Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Hellow african
Wiki iliopita nilikuwa arusha uko nazulula nilipofikia kulikuwa na mtoto mdogo wa miaka minne mtoto anapenda simu hatari akaomba simu yangu nikamwambia no watot amchezei simu nenda kamwambie mama akupe chakula ule ulale kesho shule
Duh mama yake akaja mpe achezee ataanza kelele mimi
Nimechoka mbembeleza nikagoma kwani nishawai pasuliwa simu kioo na mtoto wa binamu yangu basi akaanza kujiliza nikanyanyuka nikamchapa uku namwambia unalilia simu yako? Akawa anazidisha kelele mama yake kaja
Ana nifokea et huyo mtoto kila mtu akimpiga atakuwaje? Sitaki mwanangu umpige jay njooo uchukuw simu uchezee game la mpira mtoto kanyamaza mtu mzimama mimi niakaona aibu sana kutokana na kauli ya mzazi
Usiku mtoto saa tano anazulula sebleni na kesho shulee nikamfukuza chumbani kwangu alikuja nikamuuliza mama yake mtoto analaalaga saa ngapi? Uyo hadi saa saba au saa nane au simu ikiisha chaji nikasema sitii neno
Acheni haya malezi ya kishamba