Hayati Baba Magufuli najua hujalala mpaka yalio andikwa yatimie (Utabiri)

Hayati Baba Magufuli najua hujalala mpaka yalio andikwa yatimie (Utabiri)

shooting.jpg

Tanzania Nchi yangu ya Amani aliifikisha huku.
 
Labda Magufuli mwingine,lakini yule yuliyemzika Chato hana sifa hizo unazomwagia.

Magufuli wa Chato aliharibu mifumo yote ya utawala.

Magufuli aliharibu uchaguzi
Magufuli aliharibu Bunge
Magufuli aliharibu TISS
Magufuli aliharibu Mahakama
Magufuli alidanganya waTZ kwamba maradi yote inaendeshwa na fedha zetu wenyewe.
Magufuli aliteka wale wote waliompinga
Magufuli aliipendelea Chato kuliko Tanzania.
Which ever utasema hakuna kitu hakufanya nje ya mkakati wakiusalama. Nakama unabisha hakuna mwana usalama au mtu yeyote anaye msema
 
Labda Magufuli mwingine,lakini yule yuliyemzika Chato hana sifa hizo unazomwagia.

Magufuli wa Chato aliharibu mifumo yote ya utawala.

Magufuli aliharibu uchaguzi
Magufuli aliharibu Bunge
Magufuli aliharibu TISS
Magufuli aliharibu Mahakama
Magufuli alidanganya waTZ kwamba maradi yote inaendeshwa na fedha zetu wenyewe.
Magufuli aliteka wale wote waliompinga
Magufuli aliipendelea Chato kuliko Tanzania.
Umemsahau Gaidi
 
Najuwa umelala lakini roho yako haijalala. Yes najuwa roho yako haijalala. Najuwa Kuna watu walifurahia kifo chako mpaka wakasimama nakusema alidhani yeye ni Mungu lakini sasa wote wapo ktk vyumba wanalia kila wanapo juwa ukweli na sio kuujuwa ukweli ila kupewa full secret mission which while ye work on it you die.
Hukulala hukusinzia na pale uliambiwa ulale ulisema silali nitafika kwenye kiti nikiwatumikia watanzania.
Jambo kweli lilitokea ktk usiku mzito ukiwatumikia watanzania.

Nadharia nyingi zimesemwa ila kauli yako ya mwisho na Yale maneno kuwa walikuwekea sumu wakati fulani kwa unoko wako wakati fulani mahali fulani ukiwa waziri hii kauli itakitesa chama na kama tamaa na ulafi wakujilimbikizia mali hautowatoka jambo zito litalikumba Taifa.

Maneno yako ya mwisho yatakuwa mzimu mwingine kama wa Hayati Sokoine. Yes Wewe sasa utakuwa Sokoine ila kama Rais. Kumbukizi na masanamu yatapangwa na watu kukosa usingizi kila wakikumbuka maneno uliyasema.

Maneno yako yamekuwa zaidi ya siri zaidi ya vito vya thamani vilivyowekewa ulinzi mkali zaid duniani.
Hukufa ukitaka kujilimbikizia Mali ila ulikufa wakati ukitamani kila raia wa Taifa la Tz mwenye nguvu na afya afaidi national cake. Pamoja maneno ni mengi kuliko ukweli ila siku na miaka vitauweka huu ukweli wazi kwa kila Raia wa Tanzania.
Umeacha Cheche na miale nikali ya Moto ktk kila taasisi. Umeacha vijana na wazee ambao kwa nafasi zao na uwezo wao hawato lala mpaka mission ikamilike.
Umewaacha kila mmoja anasema lake akifikiri ndio maazimio kumbe mtego wa panya.
Umeacha Taasisi imara na idara zetu zakiusalama ktk ubora hakuna mtu anaweza juwa kesho itakavyo kuwa.
Baba hujalala ila umepumzika kama ilivyo kawaida ya kila mwanadam. Wapumbavu wachache ndio wanafikiri umekufa ila yajayo ya nafurahisha wapo wana amini kifo chako ndio mwisho wakazi uliikuta pale ikulu. Kumbe sivyo. Yani ndio kwanza kumekucha.
Kwanini uvishwe ubaya kwa kazi ilipangwa ktk usiri na wakamtafuta mtu wakuifanya wakakuona wewe leo wewe ndio mbaya?
Nahapa ndipo lile neno Watanzania Mtanikumbuka sio kwa mabaya ila mazuri. Maana baya yalikiwa ni operation ambazo hakuna mtu atakuja sema hapa basi ni Bora kufunga midomo.
Amen
Hivi zile hela za PLEA BARGAIN nani alizichukua , mbona hazionekani popote huku watuhumiwa walilipa ?

Halafu , hivi kupachika wajomba wako kwenye maeneo nyeti huo ndio uzalendo ?

Kwamba Kazi apewe Mayanga na Songolo Marine huu ndio uzalendo wa Mzimu wako ?

Hivi mtaendelea kuwatukana watanzania matusi ya nguoni hadi lini ?

RIP Ben Saa nane na Lwajabe
 
Back
Top Bottom