Hayati Baba Magufuli najua hujalala mpaka yalio andikwa yatimie (Utabiri)

Aisee! Wewe unasema ukweli! Mungu wa mbinguni akubariki Sana! Yule muuaji!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
R.I.P Dr. Magufuli.

Mawazo yako bado yanaishi.

Tunasheherekea utendaji wako kwa Taifa hili kila siku tunapokutana na miradi uliyoipigania.
Huyo shetani wako alikuwa anaiba kupitia miradi na aliwatumia sana Kijazi na Mfugale!
 
Opposer side The Sunk Cost Fallacy
 
Thread za kumkumbuka zimekuwa nyingi sana.
Yuaja DICTATOR mwingine aina ya maguu, mwenye maono, uthubutu, bt atakuwa na BUSARA, hatokurupuka .

DEMOKRASIA Kwa watu wasiostaarabika, ELIMU duni ni mzigo Kwa TAIFA.

Yaani vijana waamue wenyewe KAZI kiaminio iwe BETTING Badala ya Kilimo uvuvi na ujasiriamali ndo uite DEMOKRASIA!!!!

By the way DEMOCRACY means DEMON CRACIE. Uhuru wa KIPEPO.

DEMOKRASIA yafaa sana ikiwa watu Watajitambua, wakiwa na Elimu Bora, wenye uhuru wa Kifikra, yaani wasio tegemezi kiuchumi.

tuwe na AKIBA ya maneno.

Ameeeen.
 
Ni kweli aliwafunga akina Singasinga wa IPTL ila Sasa wapo huru na watarudi kupiga B za watanzania kwa siku
 
JPM ALIKUWA RAIS BORA SANA KUWAHI KUTOKEA , wengi mnaopinga mnatatzo la Afya ya Akili.
 
Ni kweli aliwafunga akina Singasinga wa IPTL ila Sasa wapo huru na watarudi kupiga B za watanzania kwa siku
Manjjii alistuka mapemaa akaamua kutorudi maana hakipo kilichobadilika.

Lisu naye sijui anasubiri uchaguzi ukaribie ndo arudi!!!
 
1. We unaamini lissu alishinda uchaguzi ule kwa akili ya kawaida tu ya chekechekea?

2. Unasema viroba viliokotwa, ni sawa ila jiulize baada ya viriba kumalizika kuokotwa ulisikia tena magaidi wa kibiti, mkuranga, mwanza na kule tanga waliijificha maeneo ya Pangani?
Umejiuliza wale jamaa wasingemalizwa na ama wengine kukimbilia msumbiji ambapo wameuteka mkoa mzima wa cabo delgado je Dar salaam ingesalimika?

Kutokuwa na taarifa napo ni ujinga pia.
 
Sawa mtabili
Ila jua tu jiwe ni marehemu alishakufa akaoza na ata wakikufungulia jeneza lake ananuka na huwezi kaa nae krb japo unampenda mungu mtu wako huyo
Cha msingi jipangeni miaka50 ijayo ndo tutakuja kupara rais wa hovyo km yeye ila saiv CCM na watanzania wamejifunza atutachagua tena kichaa wala mpungufu wa akili
 
Huyu ndiobmagufuli sema mpenda chongo uona kengeza....
Kipindi anafariki Kuna mtu mmoja na cheo chake alilia karibu yangu halafu akanitizima mi nikamtumbulia macho tu mara naona anafuta machozi anatabasamu nikajisemea moyoni unaleta sanaa jumba sanaa.
 
Kamfufue mkuu
 
Samia alipoutangazia Umma kuwa ana habari kutoka Hospitali ya Mzena.

View attachment 2381813View attachment 2381815

Uongo mbaya nilisali kwanza halafu nikaagiza Bapa kisha nikaingia Jf.

Kwamba yajayo yanafurahisha.

Nani atulete pamoja Kwa maridhiano ya kitaifa, Ili Tuombee TOBA Nchi ipone!!!!

Wazee tunaowategemea wanaosema hawatosahau siku walipokutana na RIHANNA na WACCO JACCO!!!
 
The evils remains with you the good comes back to you !! Hiyo ndio Karma !! Tusubiri tuone. !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…