maramojatu
JF-Expert Member
- Mar 16, 2012
- 2,372
- 3,108
Ukweli mtupu
Ni mtu mjinga tu anayeweza kufikiri hivyo upinzani hawana watu wa kuwasababisha kushinda CCM.kwa hiyo mabadiliko ya kweli inabidi yatokee CCM.Magu hakushimda uchaguzi - utawala wake ulikataliwa na ndiyo maana kaondoka kama utani vile.
Kaasisi utekaji na mauaji - huyo jamaa aisee!!