GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe acha uongo kampala unayozungumzia hapo kawe ukwamani?!🤣Na je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?
Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?
Kwan hayupo Uganda huyu mkuu,Wewe acha uongo kampala unayozungumzia hapo kawe ukwamani?!🤣
Njoo Bombo hapa tuhudhurie Maandalizi ya Misiba Miwili ya Majenerali iliyotokea Juzi Masaka Road kabla ya Maziko Jumatano.Njoo Nambole leo tucheki Game ya SC Vila.
Aliko Basha wako Tukuka.Wewe acha uongo kampala unayozungumzia hapo kawe ukwamani?!🤣
Dada yako anajua nilipo.Kwan hayupo Uganda huyu mkuu,
Sababu ya kifo ni nini mkuu ?ajari auNjoo Bombo hapa tuhudhurie Maandalizi ya Misiba Miwili ya Majenerali iliyotokea Juzi Masaka Road kabla ya Maziko Jumatano.
Asante sana Mkuu. Nasikia hii Njia siyo Ndefu kama ile ya kupitia kwa Watani zangu Wahaya ya Mutukula. Je, ni kweli?Kampala - Jinja - Kisumu - Migori
Uganda ipi? Mnanyweshwa chai dailyKwan hayupo Uganda huyu mkuu,
Dah!sasa anapata faida gani akosema yupo Uganda?Uganda ipi? Mnanyweshwa chai daily
Sijui kwanini Wanajeshi wa Uganda (hasa wa Vyeo vya Juu) wanapenda sana Kuuana kwa njia za Ajali. Na kuna baadhi yao nimezungumza nao wanasema kuwa Mafia wengi wa Uganda (hasa walioko katika Jeshi lao) wamejifunza hii Mbinu ya Kutegeana Ajali kutoka Tanzania. Niliamini kwakuwa nina Demu Mmoja yuko 'System' aliwahi kuniambia kuwa hata huko wanakonda Kusomea Ujasusi pia kuna Somo Maalum la Kusababisha Ajali na kwamba kuna Ajali nyingi tu (za Watu fulani fulani) huko Tanzania zilisababisha 'Kimafia' zaidi.Sababu ya kifo ni nini mkuu ?ajari au
Kama Wewe unavyowekwa Daily hadi Mlango wako wa Kusi huo.Uganda ipi? Mnanyweshwa chai daily
Dah Ana matusi huyu mtoto,Sasa hivi atahamia kwa wazazi wangu.Dada yako anajua nilipo.
Faida ninayoipata ni ya Kusomwa Kutwa na Mpumbavu Mmoja kama Wewe, Masikini na Mshamba unayedhani Unaniweza.Dah!sasa anapata faida gani akosema yupo Uganda?
Afu amesomea unandishi wa habari au
We sikuwezi kaka.Wewe ni tajiri mkubwa na Upo ugandaFaida ninayoipata ni ya Kusomwa Kutwa na Mpumbavu Mmoja kama Wewe, Masikini na Mshamba unayedhani Unaniweza.
Hii ni nyepesi sana tena ukifika Kisumu panda zile matatuu nauli chee tu mpaka Migori. Ukifika border upande wa Tz usafiri full time.Asante sana Mkuu. Nasikia hii Njia siyo Ndefu kama ile ya kupitia kwa Watani zangu Wahaya ya Mutukula. Je, ni kweli?
Maisha mtihani ulienda na ndege Kampala unarudi na badi uliondoka kitajiri na ndege unarudi kimaskini ukiwa hoi na basi unatafuta la bei nafuuNa je, ni ipi ambayo nitatumia muda mfupi na ipi ambayo nitatumia muda mrefu? Na ipi ina Mabasi yaliyo Luxury tu?
Sitani Mtani wangu Arovera uchangie huu Uzi wangu kwani kwa Ushamba wako wala hujawahi Kusafiri popote sawa?