Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

Hayati Dkt. Magufuli aliletwa duniani mahsusi na Mungu ili kuleta masomo fulani tujifunze

Nimeamini Kikulacho kinguoni Mwako. Wateule wake kuanzia mabalozi mpaka mawazili wamekengeuka.
 
Somo la nane

UNAFIKI ni dhambi isiyompendeza Mwenyezi Mungu huwezi sema tumtangulize Mungu mbele alafu ukafanya dhuluma kwenye machaguo ya watu.

Yani ukimbie na masanduku ya kura alafu udownload matokeo yako then uje kusema tumtangulize Mungu mbele? katika dhuluma si ndio
Hii ndio imemwondoa yule mpumbavu. Angeamua kuwa kama akina PK na M7 tu angeisi. Wale wanajikubali ni mshetani hawana nafasi tena kwa Mungu.
 
Kuna watu walijilipa mamilioni ya pesa MH.waziri mkuu mpaka akasikitika hivi wamechukuliwa hatua gani? au mchakato wa KESI unaendelea? Enzi zake angemalizana nao Siku Ile Ile na ingekuwa fundisho
Hivi wale waloojiunganishia bomba waliishia wapi?
 
Mungu Kuna watu anawatumia hapaduniani Kama shule kwa umma wake ili uongoke au ujifunze Jambo fulani magufuli ni mmoja wao.

Somo la kwanza
Ndugu pataneni mnapogombana maana mkishindwa mnampa nafasi adui kuneemeka na ugomvi wenu.Mtifuano wa kina lowasa ndani ya ccm ndio uliompa JPM kula kwamba wote tukose.

Somo la pili
Usimtegemee binadamu mwenzako Bali mungu tu. Kuna watu walimtegemea JPM kuliko mungu wakasahau JPM ni mwanadamu tu Sasa katwaliwa kawaacha wanahanyahanya. Rejea polepole makonda bashiru msiba na sabaya nk.

Somo la tatu
Hakuna aijuae kesho yake Bali Mungu tu. Ccm walifikia mahali wakataka JPM atawale milele aongezewe muda atakeasitake. Mungu kumbe ndie aliejua ukomo wa siku zake. Rejea Sanga na mbunge wa kongwa aliekuwa mtangazaji wa radio.

Somo la nne
Watu wasikulalamikie Sana kwa matendo yako vilio vyao vinasikika kwa muumba wao. Utawala wa JPM uliliza wengi kila Kona ya nchi na kila kundi liliguswa vilio vinasikika mbinguni.

Somo la tano
Usijiamini kupita kiasi. JPM alikuwa na over confidence kitu ambacho kilimfanya ajisahau hivyo akajikuta anaharibu mambo mengi pengine kwa kutokujua.

Somo la sita
Umuhimu wa katiba mpya. Sidhani Kama CCM wenyewe wangependa atokee mtu Aina ya magufuli Tena katika chama Chao. Hilo ni funzo na utawala wa magufuli umewafanya watu waone umuhimu wa katiba mpya na demokrasia.

Somo la Saba
Tii Sheria na uifwate hata Kama itakubidi kuwajibika kwa kukataa maagizo mabovu ya wakubwa wako. Sabaya alipokuwa DC alifanya maufiri mengi na mpaka akaiambia mahakama kwamba alikuwa anatii maagizo toka juu Sasa Leo amebaki peke yake na maufiri yake aliyemtegemea kumlinda hayupo.

Ongezea masomo mengine uliyojifunza kwa hayati Magufuli.
Huu uzi umejaa unafiki na uzandiki nahisi umeandikwa na mwana bavicha au aliyetumbuliwa vyeti feki kipindi cha utawala wa Magufuli
 
Somo la nane.
Uongo ukisemwa na mtu yeyote hata akiwa Rais, hauwezi kubadirika kuwa ni Ukweli. JPM alitulazimisha tuaminii Uongo wake kuwa ameiletea Tanzania Maendeleo ya kuwa na Uchumi wa Kati kiwango cha kuifanya TZ iwe Donar Country. Lakini baada ya Rais Samia kngia mdaraakani imegundulika nchi imeporomoka sana kiuchumi, iko hoi kiuchumi, ambapo kwa sasa inatapatapa kwa kutoza Tozo kwa Wananchi wake walio masikini ili kuiendesha Serikali ya Tanzania.
Aliesema tz imeingia uchumi wa kati ni JPM au WB?
 
Utopolo wa maskini wa kipato anawaza low sana

Utopolo wa maskini wa kipato anawaza low sana.
Siwezi kuwaza ujinga usio nihusu nawaza vitu ninavyo viona unafikili mtanzania wa kawaida anahitaji nini? wewe ndo utopolo kabsaa yaani umeshindwa kuyaona mapinduzi yalifanyika ktk jiji la dar mpaka kuingia kwenye orodha ya majiji bora afrika mashariki na kati ama kweli tenda wema nenda zako
 
1. Mtu mweusi anaweza kuweka philosophy na ulimwengu mzima ukakubali, JPM alisema tuzoee tu kuishi na Corona Kama magonjwa mengine.

2.Watu wanaweza kukuzushia kila Aina ya ubaya lakini nafsi zao zinawasuta mwishowe ukweli unajulikana.Mfano nchi za magharibi zikisaidiwa na vibaraka hasa Lissu,walisema JPM ni dikiteta.
UN wakaishia kumuenzi kwa Mambo makubwa aliyolitendea taifa lake.
Mfano mwingine ni wananchi kujazana kumuaga shujaa wa Afrika.

3.Unaweza kufanya Mambo makubwa kwa muda mfupi ,mfano alinunua ndege nane Kama sijakosea ndani ya miaka mitano.
Wakati Mwinyi,Mkapa,Kikwete walikaa miaka kumikumi lakini hawamuweza kunua hata moja.

4.Unaweza kuwaaminisha watu uongo kwa muda tu,ukweli lazima usimame tu,mfano Kikwete alituaminisha Kasungura kadogo,nchi yetu maskini.
Jiwe lilipoingia ndo ulikuwa mwisho wa wimbo huu.

5.Hata kitu kilichooza kinanuka kinaweza kubadilisha harufu.
CCM ya Kikwete ilinuka wananchi hawakuitaka baada ya Magufuli ikawa CCM nyingine.

6.Hata watu ukiwapa ulaji usifikiri mko pamoja,wengi aliowapa ulaji Jiwe ndo wamemugeuka.

7.Hata ukitenda jema duniani wapo tu watakaokuchukia,mfano mleta uzi anachuki na hayati JPM.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Ongezea na

1. Miradi ya tija kwenye jamii, zamani ilikuwa ni ndoto kuona lami uswahilini lkn wkt wa JPM tumeona.

2. Umeme, zamani tuliamini umeme hauwezi kuwa wa uhakika nchini kwetu kwani ni maskini nchi hii so tukawa tunaona umeme kukatika katika ni haki yake lkn baada ya JPM kuchukua madaraka umeme kukatika ikawa historia.

3. Miradi mikubwa ya historia, zamani viongozi wetu walishindwa kufanya miradi mikubwa wakisema kuwa nchi yetu ni maskini haiwezi kufanya miradi inayofanyika nchi zilizoendelea lkn wkt wa JPM tuliona ikifanyika mfano electrical SGR, ujenzi wa moja kati ya mabwawa makubwa kabisa ya umeme Africa na duniani JNHPP, flyovers na interchanges, Airports, Ports, ununuzi wa ndege kubwa, ujenzi wa meli kubwa kubwa, masoko n.k kiasi cha kwamba leo hii imeshakuwa fashion kwamba ili ukubalike na jamii lazima ufanye kama alivyokuwa anafanya JPM.

4. Thamani ya mwananchi, zamani mwananchi hasa wa hali duni alikuwa hathaminiki kabisa lkn baada ya JPM vyombo vya dola, wabunge na watumishi serikalini wakaijua thamani halisi ya mtanzania bila kujali ni tajiri au maskini.

5. Heshima ya Tanzania na Watanzania, zamani nchi yetu ilidharaulika sn hasa na nchi jirani, lkn miaka michache baada ya JPM nchi ikapanda thamani na kuwa mfano hapa Afrika kwa utekelezaji wa uchumi jumuishi (inclusive economy)

6. Shamba la bibi, zamani kabla ya JPM nchi yetu ilikuwa shamba la bibi lkn baada ya JPM kila mtu anajua kilichotokea.

7. Msimamo, JPM alikuwa kielelezo cha msimamo wa waafrika mbele ya wazungu kwamba tuna haki ya kupanga mambo yetu pasipo kuingiliwa na mtu yeyote.

Kuna mengi ya kumuelezea Magufuli ambapo kama nitaamua kuyaweka humu itakuwa ni kitabu, hivyo basi itoshe tu kusema kwamba JPM alikuwa moja kati ya viongozi bora zaidi kuwahi kutokea katika nchi hii japo kama mwanadamu hakukosa kasoro lkn kiukweli kabisa kasoro zake haziwezi kuficha mema mengi aliyoifanyia nchi hii.
Ninapoona michango kama hii ndipo huwa naona kwanini ni muhimu mtu kufuatilia mambo, ikiwemo kusoma magazeti yanayoandika mambo ya maana na kutazama vyombo vya habari vyenye weledi. Mtu anayefuatilia mambo hawezi kuandika vitu kama hivi! Kumbe tuna watu wanaofikiri kwamba barabara za lami mitaani zimeletwa na Magufuli!
 
Kamuua nani?
Unawajua labda kama na wewe ni kiazi...

BTW umeamini chama kimerudi kwa wenyewe?

So far aliyebakia ni Nape....

Ikiwauma chomoeni....

Tuko tunaandaa pati ya kumrudisha mwanamapinduzi komredi Kinana

Kila kitabu na enzi zake

Washamba na mazwazwa wa usukumani hebu mtupishe tupite
 
Unawajua labda kama na wewe ni kiazi...

BTW umeamini chama kimerudi kwa wenyewe?

So far aliyebakia ni Nape....

Ikiwauma chomoeni....

Tuko tunaandaa pati ya kumrudisha mwanamapinduzi komredi Kinana

Kila kitabu na enzi zake

Washamba na mazwazwa wa usukumani hebu mtupishe tupite
Kabisa..

Si unaona mambo yanavyoenda?

Uchumi uko juu..

Kodi chini...

Bei za mazao juu.

Wakulima kicheko..

Bei za mafuta chini...

Tozo kwenye mabenk na simu zimepungua sana...

Mafisadi mfano wale waliojiunganishia bomba pale kigamboni wako ndani....

Magaidi kina mbowe ndani..

Democrasia kila kona...

Yani nchi iko mikono salama baada ya kurudi kwa wenye nayo..
 
Alikuwa katili na mbabe kwa wajinga wajinga
Wajinga wajinga hivi sasa mnanyea ndoo. Endelea na Ujinga wako ndio utajua Feleshi ni nani na kwanini mama kamteua. Endelea na ujinga wako ndo utajua kwanini tulikosea kumwachia msukuma akaongoza nchi... watajutia wanao..

Chama kimerudi nyumbani
 
Wajinga wajinga hivi sasa mnanyea ndoo. Endelea na Ujinga wako ndio utajua Feleshi ni nani na kwanini mama kamteua. Endelea na ujinga wako ndo utajua kwanini tulikosea kumwachia msukuma akaongoza nchi... watajutia wanao..

Chama kimerudi nyumbani
Una coment kama kuku aliekatwa kichwa!
 
Kabisa..

Si unaona mambo yanavyoenda?

Uchumi uko juu..

Kodi chini...

Bei za mazao juu.

Wakulima kicheko..

Bei za mafuta chini...

Tozo kwenye mabenk na simu zimepungua sana...

Mafisadi mfano wale waliojiunganishia bomba pale kigamboni wako ndani....

Magaidi kina mbowe ndani..

Democrasia kila kona...

Yani nchi iko mikono salama baada ya kurudi kwa wenye nayo..
Endelea kuorodhesha


Sisi tunajenga nchi bila mazwazwa ya mwendazake

Ikiuma chomoa. Ndo wanavyofayanya sukuma gang wenzio
Una coment kama kuku aliekatwa kichwa!
 
Ikiwa ni pamoja na kujifunza kuvumilia tunapoibiwa 1.5 trilioni
 
Somo la nane

UNAFIKI ni dhambi isiyompendeza Mwenyezi Mungu huwezi sema tumtangulize Mungu mbele alafu ukafanya dhuluma kwenye machaguo ya watu.

Yani ukimbie na masanduku ya kura alafu udownload matokeo yako then uje kusema tumtangulize Mungu mbele? katika dhuluma si ndio
Asante!
 
Somo la nane

UNAFIKI ni dhambi isiyompendeza Mwenyezi Mungu huwezi sema tumtangulize Mungu mbele alafu ukafanya dhuluma kwenye machaguo ya watu.

Yani ukimbie na masanduku ya kura alafu udownload matokeo yako then uje kusema tumtangulize Mungu mbele? katika dhuluma si ndio
Kwenye masuala ya demokrasia kwa ujumla wake alikosea sana
 
Back
Top Bottom