Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

Haya wale Wazee wa Ramani njia gani ni rahisi ukiwa Kampala Uganda na unataka kwenda Mara Tanzania kati ya kupitia Kenya Migori na Mutukula Kagera?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?

Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
 
Sababu ya kifo ni nini mkuu ?ajari au
Sijui kwanini Wanajeshi wa Uganda (hasa wa Vyeo vya Juu) wanapenda sana Kuuana kwa njia za Ajali. Na kuna baadhi yao nimezungumza nao wanasema kuwa Mafia wengi wa Uganda (hasa walioko katika Jeshi lao) wamejifunza hii Mbinu ya Kutegeana Ajali kutoka Tanzania. Niliamini kwakuwa nina Demu Mmoja yuko 'System' aliwahi kuniambia kuwa hata huko wanakonda Kusomea Ujasusi pia kuna Somo Maalum la Kusababisha Ajali na kwamba kuna Ajali nyingi tu (za Watu fulani fulani) huko Tanzania zilisababisha 'Kimafia' zaidi.
 
Dah!sasa anapata faida gani akosema yupo Uganda?

Afu amesomea unandishi wa habari au
Faida ninayoipata ni ya Kusomwa Kutwa na Mpumbavu Mmoja kama Wewe, Masikini na Mshamba unayedhani Unaniweza.
 
Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?

Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
Maisha mtihani ulienda na ndege Kampala unarudi na badi uliondoka kitajiri na ndege unarudi kimaskini ukiwa hoi na basi unatafuta la bei nafuu
 
Back
Top Bottom