Haya ya Jamaa kumpiga mke wake risasi omba Mungu yasikukute

Kuna kitu nataka kuongeya kuhusiana Na tukio hili ambalo lilitokea siku hizi la Jamaa fulani kumpiga mke wake risasi

Nimesoma comment nyingi watu wengi wanamlaumu mwanaume kuwa amefanya vibaya saana kumpiga mke wake ri
 
Kwa kua nae alipenda pesa,acha akomeshwe, tamaa mbele mauti nyuma.
Si angeolewa na mwanaume wa kawaida tu maisha yasonge?

mnapenda pesa sana,maisha mazuri, starehe ndio malipo yake hayo

Mtalimia meno!...
 

Sababu za mauaji zipo Mkuu, usiongee mambo kirahisi kisa sheria za nchi zinakataza kuua ukafikiri hakuna sababu za watu kuua.

Kuchukua mke WA Mtu ni sababu tosha ya mtu kuuawa, hiyo IPO hivyo
 
Sababu za mauaji zipo Mkuu, usiongee mambo kirahisi kisa sheria za nchi zinakataza kuua ukafikiri hakuna sababu za watu kuua.

Kuchukua mke WA Mtu ni sababu tosha ya mtu kuuawa, hiyo IPO hivyo

I disagree.
 
I disagree.

SAWA.
Ila elewa watu wapo tofauti.

Usidhani Kwa vile wewe huwezi kuua ukadhani watu wote wapo Kama wewe.

Ukiwa wewe huoni sababu za kuua basi jua wapo wanaoona sababu Za kuua.
Wapo wanaoua Kwa sababu zifuatazo;
1. Madaraka
2. Mapenzi
3. Utajiri au pesa na mali
4. Familia.
5. Cheo

Usije ukagusa mambo hayo Kwa watu ukadhani hawatakuua kisa wewe mtazamo wako hakuna sababu inayomfanya mtu Kuua.

Sababu zipo, nami nazijua na Baadhi ya sababu zina Logic Kwa watu Kama Sisi.

Mimi mtu akiuawa kisa kaiba mke WA Mtu sioni tatizo, tena nampongeza muuaji. Hilo sio kosa

Mtu akikuua Kwa sababu ya Kucheza na familia yake labda Kucheza na watoto wake sio kosa,
Usije jidanganya na hizi sheria, hizi zipo Kupunguza mambo hayo na sio kuondoa.
 

Huyu kamuua aliyekuwa mke wake what is the justification?

Mtu asipopokea simu au kuchelewa kurudi adhabu yake ni kifo?

Unaua na wewe unajiua au unapigwa life sentence ndani unapata faida gani? Huoni hapo muuaji anakua boya zaidi?
 
Huyu kamuua aliyekuwa mke wake what is the justification?

Mtu asipopokea simu au kuchelewa kurudi adhabu yake ni kifo?

Unaua na wewe unajiua au unapigwa life sentence ndani unapata faida gani? Huoni hapo muuaji anakua boya zaidi?

Mtu mpaka anaua ujue kuna sababu kubwa zaidi hasa kwenye ishu za Mapenzi.
Missed Calls hizo hazimfanyi mtu auwe Ila tabia ya awali ya mpigiwa simu lazima iwe chanzo cha hayo.

Ikiwa alichofanya kimempa Amani na furaha kwake ni faida,

Alafu usidhani kila anayeenda jela anapachukia huko, wengine wanaona ni Bora Jela kuliko kuishi maisha huku moyo hauna Amani na furaha.

Kujiua ni makosa na kuua ni makosa.
Ila Kwa wengine ni sehemu ya kuiridhisha Nafsi na kulipiza KISASI.

Kwa mtazamo wangu na wako tutaona ni maboya lakini vipi Kwa aliyefanya?
 

Let's agree to disagree.
 
Kings, Stay Taliban

Thank me Later.
 
Wewe mwanamme mzima unapata panick attack kwa mwanamke kukuacha na kuolewa na mwanamme mwingine?

Tena mwanamke mwenyewe mtata amekuletea matatizo kibao?

Unajielewa unataka nini?
 
Duuh
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…