GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hawa nao wanatuchanganya tu, maana nimewahi kuskia wanasema mwanamume akikaa zaidi ya siku tatu bila kufanya mapenzi mbegu zinaharibika so inakua ngumu kutia mimba."Kama unataka mtoto unaweza kukaa siku 14 wewe na mwenza wako bila kukutana na huwa unatakiwa kuanza kuhesabu siku ya kwanza ambayo mke wako ataanza mzunguko wake wa mwezi huku wewe Baba ukijitunza kwa siku zote hizo ili mbegu zako ziwe nyingi na zenye nguvu" Dkt. Nathanael Mtinangi, Daktari Bingwa wa masuala ya Uzazi na Magonjwa ya Kike.
Chanzo: cloudsfmtz
Yaani kabisa eti GENTAMYCINE nikae / nivumilie Siku 14 bila 'Kumbandua' Mtoto wa Kike? Labda niwe 'Nimerogwa' vilivyo.
Mpaka sasa umeshazaa Watoto wangapi kwa Kuitumia?Hii mbona siyo ngeni mkuu
Kinakuwasha nini labda nikiileta na kuikataa?Sasa umeleta habari, halafu unaikataa!
Kumekucha.....!!!!!!!Hawa nao wanatuchanganya tu, maana nimewahi kuskia wanasema mwanamume akikaa zaidi ya siku tatu bila kufanya mapenzi mbegu zinaharibika so inakua ngumu kutia mimba.
Niliwahi kwenda kufanya checkup ya mwili wangu na nikataka nijue uimara wa mbegu zangu pia, dokta akaniuliza kama nilishiriki tendo ndani ya siku tatu zilizopita, niliposema hapana akaniambia hata nikipima siwezi kupata majibu yaliyonyooka.Kumekucha.....!!!!!!!
Mkuu nimecheka hadi basi....!!!!Kama placenta imechakazwa na madawa yao pendwa hata kwa maombi hamna kitu πΉ
Huyo Dokta Mama wa Kihindi alikuwa akitaka Umbandue sema Wewe tu nawe hukutaka Kujiongeza ili Umbandue kisawasawa hadi apakumbuke Kwao Bombay na New Delhi.Niliwahi kwenda kufanya checkup ya mwili wangu na nikataka nijue uimara wa mbegu zangu pia, dokta akaniuliza kama nilishiriki tendo ndani ya siku tatu zilizopita, niliposema hapana akaniambia hata nikipima siwezi kupata majibu yaliyonyooka.
Nikapewa kale kachupa ili nirudi nikapige pige mzigo kwanza then ndio nizitoe zikapimwe kwa masharti ya kuziwahisha ndani ya masaa 24 tangu zilipowekwa ndani ya kichupa.
Doctor alikua ni mmama fulani wa kihindi.
Hamna, Mimi mtu mzima kwahiyo lugha za ishara huwa nazielewa sana tu... Hakuwa huko wala.Huyo Dokta Mama wa Kihindi alikuwa akitaka Umbandue sema Wewe tu nawe hukutaka Kujiongeza ili Umbandue kisawasawa hadi apakumbuke Kwao Bombay na New Delhi.
Sijawahi kuwa mgumba....Mpaka sasa umeshazaa Watoto wangapi kwa Kuitumia?
Nasikia kuwa Wanawake wa Kihindi wana Mbunye / K za Moto sana kwakuwa wanakula Pilipili tokea wakiwa Wadogo je, ni kweli?Hamna, Mimi mtu mzima kwahiyo lugha za ishara huwa nazielewa sana tu... Hakuwa huko wala.
Hapa itabidi tumuachie mzabzab aje aseme kama ni kweli au uongoπππππNasikia kuwa Wanawake wa Kihindi wana Mbunye / K za Moto sana kwakuwa wanakula Pilipili tokea wakiwa Wadogo je, ni kweli?