PreGE2025 Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu ni legacy ya hayati Magufuli, itoshe kusema ameharibu mifumo ya utawala bora

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mleta hii post ni mpumbavu haijawahi tokea tuna Magufuli tena nchi hii? Magufuli alishakufa na sasa tuna Samia na mipango yake 4R huzioni? Mambo si yanakwenda vizuri tu
 
Magufuli kaharibu Sana hii nchi
mkuu samahani kama nitakukwaza..kwani huyu Magufuli aliachia watu ubongo wake? inafatwa mifumo mibovu tu ya huyo magufuli? uraisi ni taasisi .kama ubaya hapo ni kijani yote na sio mtu mmoja...,!
 
Kwa sasa tunajadili kukamatwa kwa Lissu ww unakuja na Chuki dhidi ya Magufuli,He had gone four years ago,Why you need to implement a kind of stupidity hatred over him,
Mnalia Lia Nini nyie ?, Alikua mtu mbaya ndio, na matendo yake aliyafanya hadharani Kila mmoja mwenye utimamu aliona!😡🤔eti stupidity hatre,🚮. Kumbuka hii ni April, tuna miezi 6 mbele.🤣🤣🤣mtapigwa mkimbie kama vibaka😃😃😃😃😃🏃🏃🏃
 
Mleta hii post ni mpumbavu haijawahi tokea tuna Magufuli tena nchi hii? Magufuli alishakufa na sasa tuna Samia na mipango yake 4R huzioni? Mambo si yanakwenda vizuri tu
Mbona tunalazimishana hizo 4r zenu fake?(propaganda )🚮🚮🚮, mrundi ndio alikufa... lakini alikua mtu mbaya.nchi iliugua. Eti mambo si yanakwenda vizuri TU, (uko sawa kweli)?.
 
Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.

Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.

Kesi za jinai kwa wapinzania hasa kesi ya Uhaini aliyopewa Tundu Lissu ni matokeo ya mifumo ya uonevu aliyoianzisha John Pombe na Samia ameamua kuiendeleza, maana yake legacy inaishi. Wote mnakumbuka jinsi akina Kabendera, Rugemalira na wengineo waalivyopewa kesi za uhujumu uchumi.

Akina Soka na wenzake kupotea, kuuwawa kwa Mzee Ali Kibao

Hali inayoendelea nchini ni muendelezo wa legacy ya John Pombe, yaani tupo kwenye Umagufuli bila Magufuli mwenyewe.

Itachukua miaka mingi sana kurudi tulipokuwepo wakati wa awamu ya nne na kurudi nyuma.
Kwa nini wenye ajili wasirekebishe au hiyo Hali Nani atakaye irekebisha
 
Kwa udhalimu wa kisiasa unaoendelea nchini sasa, ni heri utawala wa John Pombe Magufuli.
japo siamini sana yanayofanywa na mapolisi wanatumwa na Rais. maana inawezekana mapolisi yanajipendeleza tu, maana ujinga ni mwingi sana vichwani mwao
 
ben-saanane.jpg
R.I.P Ben Saanane.
 
Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.

Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.

Kesi za jinai kwa wapinzania hasa kesi ya Uhaini aliyopewa Tundu Lissu ni matokeo ya mifumo ya uonevu aliyoianzisha John Pombe na Samia ameamua kuiendeleza, maana yake legacy inaishi. Wote mnakumbuka jinsi akina Kabendera, Rugemalira na wengineo waalivyopewa kesi za uhujumu uchumi.

Akina Soka na wenzake kupotea, kuuwawa kwa Mzee Ali Kibao

Hali inayoendelea nchini ni muendelezo wa legacy ya John Pombe, yaani tupo kwenye Umagufuli bila Magufuli mwenyewe.

Itachukua miaka mingi sana kurudi tulipokuwepo wakati wa awamu ya nne na kurudi nyuma.
Kwa kuharibu mifumo ya uchaguzi Magu alichemka sana na hawezi kukwepa lawama.Uharamia wa ccm ulitokana na yeye.
 
Haya yanayoendelea nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ni legacy ya mwendazake Magufuli.

Huko chamani Rais Samia amejipitisha bila kupingwa kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wote tunajua muasisi wa mchezo wa kupita bila kupingwa ni John Magufuli.

Kesi za jinai kwa wapinzania hasa kesi ya Uhaini aliyopewa Tundu Lissu ni matokeo ya mifumo ya uonevu aliyoianzisha John Pombe na Samia ameamua kuiendeleza, maana yake legacy inaishi. Wote mnakumbuka jinsi akina Kabendera, Rugemalira na wengineo waalivyopewa kesi za uhujumu uchumi.

Akina Soka na wenzake kupotea, kuuwawa kwa Mzee Ali Kibao

Hali inayoendelea nchini ni muendelezo wa legacy ya John Pombe, yaani tupo kwenye Umagufuli bila Magufuli mwenyewe.

Itachukua miaka mingi sana kurudi tulipokuwepo wakati wa awamu ya nne na kurudi nyuma.
Waache wamalizane watakaa milele but I don't see that coz 95 anakuwa tayari anavaa pampasi so waache
 
upotoshaji usio na athari zozote kisiasa, kijamii na kiuchumi kama huu, ni vizuri ukapuuzwa tu,

kwasababu ni useless na completely nonsense gentleman 🐒
Kwakweli. Eti Magufuli ndio mwasisi wa kupita bila KUPINGWA. Akili hamna kabisa!
 
Back
Top Bottom