Volatility
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 3,935
- 7,513
Umeandika upuuzi hata nimeshindwa kuchangia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hamna point ya msingi zaidi ya #9 kwa huu ugumu wa maisha nahc wananchi wenyewe ndo wamuziWakuu,
1) What a match!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko kelele na matamko ya majukwaani.
2) Tundu Lissu is impressive as usual lakini seems Chadema hawakumuandaa, experience yake ya uanaharakati ndio unaofanya aonekane active uwanjani lakini bado hajawa na madhara kihoja ingawa bado mapema. Mambo ya kusema atamshtaki JPM kwa rushwa ya kununua jogoo laki moja ni uanaharakati si level zake tena kama mgombea Urais.
3) John Pombe Magufuli yuko composed sababu ya records zake awamu hii ya kwanza. Lakini pia kwasasa nguvu kubwa ipo kwenye kupanga vyema mabeki Majimboni na Udiwani. Hapo ndio unapoona timu kubwa na yenye watu wazoefu inavyohandle mchezo. Ni kama wameamua kuacha wapinzani wacheze huku wao wakikamilisha ramani ya ushindi.
4) Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyalandu ili kumshape Lissu kama Mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni Majimboni ambako hali si nzuri
5) Kimbinu CCM wana kazi kubwa ya kumaliza mchakato wa wagombea Ubunge na Udiwani bila mpasuko lakini maeneo mengi kimbinu wamejipanga kushinda.
6) John Pombe Magufuli takwimu zinambeba na wananchi wanajua matokeo yake wakimchagua tofauti na Lissu ambaye anapaswa kujikita kwenye hoja zenye matarajio ya wananchi hasa wanyonge walio wengi. Je ataweza kuaminisha wananchi ili wamchague?
7) Financially CCM wako stable kuhandle kampeni kuliko CHADEMA ambayo imepanga pia kusimamisha wagombea majimbo yote.
8) John Pombe Magufuli amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na Makatibu Tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri.
9) Angalizo, Lissu usihangaike na wimbo wa katiba mpya hauna mashiko kwa wananchi wanyonge na hautampa kura. John Pombe Magufuli pia awekeze hoja kwenye mipango mipya hasa mapinduzi kwenye kilimo na uwekezaji.
10) Wapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.
Mizania pima mwenyewe, hayo ni maoni yangu binafsi [emoji41]
Ameeen, na iwe hivyooooHivi huyo magufuli takwimu gani zinambeba?
Hali ya kiuchumi Kwa wananchi ikoje? Kwa wakulima wa mbaaazi, korosho, tumbaku takwimu zikoje?
Suala la ajira kwa vijana kafanya nini? Ameua uwekezaji na sekta binafsi kaishia kufanya maelfu ya vijana kuwa jobless na watu kupoteza ajira
Ameua watu, kubambikia watu makesi, kuonea watu mpaka hata watoto wadigo wanajua
Ameharibu biashara kupelekea watu kufunga biashara zao na wengine kufirisiwa na mabenki?
Huyo magufuli kafanya ya nini zaidi ya haya? Njia ni nyeupe sana kwa Tundu Lissu mwaka huu.
..TL anatakiwa ajielekeze ktk kuwaelimisha wapiga kura jinsi gani ataboresha hali zao za kiuchumi.
..kwa mfano, kama ni bodaboda basi aeleweshwe mabadiliko yatakayomgusa na kumuwezesha kutoka kuwa na bodaboda moja kwenda mbili.
..kama ni kijana aliyemaliza masomo, basi anatakiwa aeleweshwe mabadiliko yatakayotokea ambayo yatamuwezesha siyo kupata ajira tu, bali kupata ajira anayoipenda au kuitamani.
..kama ni mzazi ana mtoto shuleni ahakikishiwe kwamba elimu itakayoipata mwanawe itamuwezesha kujitegemea na kuwa msaada kwa wazazi wanaomsomesha as long as anajituma. Na kwamba elimu na maarifa atakayoyapata yatamuwezesha kufanikiwa ktk soko la ajira za kazi ndani na nje ya Tanzania.
..WAKULIMA nao waelimishwe jinsi gani wataweza kukua. Wakulima wadogo waelewezwe mipango itakayowawezesha kuwa wakulima wa kati. Wakulima wa kati waeleweshwe mipango itakayowawezesha kupanda daraja na kuwa wakulima wakubwa.
..Kwa maoni yangu, kufanikiwa au kutokufanikiwa kwa Tundu Lissu kutatokana na aina ya ILANI ya uchaguzi waliyoiandaa CDM na wasaidizi wake wa kampeni wanamuandaa vipi. Pamoja na umahiri wa TL ktk kujenga hoja na kulitawala jukwaa CDM wawe makini kumuongoza ktk kuzungumza yale yanayowagusa wananchi.
Sidhani kama hao wote wapo sahani moja na jamaa.1. Mzee Mangula
2. Kikwete
3. Shein
4.................
5.................
We unaniita me Ni CCM lakini last week mashabiki wa CCM walikuwa wananiita me Ni mshabiki wa CHADEMA baada ya kuleta hoja ambayo haikuwapendeza sasa sijajua mnawazaga Nini?Tunatazama matendo yako juu na maneno yako tunajua rangi yako
mtoa mada na huyu nan wa kuonea huruma
Wanavamia mkutano na bado wanalindwa na polisi!!? hivi hii inaweza kutokea kunako mkutano wa ccm? jamani polisi nyieee
Sio cheap politics, hao polisi hujawaona? kwanini wahojiwe kwenye uwanja wa mkutano wa chama kingine? hizo fujo kweli huzioni?hamna mtu alievamia apo ndo maana mwandishi amehoji wote waliokuepo apo: acheni cheap politics
Great thinker at his best 👍Wakuu,
1) What a match!, Mpaka sasa CCM inabebwa na watu wenye experience ambao kipindi kama hiki ndio unajua uwezo wao. Wao kelele nyingi ziko kwenye mipango (strategies) kuliko kelele na matamko ya majukwaani.
2) Tundu Lissu is impressive as usual lakini seems Chadema hawakumuandaa, experience yake ya uanaharakati ndio unaofanya aonekane active uwanjani lakini bado hajawa na madhara kihoja ingawa bado mapema. Mambo ya kusema atamshtaki JPM kwa rushwa ya kununua jogoo laki moja ni uanaharakati si level zake tena kama mgombea Urais.
3) John Pombe Magufuli yuko composed sababu ya records zake awamu hii ya kwanza. Lakini pia kwasasa nguvu kubwa ipo kwenye kupanga vyema mabeki Majimboni na Udiwani. Hapo ndio unapoona timu kubwa na yenye watu wazoefu inavyohandle mchezo. Ni kama wameamua kuacha wapinzani wacheze huku wao wakikamilisha ramani ya ushindi.
4) Kimbinu Chadema wanahitaji timu bora kumzunguka Lissu wakiwemo waandamizi wa serikali zilizopita akiwemo Nyalandu ili kumshape Lissu kama Mgombea Urais lakini pia mipango ya kusaidia kampeni Majimboni ambako hali si nzuri
5) Kimbinu CCM wana kazi kubwa ya kumaliza mchakato wa wagombea Ubunge na Udiwani bila mpasuko lakini maeneo mengi kimbinu wamejipanga kushinda.
6) John Pombe Magufuli takwimu zinambeba na wananchi wanajua matokeo yake wakimchagua tofauti na Lissu ambaye anapaswa kujikita kwenye hoja zenye matarajio ya wananchi hasa wanyonge walio wengi. Je ataweza kuaminisha wananchi ili wamchague?
7) Financially CCM wako stable kuhandle kampeni kuliko CHADEMA ambayo imepanga pia kusimamisha wagombea majimbo yote.
8) John Pombe Magufuli amefanikiwa kuhakikisha watendaji wake wote wanajua takwimu za mambo yaliyofanyika awamu hii hivyo itabidi kila hoja za Lissu zinazogusa takwimu ajipange otherwise akikosea atapingwa hata na Makatibu Tarafa. Hizo takwimu zimeimbwa muda mrefu na hata wananchi wengi wamezikariri.
9) Angalizo, Lissu usihangaike na wimbo wa katiba mpya hauna mashiko kwa wananchi wanyonge na hautampa kura. John Pombe Magufuli pia awekeze hoja kwenye mipango mipya hasa mapinduzi kwenye kilimo na uwekezaji.
10) Wapinzani bila kusimamisha mgombea mmoja huu utakuwa uchaguzi mgumu hadi majimboni kuliko wakati wowote.
Mizania pima mwenyewe, hayo ni maoni yangu binafsi [emoji41]
Asilimia 40 iliyobaki iko kwa nani? Nyie ndio mliokuwa mnapishana na mwalimu wa hesabu mlangoni. Yeye anaingia, wewe unatoka.Mpaka sasa lissu 50% magufuri 10%
Gajungi Umeona eehee huku ndio wanapodanganyanaKwan JF kuna % ngapi ya wapiga kura?
Tangu 2010, JF wamejaa CHADEMA, na ukisomacomment unaweza kufikiria CCM inakufa kesho.
Bahati mbaya huja-declare itikadi yako pamoja na jitihada zako za uandishi.Noted well mkuu
🤣🤣🤣🤣 Kumbe Mbowe hakubaliki kiasi hicho.kama hujawahi ona kampeni kiongozi anzomewa ndo mwaka huu sasa, sina uhakika kwa mikoa mingine ila wajiandae tu kuzomewa