Hayati Baba Magufuli najua hujalala mpaka yalio andikwa yatimie (Utabiri)

Mkuu inabidi ukapimwe afya ya akili
 
Kuna unabii unasema:

Jiwe ndo kiongozi wa mwisho SECULAR, yaani wa kupigiwa kura.

Ngoja tusubiri ajaye ataingia Kwa Utaratibu upi!!!!
Ina Maana viongozi wajao wataingiaje Ikulu kama ni Hivyo!!?

Kama Trump kule USA!?

Sijaelelwa hapo!!
 
Hapo kweny kutuachia taasis imara 🤣🤣 be serious mzee. Tanzania haijawah kua na taasis imara ✔️
 
Magu was a Conman... alifanikiwa tu kucheza na akili za walalahoi na wajinga ambao ndo wengi Tanzania.

Mimi mpaka sasa sielewi huo uzuri aliouleta Magu Tanzania ni upi.
 
Hahaha ni mwendawazimu tu ndio anayeweza kusema haya...najua unasema lakin moyoni mwako Mungu anajua unakusuta.. fanya hivi jaribu kupiga kura ya maoni ya mawazo yako hayo yaliyooza kwa watanzania.uone matokeo yake..Muulize hata Mangi Kimambwe akusaidie.. utaaibika buree. Jomba...mtumbuliwaji wa ufisadi na wizi wa Mali ya umma..pole jomba
 
Magu was a Conman... alifanikiwa tu kucheza na akili za walalahoi na wajinga ambao ndo wengi Tanzania.

Mimi mpaka sasa sielewi huo uzuri aliouleta Magu Tanzania ni upi.
Rais wetu mchapa kazi SSH ni moja ya matunda mazuri aliotuachia mzee..sijui unasemaje...utaumbuka jombaa
 
Ongezea magufuli aliharibu barabara,magufuli aliharibu nidhamu katika utumishi wa umma,magufuli aliharibu sekta ya usafiri wa anga...Magufuli aliharibu
 
Walikua wanalia kinafiki
 
Na Kuna sifa kama mbili hapo umezisahau....
 
Ile kufuru aliyoifanya Magufuli uwanja wa Jamhuri ndio iliyomuondoa. Huwezi kufanya ule ujinga halafu ukaishi.
Na ile kufuru ya kulala na Mafaili kitandani badala ya first lady.

Kupiga chafya usiku kucha.
 
Miaka sita ya kufokewa fokewa haikuwa mirahisi kwakweli.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…