na Baba yake au First Lover wake na unawazidi kwa kiasi.
Huwezi kuepusha wewe kufananishwa na mtu mwingine iwe direct au indirect way. Mwanamke wako kama tayari aliwahi kumpenda Mwanaume mwingine basi kukufananisha na kukulinganisha hakuepukiki.
Itapendeza zaidi kama akikulinganisha na akakuta mnafanana Kwa kiasi kikubwa na Yule wa mwanzo na tena unamzidi.

Ni lazima atajiona anabahati na taratibu ataanza kumsahau huyo Mwanaume aliyemzalisha.
Jua kuwa kila Mwanamke anatype yake ya wanaume.
Kuanzia kwenye namna ya kuvaa, kuzungumza, kucheka, Kula, kutembea, kitandani, kufanya maamuzi n.k.

Kadiri ambavyo haufanani na Mpenzi wake wa mwanzo ndivyo anavyozidi kujilaumu Kwa nini alikuwa na wewe. Atajikumbusha kuwa yupo na wewe Kwa sababu ya Malezi ya mtoto wake. Akikua basi ataona nini atafanya huko mbeleni.

Life style ya Single mother wanazozipenda nyingi NI zile za wale wanaume waliowapenda kwa mioyo Yao yote(First Lover). Bila kujali ni Takatifu au Najisi, Halali au Haramu.

4. Pesa pekeake haitoshi kumfanya Single mother akuone wewe ni Mwanaume Bora.
Pesa ni kwaajili ya mwili lakini Mapenzi ni kwàajili ya Moyo wake.
Pesa utakazompa zisilenge kumfanya azidi kukupenda Kwa sababu hazibadili chochote katika moyo wake. Ingawaje anaweza kukushukuru.
Jitahidi uuteke moyo wake kusudi ummiliki kama alivyomilikiwa na Mwanaume wake wa Kwanza.

Pesa zitamfanya akusifu na Wakati mwingine huweza kufikiria kuwa ingekuwa bahati kama Pesa hizo angezitumia na Mwanaume wake wa kwanza.

5. Mapenzi pekeake ndiyo yatamfanya Amsahau Mzazi Mwenzake.
Mapenzi sio kwichukwichu pekeake. Mapenzi yanahitaji moyo, nguvu na Akili.
Onyesha namna ambavyo moyo wake unavyomjali, mpende, geuza Imani yake kwako,
Wanawake wanapenda wanaume wanaopenda Kwa Akili, tumia Akili kucheza na hisia zake. Mjali lakini usizidishe, mpende lakini uzidishe, Mpe wasiwasi lakini usizidishe, hayo yote utayaweza kama unapenda Kwa Akili.

6. Usimuahidi Single mother kuwa utampenda zaidi kuliko Chaguo lake la Kwanza.
Kwanza elewa kuwa Single mother kinachomtesa ni moyo wake, kwamba yeye alimpenda aliyemzalisha. Hivyo kusema maneno hayo ni kujaribu kumlaumu kuwa alikosea. Jambo ambalo Wanawake hawapendi na hawataki kulaumiwa au kukosolewa.

Usipende kuongea ongea ahadi Kwa single mother. Maneno waliyapata Kwa First Lover na matokeo Yake wanayo. Onyesha zaidi Matendo lakini Kwa Akili.

7. Usimtukane First Lover Wake.
Kumtukana First Lover wake ni kumtukana yeye mwenyewe. Wanawake hawapendi mwanaume mwenye kujiona yeye ni Mwema kuliko mtu aliyempenda.
Ikiwezekana mtetee huyo Mpenzi wake, jaribu kumueleza huenda amepitiwa tuu.

Single mother anapomtukana Mzazi Mwenzake haikupi wewe uhalali wa kumtusi kipenzi chake cha kale. Unapaswa kukumbuka bado anampenda(ingawaje upendo umezimia), unapaswa kujua kuwa Huyo ni Baba WA mtoto Wake. Hivyo hatakubali kuona Maslahi ya mtoto wake yanaingiliwa.

8. Elewa huyo mtoto sio wako lakini unajukumu la kumlea kama mtoto wako.
Zingatia Jambo Hilo.
Kuliko umzuie mtoto asionane na Baba yake kisa wewe ndiye unamlea au unatoa vipesa vyako vya Ada, ni Bora kila likizo umwambie Mkeo(single mother) kuwa huyu mtoto likizo hii anapaswa akaonane na Baba yake mzazi. Tafuta maelezo yenye hoja zenye mantiki kumuelewesha Mkeo.

Usijifanye unawivu kushinda Wivu WA Mwanamke mwenyewe. Huo sio uanaume. Mwanamke atakuona haujiamini.
Unaogopa kuachwa. Hii inamaanisha hata ukimkamata red-handed hutafanya Jambo.

Elewa kuwa kumbana bana single mother sio kwamba atakuona unawivu wa kumpenda Bali atakuona haumuamini na utamfanya ajione mwenye hatia kila Siku kisa alishazalishwa. Na alizalishwa sio Kwa bahati Mbaya Bali Kwa mapenzi yake na huyo aliyekuwa anampenda.
Sasa kumfanya MTU anahatia kisa upendo wake hiyo itaongeza uhasama zaidi na lazima mpasuko utokee.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
 
Wonderful, na kwa kweli wewe ni Taikon wa fasihi! Thank You!
 
Ujue nimesoma yote lakin kunajambo silielew nimeona (First love) na nilishasikiaga et kuwa ukiona mwanamke amezaa au alizaa na mwanaume fulani bas jua amempenda kweli au alimpenda kweli maswali yangu.
QUESTIONS:
1.nikweli mwanamke akimpenda mwanaume kweli ndo anazaa nae na je kama mimba alipata kwa bahati mbaya bila ya kutegemea ilitokea tu japo ndio ni kweli walikuwa wanamahusiano?.
2.na kama ni kweli hiko hivyo inamaana kama mwanamke uponae kwenye mahusiano ila hajakupenda kweli anapoteza muda tu inamaana ukifanyanae ngono hata siku za hatar mnataka kusema kuwa hapati mimba et tu kisa hajakupenda kweli (First love)?.
3.kwaiyo wanawake wote masingle maza wote wamezaa na wanaume waliowapenda kweli na kama wangekuwa hawawapendi kweli wasingeshika mimba ?

NAOMBA MAJIBU LEO TUMALIZE UTATA
 
Namba 2 na 3 ,ujasemaa uongo aiseé mkuu hyo mpk ss ipo live na maishà yangu ,nilizaa na Dem mmoja tukaachana nikabaki na mtoto yeye akaenda na maishà yake akapata mume akamuoa Hadi na harusi lkn uwez amin hata miez cta hawanaa Kwenye ndoa.

Dem Kila cku ananipigia cm oooh nimemic mtt nataka kuja kumwona namwambiaa ntamwagiza boda akuletee kazin umwone ushinde naye uko uko jion arudi.

Dem hataki ety anataka kuja nyumban Ili aje ashinde na mtt na amenimic mm pia na anataka tufanye mapenzi ..aiseee huwaga nabaki nashangaaa tu na kumkataaa lkn wap ,mwishowe nikaamua kupashaa kiporo na chaajabu anatka nimtie mimba ya mtt wa pilii ingali yupo Kwenye ndoaaa [emoji24][emoji24] wanawakee nyieee...

Tahadhari Kwa vijana wenzangu km unajitambua epukaa KUOA SINGLE MOTHER
Hii stori ni ya kweli ama?
 
SINGLE MOTHER ANAHITAJI MWANAUME ZAIDI YA ALIYEMZALISHA, UKIWA BELOW LAZIMA UPIGE MAYOWE!

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

Nimeona Watu wengi hasa Vijana wakishutumu na kuwatupia maneno Makali Single mothers. Wengine Wakiwatukana, wakiwakejeli na kuwaita majina mabaya kadiri ya watakavyoona inafaa.

Kama Taikon Master, Mtibeli Halisi, nikasema Acha niingie chimbo kuliangalia hili jambo kinagaubaga. Kisha nije nitoe hesabu ambayo Kwa kiasi kikubwa itakuwa NI sahihi na itasaidia wale watakaohitaji msaada.

Elewa, unapomfuata single mother au Mwanamke yeyote ambaye aliwahi kuwa kwenye uhusiano, kisha akapenda Kwa Moyo wake wote. Elewa kuwa wewe ni second Option. Wewe ni chaguo la pili na kamwe mbili haijawahi na haitakuja iwe moja.
Ili uishinde moja itakupasa uwe zaidi ya Moja lakini kamwe haitamaanisha wewe ni Moja.

Single mothers wanapotaka ku-move on wanatafuta Mwanaume ambaye yupo zaidi ya mwanaume wa Kwanza ingawaje hatachukua nafasi hiyo Kamwe.
Wanahitaji furaha maradufu kuliko waliyokuwa wanaipata kwenye chaguo Lao la Kwanza.

Kosa kubwa utakalolifanya ni kufikiri unapomuoa Single mother basi umemstiri, umemsaidia, au umemuonea huruma, au umemkomboa. Hilo ni kosa ambalo wengi WA wanaume hulifanya.

Ukweli ni kuwa haukumuoa Kwa sababu ya kumhurumia, na hukuwa unamhudumia yeye na mtoto wake Kwa Sababu ya huruma Bali ni Kwa sababu anajua unampenda.

Elewa kuwa Mwanamke haonewi huruma, na huruma yoyote hata kama unayo ambayo utaionyesha Kwa Mwanamke ataitambua na kuitafsiri kama unampenda Sana.

Elewa kuwa, single mother wengi wanapata wanaume wa kuwaoa ambao ni Below ya mwanaume aliyemzalisha na ndipo hapo kisanga kinapoanzia. Wao ni kama wanakuonea wewe huruma,
Kwa sababu kama sio mipango yake kuenda mrama basi usingekuwa naye.

Elewa kuwa huwezi kumuumiza single mother zaidi ya alivyoumizwa na chaguo lake la Kwanza. Hiyo hata ungefanya nini hiyo haiwezekaniki.
Mwanamke anaumizwa mara moja tuu. Hasa na chaguo lake la Kwanza.

Kama Mwanamke hakujiua alipoachwa na Mwanaume wake wakwanza aliyempenda Sana. Basi hakuna mwanaume mwingine Duniani ambaye atamfanya Mwanamke huyo ajiue. Hiyo ni tofauti kabisa na Sisi wanaume.

Ukishakuwa hujafikia viwango au hadhi ya mwanaume aliyemzalisha kamwe usitarajie ati huyo single mother hatawasiliana na Mzazi mwenzake, hiyo haipo na haitakuja kutokea Dunia ingalipo.

Mwanamke ni Jeuri, Kiburi, mwenye dharau Kwa wanaume wanaofuata Baada ya chaguo la Kwanza, lakini kamwe Mwanamke hana huo ubavu wa kuleta Kiburi Kwa mwanaume aliyempenda Sana, chaguo la Kwanza.

Ukisikia popote pale kwenye mapenzi Mwanamke anamsumbua Baba au Mwanaume Fulani basi ni rahisi kujua kuwa huyo Mwanaume hakuwa chaguo la Kwanza Kwa huyo Mwanamke.
Hapa hatuzungumzii mambo ya kutoana Bikra nop, tunazungumzia Yule Mwanaume WA Kwanza kuingia katika moyo WA Mwanamke alafu bahati akamzalisha. Aiseeh! Hapo kazi kubwa Ipo.

Wanawake wanaweza wakakudanganya kuhusu hili, na dunia inaweza kukufariji katika hili lakini ukweli na uhalisia WA mambo NI kuwa.
Mwanamke hawezi kumuacha Mwanaume aliyempenda Sana(First Lover wake) tena aliyemzalisha yaani Mzazi Mwenzake. Dunia iende Dunia irudi.

Mwanamke ni rahisi kumsamehe mwanaume aliyempenda (chaguo lake la Kwanza) hata Kwa gharama za kuvunja ndoa yake ikiwa tuu ataahidiwa kumpata na kurudiana na Mwanaume huyo. Asije akakudanganya yeyote kuwa hilo haliwezekaniki. Kwa Mwanamke linapokuja suala la upendo wake Kwa mwanaume anayempenda au Kwa mtoto wake aliyemzaa yupo tayari kufanya lolote ikiwezekana hata kuua kama atapata hiyo nafasi.

Sasa Taikon unataka kusemaje? Hutaki tuoe Single mother? Au je hautaki single mother tuolewe?
Vipi Sisi ambao tayari tupo kwenye mahusiano na hao single mother?
Vizuri.
Taikon ni mtu wa utatuzi, fanya haya;

1. Usimzuie Mkeo aliye single mother kuzungumza na Mzazi Mwenzake.
Iwe kwaajili ya mtoto au kwaajili ya kutaka kwao kurudiana.
Kadiri unavyomzuia na kumdhibiti ndivyo anavyozidi kumuona huyo mzazi Mwenzake ni Bora juu yako.
Elewa kuwa Mzazi Mwenzake Wakati huo hatakuwa na time naye na mara nyingi atakuwa anamsisitiza alinde ndoa yenu Mpya.

Jaribu kumuachia Uhuru ili uweze kusoma Kwa usahihi hisia zake. Hii itakusaidia kujua nini chakufanya.

Sisi Watibeli tunajua kuwa, kitendo cha Mzazi Mwenzake kumkaushia kinazidi kumuharibu zaidi kisaikolojia huyo Mwanamke. Kwanza ataona yakuwa mzazi Mwenza Huko aliko anafuraha kuliko Wakati walivyokuwa pamoja, hiyo itamfanya achanganyikiwe. Wewe chakufanya ni kutimiza majukumu yako kama Mwanaume, lakini nawe usimfuatilie. Ni lazima hapo ajitulize tuu.

2. Single mother huwakumbuka Wazazi Wenza pindi wanapoona upo Chini ya kiwango.
Kitendo cha kumzuia asiwasiliane na aliyemzalisha kinaashiria na atakuona hujiamini, na hiyo itathibitisha Imani aliyonayo kuwa mwanaume aliyemzalisha ni Bora kuliko wewe.
Jiamini,
Mpe huduma za msingi anazostahili kupewa Mwanamke.
Usifanye Jambo Kwa kujitesa kwaajili yake, yaani kama Jambo huna uwezo nalo usilazimishe.
Usiwe mtu wa kutaka taka kila Siku Ngono. Hiyo pia inakuweka katika nafasi ya yeye kukuona kuwa hunapakumbilia zaidi yake.

Hakikisha unajua mzunguko wa nyege zake, elewa kuwa Wanawake wengi Wana siku 4 mpaka 7 ndani ya mwezi za miili Yao kusikia hamu ya kuingiliwa. Hizo siku akionyesha dalili piga. Siku zingine endelea na mambo mengine.

Haipendezi uishi na Mwanamke alafu asiwe na wasiwasi kuwa huyu mwanaume hana mchepuko. Sijasema uchepuke. Lakini najaribu kueleza kuwa hakikisha unaonekana kama Mwanaume mwenye uwezo wa kuwa na Wanawake wengine zaidi yake. Hiyo itamfanya azidi kukupenda na kujiona mwenye bahati.

3. Hakikisha anakufananisha na Baba yake au First Lover wake na unawazidi kwa kiasi.
Huwezi kuepusha wewe kufananishwa na mtu mwingine iwe direct au indirect way. Mwanamke wako kama tayari aliwahi kumpenda Mwanaume mwingine basi kukufananisha na kukulinganisha hakuepukiki.
Itapendeza zaidi kama akikulinganisha na akakuta mnafanana Kwa kiasi kikubwa na Yule wa mwanzo na tena unamzidi.

Ni lazima atajiona anabahati na taratibu ataanza kumsahau huyo Mwanaume aliyemzalisha.
Jua kuwa kila Mwanamke anatype yake ya wanaume.
Kuanzia kwenye namna ya kuvaa, kuzungumza, kucheka, Kula, kutembea, kitandani, kufanya maamuzi n.k.

Kadiri ambavyo haufanani na Mpenzi wake wa mwanzo ndivyo anavyozidi kujilaumu Kwa nini alikuwa na wewe. Atajikumbusha kuwa yupo na wewe Kwa sababu ya Malezi ya mtoto wake. Akikua basi ataona nini atafanya huko mbeleni.

Life style ya Single mother wanazozipenda nyingi NI zile za wale wanaume waliowapenda kwa mioyo Yao yote(First Lover). Bila kujali ni Takatifu au Najisi, Halali au Haramu.

4. Pesa pekeake haitoshi kumfanya Single mother akuone wewe ni Mwanaume Bora.
Pesa ni kwaajili ya mwili lakini Mapenzi ni kwàajili ya Moyo wake.
Pesa utakazompa zisilenge kumfanya azidi kukupenda Kwa sababu hazibadili chochote katika moyo wake. Ingawaje anaweza kukushukuru.
Jitahidi uuteke moyo wake kusudi ummiliki kama alivyomilikiwa na Mwanaume wake wa Kwanza.

Pesa zitamfanya akusifu na Wakati mwingine huweza kufikiria kuwa ingekuwa bahati kama Pesa hizo angezitumia na Mwanaume wake wa kwanza.

5. Mapenzi pekeake ndiyo yatamfanya Amsahau Mzazi Mwenzake.
Mapenzi sio kwichukwichu pekeake. Mapenzi yanahitaji moyo, nguvu na Akili.
Onyesha namna ambavyo moyo wake unavyomjali, mpende, geuza Imani yake kwako,
Wanawake wanapenda wanaume wanaopenda Kwa Akili, tumia Akili kucheza na hisia zake. Mjali lakini usizidishe, mpende lakini uzidishe, Mpe wasiwasi lakini usizidishe, hayo yote utayaweza kama unapenda Kwa Akili.

6. Usimuahidi Single mother kuwa utampenda zaidi kuliko Chaguo lake la Kwanza.
Kwanza elewa kuwa Single mother kinachomtesa ni moyo wake, kwamba yeye alimpenda aliyemzalisha. Hivyo kusema maneno hayo ni kujaribu kumlaumu kuwa alikosea. Jambo ambalo Wanawake hawapendi na hawataki kulaumiwa au kukosolewa.

Usipende kuongea ongea ahadi Kwa single mother. Maneno waliyapata Kwa First Lover na matokeo Yake wanayo. Onyesha zaidi Matendo lakini Kwa Akili.

7. Usimtukane First Lover Wake.
Kumtukana First Lover wake ni kumtukana yeye mwenyewe. Wanawake hawapendi mwanaume mwenye kujiona yeye ni Mwema kuliko mtu aliyempenda.
Ikiwezekana mtetee huyo Mpenzi wake, jaribu kumueleza huenda amepitiwa tuu.

Single mother anapomtukana Mzazi Mwenzake haikupi wewe uhalali wa kumtusi kipenzi chake cha kale. Unapaswa kukumbuka bado anampenda(ingawaje upendo umezimia), unapaswa kujua kuwa Huyo ni Baba WA mtoto Wake. Hivyo hatakubali kuona Maslahi ya mtoto wake yanaingiliwa.

8. Elewa huyo mtoto sio wako lakini unajukumu la kumlea kama mtoto wako.
Zingatia Jambo Hilo.
Kuliko umzuie mtoto asionane na Baba yake kisa wewe ndiye unamlea au unatoa vipesa vyako vya Ada, ni Bora kila likizo umwambie Mkeo(single mother) kuwa huyu mtoto likizo hii anapaswa akaonane na Baba yake mzazi. Tafuta maelezo yenye hoja zenye mantiki kumuelewesha Mkeo.

Usijifanye unawivu kushinda Wivu WA Mwanamke mwenyewe. Huo sio uanaume. Mwanamke atakuona haujiamini.
Unaogopa kuachwa. Hii inamaanisha hata ukimkamata red-handed hutafanya Jambo.

Elewa kuwa kumbana bana single mother sio kwamba atakuona unawivu wa kumpenda Bali atakuona haumuamini na utamfanya ajione mwenye hatia kila Siku kisa alishazalishwa. Na alizalishwa sio Kwa bahati Mbaya Bali Kwa mapenzi yake na huyo aliyekuwa anampenda.
Sasa kumfanya MTU anahatia kisa upendo wake hiyo itaongeza uhasama zaidi na lazima mpasuko utokee.

Acha nipumzike sasa.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Taikon, copy huu Uzi na upaste iwe Uzi mkuu kila mtu aione.
 
1: Single mama anatafuta mwanaume atakaye kuwa teyari kulea mtoto asiye wake kwa moyo wake wote na kumpa kipaumbele kuliko mtoto wake halali atakaye mzalia , pia kutimiza maslai na ndoto za mtoto wake aliye zaa huko nje.

2: single mother anatafuta mwanaume atakaye kuwa teyari kumruhusu kwenda kuonana na mzazi mwezake muda na wakati wowote bila vikwazo na pia akubaliane na lolote litakalo tokea huko ikiwemo kuchapiwa pamoja na kulala nje huko .

3: single mother anatafuta yule mwanaume atakaye kua teyari kushare penzi na baba mtoto wake bila kulalamika hata akigundua anashare na siyo vinginevyo

SINGLE MOTHER WANASEMAGA SIWEZI MNYIMA MTOTO HAKI YA BABA YAKE , SASA SHAURI YENU HAPO KWENYE HAKI PIGIENI MSTARI.

nb. Epuka single mother , epuka kufa mapema

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]pole inaonyesha umepitia mengi sana
 
Vijana epukeni mahusiano na wanawake waliokwisha kutangulia kufunga goal,hii ni kwa usalama wenu wote kihisia wewe kuja kuumia ukijua anaendelea kugongwa na aliyemzalisha na yeye kuumia akihisi humpendi mwanae.

Kama unamuhurumia sana ule muda wa kumtongoza muite mpe ushauri kwamba arudiane na aliyemzalisha hivi utakuwa umejiokoa na umemwokoa na yeye pia

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom