Haya sio malezi kwa mtoto

Haya sio malezi kwa mtoto

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Hellow african

Wiki iliopita nilikuwa arusha uko nazulula nilipofikia kulikuwa na mtoto mdogo wa miaka minne mtoto anapenda simu hatari akaomba simu yangu nikamwambia no watot amchezei simu nenda kamwambie mama akupe chakula ule ulale kesho shule

Duh mama yake akaja mpe achezee ataanza kelele mimi
Nimechoka mbembeleza nikagoma kwani nishawai pasuliwa simu kioo na mtoto wa binamu yangu basi akaanza kujiliza nikanyanyuka nikamchapa uku namwambia unalilia simu yako? Akawa anazidisha kelele mama yake kaja

Ana nifokea et huyo mtoto kila mtu akimpiga atakuwaje? Sitaki mwanangu umpige jay njooo uchukuw simu uchezee game la mpira mtoto kanyamaza mtu mzimama mimi niakaona aibu sana kutokana na kauli ya mzazi

Usiku mtoto saa tano anazulula sebleni na kesho shulee nikamfukuza chumbani kwangu alikuja nikamuuliza mama yake mtoto analaalaga saa ngapi? Uyo hadi saa saba au saa nane au simu ikiisha chaji nikasema sitii neno

Acheni haya malezi ya kishamba
 
Kina junior wanalelewa kimaandazi Sana.

Huyo mtoto Kama wa kiume wakimwendekeza atakuja kuwa mpumbavu,wazazi leeni watoto kiafrika Kama tulivyolelewa sisi zamani,huu uzungu na kudekeza watoto ndiyo mnatuletea balaa la watoto kuwa mapapai huko mbele ya safari.
 
Sasa mkuu umeshindwa kutia neno huko ulikolala na kula ambako najua hao ni ndugu zako wa karibu unakuja huku JF kutuambia tuache malezi ya kishamba?

Kwanini umeogopa kuwapa somo?
 
Nimewahi kukutana na kitoto Cha aina hiyo. Vinazingua big time hivyo vitoto.

Haya mambo niliwah kuyaona kwa dada angu

mAma ake akifika tu kutoka job toto linapokea simu hyo saa mbili linaanza kucheza magame ya kitoto na yana masauti ya ajabu ajabu na simu iko full mwanga

Nikamwambia dada ukiwa unampa simu uwe unapunguza mwanga lakin asikii na akipunguza litoto linaongeza linajua kuongeza mwanga na sauti

Akimaliza kula usiku anachezea mpaka muda wa kwenda kulala mpaka saa 7 usiku unasikia simu inalia manyimbo ya ajabu ajabu kama chura,nilikuwa namhurumia sana msichana wa kazi kwa hayo makelele maana alikuwa analala na hilo litoto,kama halitaugua macho hapo baadae basi mungu atakuwa kalilinda
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
W

abishi sana
 
Ah
Nimewahi kukutana na kitoto Cha aina hiyo. Vinazingua big time hivyo vitoto.

ahahha pole mkuu
 
A
Kina junior wanalelewa kimaandazi Sana.

Huyo mtoto Kama wa kiume wakimwendekeza atakuja kuwa mpumbavu,wazazi leeni watoto kiafrika Kama tulivyolelewa sisi zamani,huu uzungu na kudekeza watoto ndiyo mnatuletea balaa la watoto kuwa mapapai huko mbele ya safari.
taku kulaa bila simu
 
Kwani mapapai wote ndo wamelelewa kupitia hayo malezi? Yaan wabongo khaaaah.

Mtu kuwa papai anaamua mwenyewe, malezi ni kiasi kidogo tyuuh.
 
Haya mambo niliwah kuyaona kwa dada angu

mAma ake akifika tu kutoka job toto linapokea simu hyo saa mbili linaanza kucheza magame ya kitoto na yana masauti ya ajabu ajabu na simu iko full mwanga

Nikamwambia dada ukiwa unampa simu uwe unapunguza mwanga lakin asikii na akipunguza litoto linaongeza linajua kuongeza mwanga na sauti

Akimaliza kula usiku anachezea mpaka muda wa kwenda kulala mpaka saa 7 usiku unasikia simu inalia manyimbo ya ajabu ajabu kama chura,nilikuwa namhurumia sana msichana wa kazi kwa hayo makelele maana alikuwa analala na hilo litoto,kama halitaugua macho hapo baadae basi mungu atakuwa kalilinda
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi baas, lol
 
Back
Top Bottom