Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

Somo la nane.
Uongo ukisemwa na mtu yeyote hata akiwa Rais, hauwezi kubadirika kuwa ni Ukweli. JPM alitulazimisha tuaminii Uongo wake kuwa ameiletea Tanzania Maendeleo ya kuwa na Uchumi wa Kati kiwango cha kuifanya TZ iwe Donar Country. Lakini baada ya Rais Samia kngia mdaraakani imegundulika nchi imeporomoka sana kiuchumi, iko hoi kiuchumi, ambapo kwa sasa inatapatapa kwa kutoza Tozo kwa Wananchi wake walio masikini ili kuiendesha Serikali ya Tanzania.
 
Nijuavyo mimi, kila aliyeumbwa na Mwenyezi kuja hapa duniani ana nafasi ya kipekee hata wewe na mimi. JPM pia alipata fursa hiyo na tunajua aliitumia kufanya maendeleo kibaguzi, kuvunja vunja katiba, kugawa vyeo kikanda, kuiba na kufuja pesa za "wanyonge", kuua wengine kama Ben, Tundu, et all, kutukana watu wazima hadharani, kunajisi madhabahu za Mungu, kujikweza mpaka akadondokea upande wa pili, kudanganya data mbalimbali za kitaifa, nk nk. Nimemtaja yy kwa sababu kuna wengine mnataka kumpa sifa asizostahili. Tujifunze na tutembee unyenyekevu na uungwana. Kama yupo wa kutajwa sana ni Julius Nyerere. Kazi iendelee!
 
Kwahiyo hakuna jambo jema lolote la umma kujifunza kutoka kwa JPM isipokua hayo mabaya uliyoyaoredhesha.

Uzuri watanzania hawajifunzi kwa kuandikiwa kama hivi, bali wanayaona kwa macho yao yanayoendelea.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi kabisa, Hata Shetani alipo hasi Sheria ya Mungu, Robo tatu ya Malaika wa mbinguni, walimuunga Mkono shetani!! mpaka leo hao Malaika, wanamtumikia shetani kuzimu! ndo vijini makata, subihani, nk. ndo km ewe sasa!

uko radhi umfuate Kuzimu huyo bwana kuba wako!! km Jiwe ungekuwa mpango wa Mungu usinge haribiwa na kiumbe yeyote!!! eti km atrial fibrillation!! mwee!! Kumbuka tumeimba sana, kuwakumbusha kuwa ''Mpango wa Mungu Lazima utimie''

Tena akaongezea yeye ni Mwamba Hatikisiki, nani atatikisa kilichowekwa na Mungu km Nyarusare? walionijribu waliungua moto! uliza popote wana nijua! Mtu aliye teuliwa na Mungu!! kamwe hawezi kuwa km kifo cha Jiwe! kwanza cha hovyo!! no popularity!!

Si unaona alivo kwenda south, na kikwete!! weee!! Jk aliamusha hamasa, na alikuwa kivutio kwa wa-south, utadhani ndo rais, kuliko hicho kituko chenu, jiwe!! hatushangai shetani kupendwa hata wachawi wana muhusudu shetani!

na asikudanganye mtu shetani ni mzuri hasa Malaika wa nuru, hata akija hapo utadhani ni malaika! wachache sana tunajua sura ya shetani halisi!
 
Reactions: etb
Aliletwa Ili walio hai wajifunze.
Bashite, sabaya,musiba,kange,kessy, bashiru,awakutegemea kwamba ipo siku upepo utaacha kuvuma
 
Hata shetani anatamkwa na kuabudiwa zaidi zaidi ya Mungu!
 
Ka ni kweli alikuwa mzalendo halisi alitakiwa kutengeneza mazingira ya kuiandaa nchi hii kuacha kutegemea mtu Bali itegemee zaid kwenye Taasisi,

Hakuwahi kuamin katika katiba mpya alisema siyo kipaombele chake,hakuwahi kuamin katika tume huru ya uchaguz Ili wao na CCM wazid kuendelea kutawala milele na milele,hakuwahi kuamin katika uhuru wa habar na uhuru wa kuongea pamoja na demokrasia ya vyam vingi i.e rehea uchaguz mkuu uliopita na hola zake za kutulazimisha bunge la chama kimoja,aliamin Sana kwenye ukanda na ukabila kias Cha kufikia kila mradi anaupeleka chato mfano kuhamishia mguga na wanyama kwa lazima huko burigi,kujenga uwanja wa ndege wa kimataifa huko chato na mengine mengi,

Hakutaka transparency kbs katika matumiz ya fedha katika serikali yake,alikuwa anafanya matumiz bila KUFUATA taratibu na miongozo ya bunge na hata Taasis huru kama ya CAG ilipotaka kuhoji aliifanyia figisu had kumuondoa CAG Assad,

Mbaya zaid ni kutaka kwake kutengeneza mazingira ya kuendelea kutawala milele bila Kikomo,amemaliza mwendo,let him go,sisi tupo njian pia tunaenda,ndo maisha yalivyo
 
1.Ni kweli alikuwa katiri kwa mabeberu na vibaraka wao

2.alikuwa dikiteta kwa mafisadi wote bila kujari cheo cha mtu

3.aligusa masirahi ya matajiri fake waliotumia kivuri cha serikali kuwakanyaga masikini

Ukweli ni kwamba hata kama aliiba kura nikwa misingi ya kumlinda masikini nae apate haki

Aliyo yaacha ni alama isiyofutika vizazi na vizazi vya kitanzania watayakuta mapinduzi makuu ya huyu mzalendo
 
Tumekataa kotoza kodi za dhulma kwa wafanyabiashara wakubwa, matokeo yake ni Tozo kwa wananchi masikini. JPM hakua muongo bali aliwapenda na kuwakumbatia wananchi wake.

Maendeleo aliyoyaleta Tanzania, huwezi kusimuliwa bali yanaonekana kwa macho.

Sent from my SM-A730F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu, Mimi naaami JPM aliizidi roho ya Shetani kwa Wapinzani wake! Kwa uwezo alionao Shetani angekuwa na roho ya JPM, basi Shetani angekuwa amewaangamiza Wacha Mungu wote hapa Duniani. Mark my words roho ya JPM ilikuwa level nyingine kwa Wapinzani wake.
 
Ongeza na hii
1. Alitudanganya kuwa kila mmoja atapewa noah kumbe ilikuwa utapeli na ule mchanga akaamua kuuchia baada ya kuona alichemka.

2. Maprof walikuwa wanafanya kazi kwa kumuogopa ndo mana hata takwimu zao zilikuwa za kumfurahisha tu ukiwa kinyume chake unashughulikiwa.

3. Alitudanganya kila kitu tunajenga kwa pesa ya ndani huku nyuma akikopa mapesa kibao na sasa kamuachia msululu wa madeni samia

3. Nchi iliongozwa kisanii na uongo uongo. Sasa hivi samia is suffering uongo wa jpm. Angalia machinga sasa hivi wanavyompa headache samia na issue ya corono ambayo jpm alitupiga fix baadae ikamfagia yeye mwenyewe.

3. Maduka kariakoo yalifungwa yote kisa uchumi imeharibika
 
Mzee JPM alikuwa bora kwa utendaji wa kazi na ufuatiliaji wa maelekezo aliyotoa kuona yametekelezwa, lakini kwenye eneo la HAKI ZA BINADAMU, alikuwa "Sufuri" kabisa. Ukishafeli kwenye eneo hili, basi hata kama ungejenga miradi gani utabaki kuwa Sufuri. Kwa wale Wakristo Kuna aya inasema: "hata nikiwa na Imani ya kuhamisha milima, kama sina UPENDO ,si kitu Mimi". JPM kwenye eneo la HAKI ZA BINADAMU alikuwa zero kabisa. Chaguzi zikawa zinatolewa matamko tu namtaka fulani mniletee BADALA ya sanduku la kura liamue nani awe nani. Wakurugenzi wakaamriwa wapitishe wagombea wa chama chake tu kwa kuwa anawalipa yeye, mafuta ya magari anawapa. Wafuasi wa vyama vingine wakawa muhanga wa mateso, kupigwa, kubambikwa kesi na kufungwa. Hali hii imemwondoa JPM kwenye ubora na kuwa Rais wa hovyo kupindukia, rejea ule MFANO, hata nikiwa na Imani ya kuhamisha milima, kama sina UPENDO si kitu mimi. Chama chake pia hakitakiwi kiendelee na U-hovyo wa aina hii unaoligawa Taifa na kuvunja mshikamano.
 
Point
 
Na Je, kama hayo masanduku walihusika mabeberu kuvuruga.

Ili wapinzani wasio na sera zinazo eleweka na wapenda madaraka je...? na hao tuwazungumzieje?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu!

Ndugu mwana JF napenda ni kwambie kua ata wao mda wao ukifika tutawasema tu au nasema uongo ndugu yangu

"Huo ndo ukweri tatizo tunatishana sana"🤣🤣
 
Kwahiyo hakuna jambo jema lolote la umma kujifunza kutoka kwa JPM isipokua hayo mabaya uliyoyaoredhesha.
Ndg yangu kw Mazuri tu? hata shetani ali/anafanya mazuri mpaka leo, humo makanisani mwenu yumo pia, kama haya yafuatayo;
- kumpa mwana Adamu akili ya kujua mema na Mabaya pale bustaniin, si ni kitu kizuri?
ndo wema wa kwanza huo shetani alifanya!

- kuwasaidia wanga na wachawi kuroga kwa mafanikio na wasikamatwe!

- kuua wabaya wako yamkini wateule wa Mungu, mfano huyo huyo shetani aliwasaidia kina Herode kumuua Yesu!

-Alimsaidia yuda kumsaliti Yesu tena mchana kweupeee! akafanya mipango mwanzo mwisho! akapata na cha juu!

Shetani ana fanya mazuri mengi tu! kuwasaidia watu wake, tena pia wanamshukuru km weye unavomshukuru hapa, uko sahihi tena nenepa tu, hatuna ubaya na hilo ni mtu wako! relux, kwa mujibu wa unae muabudu, na kumuamini yaani Shetani!

hata kuiba bila kukamatwa si huwa mnashukuru? , kutoa mimba bila kufa, kufanikisha husuda makazini humo yoote haya ni kazi ya shetani, na wanafanikisha na kushukuru mnoooo!

Ni hivi hii yote ni dhidi ya wateule wa Mungu wa mbinguni Muumba NCHI NA MBINGU, ndo wanao umia Sana, hivo wanauwezo wa kujua huu ni msaada wa namna gani unapita! na cha kufanya wanakijua wao hao wana christo!

Biblia na Quran ni sauti ya Mungu kabisaa! utake usitake wanvijua hivyo vitabu kwa wale tu walio wake kuna sehemu inasema hivi inasema hivi, ''De gift of God is not Reversible'' sasa km huelewi hapa!! utakuwa upande unaoujua wewe!
 
Umeongea fact, dikteta magufuli alikuwa kiburi, mama Samia Ni muungwana ataifikisha Nchi pazuri
 
Alikuwa ni mtu mwenye roho mbaya na alipenda umungu mtu,hakuwa na jingine lolote.
 
exactly, alikuwa shetani
 
Hakika alikuwa mwamba Tanzania , Africa na duniani,bila kutajwa siku zenu hazikamiliki, endeleeni kumtaja,maisha yenu yajaribu kujisogeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…