Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ukiona hivyo ujue mtu hajawekeza pesa tu kwa huyo mwanamke,bali amewekeza pesa na moyo,ndio maana anafikia hatua ya kumuua huyo ampendae na kujia yeye pia.Ni upimbi uliotukuka kumganda mwanamke asiekutaka tena nikisikia mtu anafanyiwa visa vyote na hela anayo na Bdo anamganda dem ntamweka viboko vingi sana