Haya ni makampuni makubwa miongoni mwa 400 yanayowekeza mabilioni ya dola nchini Israel kwajili ya Utafiti na Ubunifu (Research and Design)

Huawei wanafanya nini Israel kama sio siasa za maji taka
 
Waafrika tuna safari ndefu sana.Na hizi dini ambazo tunajidai tunazijua kuliko waliopewa, ndio kabisaa.
 
Kama hayo yana ukweli, kwanini Israel imekuwa nchi ya kutegemea misaada tu, ktk nchi 20 tajiri duniani haipo. Tumekaririshwa sana MATANGO poli
 
Kama hayo yana ukweli, kwanini Israel imekuwa nchi ya kutegemea misaada tu, ktk nchi 20 tajiri duniani haipo. Tumekaririshwa sana MATANGO poli
Hayo matango poli ni nini? Kama hujui kuandika poli kweli utaelewa haya sisi wenye akili tunajadili?😁 Angalia inventions nyingi zimesaidiaje Dunia. Sijui kama unaelewa maana ya invention?😁 Dogo Elimu nayo ni muhimu sana ili kupanua ubongo. Msipanue tu makalio😁
 
Dogo sijuu kama unafahamu kiingereza. Ungemwambia mtu akusomee. Unajua hata chanjo kadhaa unazopata ni kutoka kwao?
Taja chanjo moja tu ambayo dunia nzima inatengenezwa huko pekee dunia now sio kama Ile ya propaganda mlotumezeshwa miaka 50 au 70 nyuma huko hao jamaa kwenye paper 📄 ndio spesho kama munavyo wasemea hapa ila uhalisia umewakataa Kabisaaaa
 
Pia wayemen, wasomali, waafghan, wairak, wairan, wapalestina wapo vizuri sana na makampuni makubwa mnoo yamewekeza huko kwenye utafiti ila vyombo vya mazayuni vinaona wivu kuripoti
 
Hizi propaganda hazina nafasi Kwa ulimwengu wa sasa
Mwambie huyo kuna watu wana akili nyingi kama waarab? yeye hajui tu waarabu ndo wabunifu na wavumbuzi wa bhargashia, misuli, majambia, na dunia nzima inavitumia.
Kuna mwarab akiitwa muhamad saw hakujua kusoma wala kuandika na bado akavumbua dini na msaafu wake na leo ina wafuasi kibao.
 
Pia wayemen, wasomali, waafghan, wairak, wairan, wapalestina wapo vizuri sana na makampuni makubwa mnoo yamewekeza huko kwenye utafiti ila vyombo vya mazayuni vinaona wivu kuripoti
Tutajie hayo makampuni sheikh
 
India, Japan, China na ata USA .... Design and research Labs zao zipo Israel. The best Dawa za Cancer, HIV,Antbiotics are designed and made in USA and Israel.....
 

Attachments

  • IMG_6806.jpeg
    63 KB · Views: 1
  • IMG_6815.jpeg
    130.4 KB · Views: 3
  • IMG_6810.jpeg
    62.8 KB · Views: 2
  • IMG_6807.jpeg
    36 KB · Views: 1
  • IMG_6808.jpeg
    29.1 KB · Views: 1

Attachments

  • IMG_6816.jpeg
    218.4 KB · Views: 3
  • IMG_6817.jpeg
    789.6 KB · Views: 1
🤣🤣🤣 Nawewe unajiita ni mtu mwenye akili kwasababu tu umekariri maana ya invention🙈 huu ni msiba.
 
Watu wenye akili tunataka kukupa akili unakuwa mbishi.
🤣🤣🤣 Kunipa akili au kunikaririsha upumbafu, ingekuwa hivyo kama ulivyokaririshwa, kwanini wamekwa ni watu wa kusaidiwa mpaka kwenye bajeti yao. Tumeona kwenye AD zao ziko poorly yaani hata za Iran ni bora sana. Kusoma ndio tunaweza kuwa hatujui lakini picha tunaziona.
 
Tatizo la madogo wa miaka ya 2000s hampendi kabisa kusoma kutafuta ukweli. Unafaham faham english hata Kidogo?
PAta hizi DATA hapa. Mwambie mtu ambaye angalau anajua kiingereza akusaidie.
 
Historia ya wana israel ni wabunifu sana na wazuri ktk sayansi,teknolojia ndio mana mataifa makubwa mengi wana watu wao israel kwa ajoli ya ubunifu, yani hmaambiwa hz satellite hzbkila nchi inaweza tengeneza lkn ili iruke juu kule lazima umuone muisrael kama vike gari utatengeza lkn lazima uweke mafuta ili litembee sasa hati miliki ya chip anayo muisrael hawa jamaa achana nao wako vzuri sana tafuteni taarifa sio kubisha bisha bila sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…