Haya ya Jamaa kumpiga mke wake risasi omba Mungu yasikukute

Ni upimbi uliotukuka kumganda mwanamke asiekutaka tena nikisikia mtu anafanyiwa visa vyote na hela anayo na Bdo anamganda dem ntamweka viboko vingi sana
Ukiona hivyo ujue mtu hajawekeza pesa tu kwa huyo mwanamke,bali amewekeza pesa na moyo,ndio maana anafikia hatua ya kumuua huyo ampendae na kujia yeye pia.
 
😅😅😅linapokuja swala la kuoa na majaribio.
 
Si mnasemaga hapendwi mtu bali ni pochi tu ndio inapendwa?
 
Ukiona hivyo ujue mtu hajawekeza pesa tu kwa huyo mwanamke,bali amewekeza pesa na moyo,ndio maana anafikia hatua ya kumuua huyo ampendae na kujia yeye pia.
I am telling you aliyewekeza moyo huwa anabaki na maumivu tu. He or she will never attempt murder.

Yaani ukiweka moyo demu anakuendesha hadi anakuacha na bado una baki namaumivu kwa miaka mingi na unaendelea kumpenda hivyo hivyo.

Hongo na mali ndivyo huamsha hasira za mkizi
 
Wazee walitumia akili ila vijana mnapenda sifa za vijiweni. Uonekane unamiliki pisi kali wakati unajua kabisa bila hela hamsogei kokote pale.
 
Hili ndio tatizo kubwa, mwanamke mwambie ukweli wa tu kuwa unamuhitaji ukiona haeleweki achana nae tafta mwengine ila kamwe usitumie hela kufosi mazingira ya mahusiano.

Wanawake wengi kwa tamaa zao za hela na vitu wanajikutaga wamenasa mtegoni ila baada ya kupewa wanavyovitaka ndio akili hurejea kuwa hawapo mahali sahihi sababu hawana hisia za mapenzi na hao watu. Mbaya zaidi wengi hujikuta washaolewa kabisa.
 
Daah!, umeongea kwa uchungu sana.
 
Ahahaha..siwez kuingia mikopo mimi kisa mke wangu apendeze.that will never happen.
 
Principle ni moja
Invest on what you can afford to loose , ukijiona unapata stress kwa kupoteza kitu , clearly ujue ulikuwa unacheza kamari iliyo juu ya uwezo wako.
Ati unakopa ili mkeo apemdeze!! That alone to me ,was already a red flag.
 
Madhara ya kuacha kutumia akili ukiwa na mwanamke.

Ukijiingiza kwenye mahusiano au ndoa, usiache ubongo wako pembeni, walk with your brains, tumia akili, usiendeshwe na hisia.
 
Naunga mkono hoja,mi pia niliwahi kutaka kuua siku za nyuma
 
akianza dharau unamuacha immediately ,yaani usilee maradhi
 
huwa kuna muda ile kauli ya mwanamke hapigwi naiona invalid
 
Yaani huyu dada marafiki zake mmojawapo kaniambia alikitafuta kifo mwenyewe yaani hakuwa kama mke wa mtu kila bar/ hotel hapa mjini yake.
Yaani anatoka bila kumuaga hata mme wake, mme ndo anaangaika kutafuta club zote.
Hata huyo mme tumuonee huruma alipitia magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…