Nakubaliana na wewe kiongozi. Usinikumbushe magufuli alipokuwa anaongea na wasimamizi wake wa uchaguzi. Nanukuu, Mimi nimekuteua mwenyewe, nakulipa mshahara nakupa gari halafu uje uniambie mpinzani ameshinda.Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.
Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.
Kesi za jinai kwa wapinzania hasa kesi ya Uhaini aliyopewa Tundu Lissu ni matokeo ya mifumo ya uonevu aliyoianzisha John Pombe na Samia ameamua kuiendeleza, maana yake legacy inaishi. Wote mnakumbuka jinsi akina Kabendera, Rugemalira na wengineo waalivyopewa kesi za uhujumu uchumi.
Akina Soka na wenzake kupotea, kuuwawa kwa Mzee Ali Kibao
Hali inayoendelea nchini ni muendelezo wa legacy ya John Pombe, yaani tupo kwenye Umagufuli bila Magufuli mwenyewe.
Itachukua miaka mingi sana kurudi tulipokuwepo wakati wa awamu ya nne na kurudi nyuma.
Muulize Freeman MboweMagu hakuwahi kummbambika mpinzani ugaidi wala uhaini!
Usipaniki hoja hujibiwa kwa hoja. Jaribu kuthibitisha kwa hoja kwamba yanaendelea sasa muasisi wake sio Magufuli. Ubaya wafuasi wa dikteta Magufuli mnapenda kuambiwa na kufurahia kwamba Mambo mazuri yote yanayoendelea ni yake Ila mabaya hamyataki. Friendly speaking he was the worst president ever.Chuki za kike makufuli ndie Rais bora kuliko hata nyerere mimi nimeona utawala wa nyerere na utawala wa makufuli makufuli ni b
Yuko Sahihi 100%. Ukweli lazima usemwe. Na hii ni baada ya uchaguzi wa 2015,ambao uliweka historia kwa kura chache walizopata awamu ya tano tangu tuanze mfumo wa vyama vingi.upotoshaji usio na athari zozote kisiasa, kijamii na kiuchumi kama huu, ni vizuri ukapuuzwa tu,
kwasababu ni useless na completely nonsense gentleman 🐒
Gentleman,Yuko Sahihi 100%. Ukweli lazima usemwe. Na hii ni baada ya uchaguzi wa 2015,ambao uliweka historia kwa kura chache walizopata awamu ya tano tangu tuanze mfumo wa vyama vingi.
Magufuli aliamini angeshinda kwa kishindo kuliko watangulizi wake,na matokeo yakaja tofauti.
Yeye ndiye kiongozi wa kwanza kuwatisha watumishi wa serikali hadharani, haswa wanaosimamia uchaguzi kwa kuwaambia, nikulipe mshahara,nikupe gari halafu umtangaze mpinzani,sitakuelewa.
Kuharibu chaguzi za 2019 Na 2020 ilitokana ilikuwa ni makusudi matupu na hiyo ni hofu ya 2015.
Huyu mama alivyoingia alikuja na slogan ya 4R, halafu unamsikia Rais anatamba ooh wengine walikimbia nchi tumewaonea huruma tumewarudisha, jambo la aibu ambalo liliwahi kutokea 2001 Zanzibar wakati Hayati Mkapa akiwa Rais, na kwenye kitabu analitaja kama jambo la aibu lililomnyima usingizi kwa watu wake kuikimbia nchi yao kisa uchaguzi, leo wao wanajisifu kwa kuiheshimu Katiba kitu ambacho ni mandatory!! Na ndio unaona hata hizo 4R zake pengine hayakuwa mawazo yake ndio sababu kashindwa kuzimamia.
Ukweli Ccm haina uwezo wa kushinda uchaguzi kabisa ikitokea tukawa na Tume huru ya Uchaguzi ya kweli,ccm wanajua matokeo yake na ndio hofu yao tangu 2015.
Hata Mh.Samia analijua hilo sana tu. Kina Mchengerwa wanajua wazi na bila hofu ya Mungu,wanajichukua selfie wako Maka kwenye ibada huku kasimamia dhuluma 2024 kweli Mungu atuhurumie atuepushe na laana ya dhuluma.a
Asante kwa kuwa muungwana,kwa kuona chaguzi zilizopita hazikuwa huru na haki, halafu na haohao walioharibu na kuruhusu dhuluma sasa watatenda haki 2025.Gentleman,
pomoja na yote uliyoyaeleza, kama Taifa Lazima tuenzi umoja, amani na utulivu wa nchi yetu.
Na kwa Neema na Baraka za Mungu,
tutafanya uchaguzi mkuu wa haki, huru na wa wazi, pengine kuliko hata chaguzi zote zilizowahi kufanyika Tanzania tangu tupate uhuru.
Tujitokeze kwa wingi kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa awamu ya mwisho, na tushiriki kupiga kura kwa amani na,
Mungu atubariki sote 🐒
Sure mkuuHaya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.
Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.
Kesi za jinai kwa wapinzania hasa kesi ya Uhaini aliyopewa Tundu Lissu ni matokeo ya mifumo ya uonevu aliyoianzisha John Pombe na Samia ameamua kuiendeleza, maana yake legacy inaishi. Wote mnakumbuka jinsi akina Kabendera, Rugemalira na wengineo waalivyopewa kesi za uhujumu uchumi.
Akina Soka na wenzake kupotea, kuuwawa kwa Mzee Ali Kibao
Hali inayoendelea nchini ni muendelezo wa legacy ya John Pombe, yaani tupo kwenye Umagufuli bila Magufuli mwenyewe.
Itachukua miaka mingi sana kurudi tulipokuwepo wakati wa awamu ya nne na kurudi nyuma.
Nchi ngumu sana hii.Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.
Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.
Kesi za jinai kwa wapinzania hasa kesi ya Uhaini aliyopewa Tundu Lissu ni matokeo ya mifumo ya uonevu aliyoianzisha John Pombe na Samia ameamua kuiendeleza, maana yake legacy inaishi. Wote mnakumbuka jinsi akina Kabendera, Rugemalira na wengineo waalivyopewa kesi za uhujumu uchumi.
Akina Soka na wenzake kupotea, kuuwawa kwa Mzee Ali Kibao
Hali inayoendelea nchini ni muendelezo wa legacy ya John Pombe, yaani tupo kwenye Umagufuli bila Magufuli mwenyewe.
Itachukua miaka mingi sana kurudi tulipokuwepo wakati wa awamu ya nne na kurudi nyuma.
Aliobambikiwa uhaini sasa alipigiwa risasi 30 kuleMagu hakuwahi kummbambika mpinzani ugaidi wala uhaini!
Kichwamaji wewe, ni point tupu. Legacy ya kikwete uliyaona haya?upotoshaji usio na athari zozote kisiasa, kijamii na kiuchumi kama huu, ni vizuri ukapuuzwa tu,
kwasababu ni useless na completely nonsense gentleman 🐒