Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Nyie mafala mkimtaja magufuli ndio mnazidi kujichochea kutokukubalika na wananchi pambaneni na Hali zenu
Nimekuwa nikisema hapa muda mrefu laana aliyoicha magufuli nchi ya kuharibi demokrasia italitafuna sana taifa hili, hasa ikizingatiwa chama chake kilishapoteza mvuto kww umma. Reset inatakiwa kufanywa kwenye nchi hii ili tuanze fresh. Na njia ninazoona zinaweza kifanikisha hilo ni 2 tu. 1. Ni machafuko 2. Mapinduzi ya kijeshi. Nyingine zinawezekana, lakini hizi 2 ndio zenye uwezekano mkubwa wa kurejesha mifumo katika uhalisia wake.Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.
Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.
Kesi za jinai kwa wapinzania hasa kesi ya Uhaini aliyopewa Tundu Lissu ni matokeo ya mifumo ya uonevu aliyoianzisha John Pombe na Samia ameamua kuiendeleza, maana yake legacy inaishi. Wote mnakumbuka jinsi akina Kabendera, Rugemalira na wengineo waalivyopewa kesi za uhujumu uchumi.
Akina Soka na wenzake kupotea, kuuwawa kwa Mzee Ali Kibao
Hali inayoendelea nchini ni muendelezo wa legacy ya John Pombe, yaani tupo kwenye Umagufuli bila Magufuli mwenyewe.
Itachukua miaka mingi sana kurudi tulipokuwepo wakati wa awamu ya nne na kurudi nyuma.
Tafuta kazi ya kufanya magufuli yupo chini ya ardhi miaka 4 sasaNimekuwa nikisema hapa muda mrefu laana aliyoicha magufuli nchi ya kuharibi demokrasia italitafuna sana taifa hili, hasa ikizingatiwa chama chake kilishapoteza mvuto kww umma. Reset inatakiwa kufanywa kwenye nchi hii ili tuanze fresh. Na njia ninazoona zinaweza kifanikisha hilo ni 2 tu. 1. Ni machafuko 2. Mapinduzi ya kijeshi. Nyingine zinawezekana, lakini hizi 2 ndio zenye uwezekano mkubwa wa kurejesha mifumo katika uhalisia wake.
Magu hakuwahi kummbambika mpinzani ugaidi wala
Ukweli huwa hauna muda. Nenda shule ukaone zinafundishwa historia za madictator kama kina Mussolini, Hitler nk, na hao walikufa zamani kuliko dhalimu magu.Tafuta kazi ya kufanya magufuli yupo chini ya ardhi miaka 4 sasa
Jamaa anajaribu kujieleza, kwamba haya yanayoendelea ni ya Magu!, Mama hahusiki, tuendelee kupambana na Magu 🙁 !upotoshaji usio na athari zozote kisiasa, kijamii na kiuchumi kama huu, ni vizuri ukapuuzwa tu,
kwasababu ni useless na completely nonsense gentleman 🐒
We unaenda shule yeyote ni cheti feki ndio maana unachuki na magufuliUkweli huwa hauna muda. Nenda shule ukaone zinafundishwa historia za madictator kama kina Mussolini, Hitler nk, na hao walikufa zamani kuliko dhalimu magu.
Sawa na hii ya Lissu nayoendelea iliasisiwa na Magufuli, tumekuelewa mkuu.Hakuwahi maana alitumia njia ya kuwateka kwa kupitia kundi lake la watu wasiojulikana, kuwapiga risasi na njia nyigine chafu kama hizo. Hata kesi ya Ugaidi wa Mbowe yeye ndio aliiasisi, bahati nzuri Mungu akamuondoa duniani. Fuatillia vizuri ushahidi wa ile kesi ya kutunga ulikuwa ni wakati wa Magufuli. Mama Samia aliambiwa tu kuna kesi ilishapangwa, akaidhinisha ianze. Lakini ilikuwa ni uhalifu wa Magufuli. Usilete habari za mahaba niue kwenye ukweli.
Kama Taifa ni vizuri kusonga mbele,Jamaa anajaribu kujieleza, kwamba haya yanayoendelea ni ya Magu!, Mama hahusiki, tuendelee kupambana na Magu 🙁 !
Unaweza ukaweka uhalali wa PhD ya Magufuli hapa? Ama unadhani ukweli huwa unazuilika kwa utetezi wa bendera fuata upepo?We unaenda shule yeyote ni cheti feki ndio maana unachuki na magufuli
Kwa sasa ni muendelezo wa legacy aliyoacha. Ama hujaelewa mada inazungumzia nini?Sawa na hii ya Lissu nayoendelea iliasisiwa na Magufuli, tumekuelewa mkuu.
Sio chuki za kike tu, ni chuki za kiboya!Chuki za kike makufuli ndie Rais bora kuliko hata nyerere mimi nimeona utawala wa nyerere na utawala wa makufuli makufuli ni best
Wananchi wenyewe ni akina mama na sisi baba lishe hatuna mda kupiga kuraTatizo wananchi kwanini hawataki kuipumzisha ccm.Miaka 60.
Hakuwa peke yake ni mfumo wa CCMHaya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.
Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.
Kesi za jinai kwa wapinzania hasa kesi ya Uhaini aliyopewa Tundu Lissu ni matokeo ya mifumo ya uonevu aliyoianzisha John Pombe na Samia ameamua kuiendeleza, maana yake legacy inaishi. Wote mnakumbuka jinsi akina Kabendera, Rugemalira na wengineo waalivyopewa kesi za uhujumu uchumi.
Akina Soka na wenzake kupotea, kuuwawa kwa Mzee Ali Kibao
Hali inayoendelea nchini ni muendelezo wa legacy ya John Pombe, yaani tupo kwenye Umagufuli bila Magufuli mwenyewe.
Itachukua miaka mingi sana kurudi tulipokuwepo wakati wa awamu ya nne na kurudi nyuma.
Taifa laangamia kwa watu wake kuwa waongo waongo tujifunze kuwa wakweli kuliko kupakana mafuta kwa mgongo wa chupaHaya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.
Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.
Kesi za jinai kwa wapinzania hasa kesi ya Uhaini aliyopewa Tundu Lissu ni matokeo ya mifumo ya uonevu aliyoianzisha John Pombe na Samia ameamua kuiendeleza, maana yake legacy inaishi. Wote mnakumbuka jinsi akina Kabendera, Rugemalira na wengineo waalivyopewa kesi za uhujumu uchumi.
Akina Soka na wenzake kupotea, kuuwawa kwa Mzee Ali Kibao
Hali inayoendelea nchini ni muendelezo wa legacy ya John Pombe, yaani tupo kwenye Umagufuli bila Magufuli mwenyewe.
Itachukua miaka mingi sana kurudi tulipokuwepo wakati wa awamu ya nne na kurudi nyuma.
QmmkoGentleman,
miongoni mwetu akiaga dunia kwa namna yoyote ile, maisha ya wengine ni lazima yaendelee, hakuna kustack wala kusimama baada ya mazishi,
maombolezo huisha,
upotoshaji na kujaribu kung'ang'ana na kuchochea chuki na migawanyiko kwa mambo yaliyopita ni kusumbua wengine wanaosonga mbele gentleman 🐒
Kwamba alichoandika mtoa mada ni uongo?Taifa laangamia kwa watu wake kuwa waongo waongo tujifunze kuwa wakweli kuliko kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa
Huwa mnajibu vitu kiulahilahisi tu,kama mnavyotegemeaga kushinda uchaguzi kwa kuiba kuraMagu hakuwahi kummbambika mpinzani ugaidi wala uhaini!