Hayati Baba Magufuli najua hujalala mpaka yalio andikwa yatimie (Utabiri)

Msitukane mkapitiliza wekeni akiba ya maneno.
 
Mb
Mbona hueleweki
 
Naunga mkono hoja.
 
Hivi jiulize zile pesa alizokuwa anawaambia watuhumiwa waungame kosa walipe pesa waachiwe mamilioni yalikusanywa. Je zilienda wapi hizo pesa?? Labda mheshimiwa Rais Kwa vile yupo na alikuweo anaweza kutueleza ziliko? Hatukuwa na sababu kuomba pesa nje
 

Ile kufuru aliyoifanya Magufuli uwanja wa Jamhuri ndio iliyomuondoa. Huwezi kufanya ule ujinga halafu ukaishi.
 
Wapo watu wanamkumbuka huko sirini, ila wanaona aibu kuandika hapa kwa sababu tutawanyooshea vidole.

Tuwaache tu ipo siku mmoja baada ya mwingine watakuja hapa kumkumbuka bila kujali tutawaonaje

Hata alipokuwa hai waliomkosoa walinyooshewa kidole au kupotezwa.
 
Yule MWAMBA alileta heshima ktk utumishi wa Umma,

Huduma Kwa wananchi wasio na connection walihudumiwa vzr.

Mm namkumbuka Kwa mengi MAZURI.

Ameeeen.

Tofautisha heshima na uoga. Heshima ni natural hailetwi na Magufuli Bali malezi.
 
Kuna unabii unasema:

Jiwe ndo kiongozi wa mwisho SECULAR, yaani wa kupigiwa kura.

Ngoja tusubiri ajaye ataingia Kwa Utaratibu upi!!!!
 

Asante.Mema aliyofanya alitimiza wajibu wake kama raia mwingine yeyote, na tulimlipa ujira aliostahili. Yale mabaya aliyotenda, au yalitendwa na waliokuwa chini yake akayafumbia macho lazima Mungu alipe kisasi.
Haiwezekani mbunge aliyekuwa whistleblower, critical of the government, magufuli in particular, apigwe risasi akiwa kwenye makazi ya viongozi halafu hakuna uchunguzi uliofanywa au hatua yyt Ile, Kisha majeruhi anyimwe matibabu, ubunge na stahiki zake zote. Ikumbukwe siku ya tukio walinzi wanaopaswa kuwa Eno like 24/7 waliondolewa, na CCTV camera zikatoweshwa. Mungu hadhihakiwi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…