Haya ya Jamaa kumpiga mke wake risasi omba Mungu yasikukute

Ni upumbavu tu

Mwanaume, kwanini umuuwe mkeo, si umrudishe kwa wazazi wake/ulipo mtoa.

Mwanamke, kwanini hutii anachokuambia mumewe! Isitoshe unaenda kwenye upumbavu zaidi/show ya diamond na kumwacha Mumewe nyumbani, kanakwamba mume amegeuzwa mke na mke amegeuka mume.

Wanawake msipobadilika mtakufa sana. Ona yaliyomkuta huyo mwanamke mwenzenu.
 
Ni upimbi uliotukuka kumganda mwanamke asiekutaka tena nikisikia mtu anafanyiwa visa vyote na hela anayo na Bdo anamganda dem ntamweka viboko vingi sana
Wamesema omba yasikukute, ila unachopaswa kujua ni kwamba unaweza kuua hata kwa kumpiga kibao mwenzako siyo lazima kwa risasi. Na bado utalaumiwa kwa kuua kisa mapenzi na utaambiwa ulikuwa unamganda
 
Mnacho shidwa kuelewa ni kuwa kuna kupenda na kuna kupenda kwa dhati tena ki hisia sana. Upendo wa dhati sio rahisi kumsahau mwenzako kama mnavyo andika, ni kama kilimo cha matikiti kwenye karatasi.

Eeeeh bhana kuna watu wanapenda we acha, yaani unakuwa umetekwa kila kitu. Sasa mtu wa namna hii ikitokea mambo kama hayo sio rahisi kumtoa huyo mwenzake kwenye akili yake. Huwa mna andika tu huenda bado haijawatokea.

Mapenzi ya nguvu sana, msichukulie poa.
 
Ninakumbuka ujanani nilikutana na kijana kutoka Ivory Coast, alinipenda yule kaka, he was ready to do anything for me. I took him for granted and my hear was somewhere where I was never appreciated.

Looking back only if I married the guy I could have been his Queen.
 
Umeongea vizuri.Iko hivi wanaume wengi hasa wenye pesa wana tabia ya kulazimisha mapenzi kwa kutumia pesa zao,unakuta kampenda mwanamke,yule mwanamke hamtaki,anachofanya ni kutumia pesa yake kumrubuni yule mwanamke mpaka anaingia line,sasa unakuta mwanamke anakubali lakini moyo hauko radhi,na kadri siku zinavyoenda anajikuta anapambana na asichokijua,lakini ukweli ni kuwa kalazimisha mapenzi kwa tamaa ya pesa,mwisho wa siku mnaishia kwenye kudharauliana na magomvi yasiyoisha...
 
Ulidhani wa kijijini ndio kinga?

Afu ukute uliacha mwanamke flani anaekupenda

Nashauri oa mwanamke anayekupenda
Mtu akikupenda unajua tu
 
Missed calls mwisho 3 tu siku hizi. Dadadeq
 
Ninachojua sasa hivi Marehemu wengi ndio wachokozi na ndio wasababishi wa vifo vyao.
 
Wanaume sisi wengi ni Wanafiki sana sana na huwa tunatetea ujinga Ili tuonekane gentlemen mbele ya wanawake. Pole sana aiseeeee, naelewa hio situation Yako. Asubuhi ilinlbidi nianzishe Uzi hebu utafute
 
Kabisa
 
Ni upimbi uliotukuka kumganda mwanamke asiekutaka tena nikisikia mtu anafanyiwa visa vyote na hela anayo na Bdo anamganda dem ntamweka viboko vingi sana
Mkuu nyumba 3 na gari 2 ziende bure mwanaume mwingine akakojoe kwenye nyumba uliyojenga na kutoa kipepsi kwenye gari lako kweli mkuu think twice.
 
Hii shida inawatokea wanaume washamba washamba wanaohonga sana. Wakija kugeukwa ndio huwa kama mashetani wanawalarua mapanga wapenzi au wake zao.

Mwanaume ukishakuwa penda penda lazima itakukosti maishani. Hata kama sio kuua lazima mwanamke akuendeshe maana anakuona wewe ni dhaifu mbele yake. Na kwa kuwa hauko tayari kumpoteza unajikuta unafata masharti anayokupa. Huku ukijionesha kwa watu kuwa ni mapenzi
 
Ni upimbi uliotukuka kumganda mwanamke asiekutaka tena nikisikia mtu anafanyiwa visa vyote na hela anayo na Bdo anamganda dem ntamweka viboko vingi sana
Kuna wanaume wanaudhaifu sana. Ukiwakuta sasa wanajidai kwamba wao wanajali na kupenda. Utakuta mwanaume kakondaaa. Cheki kama huyu inafika mahali anakopa madeni ili kumridhisha mke wake. Huyo demu umemlazimisha au ulibambikiwa?
 
Nawasikitikia jamaa zangu wa kanda ya ziwa hasa wasukuma walio wengi wana mshamba wa wanawake!!
Hasa akiwa mweupe. Yaani ndio hapo wanakuja kuua. Maana wanahonga sana. Kiasi kwamba demu akija kumgeuka hasira za mali na pesa zake hazina mfano.
 
Haiwezekani mme kasafiri, anapiga simu mke aende nyumbani apike mme ana njaa afu mke ndo kwanza hajali.
Wanawake wa hivi sijui hata wanawaokotaga wapi. Eeh Mungu nashukuru kwa mke wangu Grace.

Yaani natoka safari hadi nimpigie simu arudi nyumbani? Kwamba hajanimisi? Saa nyingine unetoma safari na michongo haijafanikiwa umechoma nauli bure unarudi na stress kama zote. Then Mwanamke anakufanya hivyo. Siwezi kuua lakini inanichukiza sana.
 
Post yako imetulia japo umetuchamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…