Haya ya Jamaa kumpiga mke wake risasi omba Mungu yasikukute

Haya ya Jamaa kumpiga mke wake risasi omba Mungu yasikukute

Kuna kitu nataka kuongeya kuhusiana Na tukio hili ambalo lilitokea siku hizi la Jamaa fulani kumpiga mke wake risasi

Nimesoma comment nyingi watu wengi wanamlaumu mwanaume kuwa amefanya vibaya saana kumpiga mke wake risasi. Kwangu Mimi nasema Sawa amefanya vibaya ila omba Mungu yasikukute. Sisi ambao yamesha tukuta tunajua kwanini Jamaa amefanya Ivo.

Ushuuda wangu

Mimi Kuna mwanamke ambaye nilimuoa nikamuwekea Mali Na kumtowa vijijini kumleta mjini mwanamke nilimuudumia kila kitu mpaka nilifikia hatua ya kuanza kukopa pesa kwa watu ili mke wangu apendeze tu ila mwisho kabisa pamoja Na hayo mwanamke Alianza kunidharau Na kuniona Mimi si kitu kwake

Alikuwa ana nitukana , kunilinganisha Na wanaume wengine. Kuniambia Mimi sio mwanaume yaani kwake eti ni vigumu saana yeye kunitambulisha kwa watu eti Mimi ndo mume wake nilivumilia mengi saana.

Nikaona labda ndo changamoto za ndoa hizi Na nilijaribu kuomba msaada wa wazazi marafiki mwanamke aliniacha Na kuolewa Na mwanaume mwengine kitu ambacho kilinipa ugonjwa wa panic attack.

Niseme inauma saana

Vipi apo karibu Na nyumbani kwenu Kuna duka la rasisi apo?

Kuna mnyama fulani nataka mfyatuwe siku hizi
Ni kweli ndoa zina changamoto nyingi na zina utaratibu wake wa utatuzi sio kuuana au kupigana,tujitahidi kuishinda hasira
 
Bwana wee , nilijuaga mimi ndio master wa ndoa, weeeeeeeee!!!! Chaliiiiiii.
Ndoa ni taka taka nimekubali 🤣🤣
 
Back
Top Bottom